Friday, 29 July 2016

Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA

Niliwahi kusema na sasa nakumbusha: CHADEMA litakayoshindwa mgombea wake akiwa Lowasa ni mbovu kuliko ile itakayoshindwa ikiwa na Dr. Slaa. ndilo linaloonekana sasa na kwa ambao bado si muda mrefu wataona.
Majenzi ya CHADEMA uanastahili kuanz kwa kuisafisha. Kuondoa wote wanaoharibu akiwemo Mbowe. na hili twaweza kusubiri kuliona ama kuligundua tukalifanya.
--------------------------------------------
On Fri, 7/29/16, 'Godfrey Obonyo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, July 29, 2016, 9:30 AM

Nilikaribia kuiamini chadema kama chama cha siasa lakini
palipo piga Sera yao ya uchaguzi chini na kufuata hisia za
mtu mmoja, niligundua kumbe wanafanya mchezo Wa panya na
mwenye nyumba kwa Wa TZ, mwisho nilipo sikia mwenyekiti wao
TaiTaifa akisema....''nimefikiria sanaaa,! Nikahamua
kupiga gear hewani" alipoamua kutupa agenda zote za
CHADEMA na kumkaribisha asimu mkuu Wa agenda hizo
....Lowassa kukiongoza chama hicho akipeperusha bendera ya
CDM kwenye uchaguzi mkuu mwaka Jana.Baadae
maneno ya mkosa Sera kama....bora hata jiwe.... Duh! Eti
bora hata kisiki, hats mbwa aongoze nchi yetu, alivotaka
Mbowe.
Kweli
Mimi CDM .......mmmh!..hats ukuta Wa mikono si itabomolewa
kwa gear ya mkate..?

Sent
from Yahoo Mail on Android
On Thu, Jul
28, 2016 at 18:51, J L
Kamala<jlkamala@gmail.com> wrote:
Waambie hao.

On Jul 28, 2016 4:59
PM, "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com> wrote:
Mikutano ya kikatiba inaruhusiwa, mikutano ya
wabunge majimboni mwao inaruhusiwa!

Enyi watu mnataka kafara za damu zetu za nini?
Hamtosheki?
On 28 Jul 2016 16:52,
"Telesphor Magobe" <tmagobe@gmail.com> wrote:
Isn't this wholesale/blanket labelling? Nani
anayeona huu mkutano ni "maji taka" unazuia na ule
"si wa maji taka" unaruhusiwa maana mikutano au
shughuli hizi huwa zinazuiwa kabla ya kufanyika. Hebu
twambie.

2016-07-28 16:41
GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Sijawahi kusikia zuio lolote la
shughuli za kisiasa. Nilichosikia ni siasa za maji taka
ndizo zimezuiliwa ili kuwapa mtu kufanya siasa ya maana.

--------------------------------------------

On Thu, 7/28/16, 'jbifabusha' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote: Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la
kimkakati la Mbowe na CHADEMA

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Thursday, July 28, 2016, 4:09 PM Kuwajibu

 Joseph na Mihingo ni kupoteza muda wako. Aidha
wametumwa au

 wanatumika. Sielewi mantiki ya kuzuia shughuli za
kisiasa

 mimi? Anayeunga mkopo hilo nadhani anatakiwa

 ....... Sent from Samsung

 Mobile

 -------- Original message

 --------

 From: Telesphor Magobe

 <tmagobe@gmail.com>

 Date:

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa

 jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA Kuna propaganda za ajabu sana humu!
Siwezi kuamini

 kwamba kuzuia mikutano ya vyama vya siasa au kuzuia
watu

 wasiseme kero zao hadharani ndiko kuleta maendeleo
Tanzania.

 Ni dhana mbaya na hatari. 2016-07-28 11:26 GMT+03:00

 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>: You are attacking the wrong point

 Joseph! Come back to your senses! Walau katika uzi
huu

 sijatamka neno maandamano! Ninachokiamini na
ninachokisema

 ni kwamba, vyama vya siasa viruhusiwe kufanya shughuli
za

 kisiasa kwani viko kihalali na ndizo shughuli zao. Ni
vigumu

 kelewa hilo nalo katika yale niliyoandika ??? Nasema
tena:

 si vyema kwa mamlaka yoyote ile kukataza shughuli za
vyama

 za kisiasa zinazofanywa kistaarabu na  zenye
kuzingatia

 sheria nchi! Au basi vifutwe. Kwa sababu vyama vya
siasa

 lazima vinadi sera zao, vitafute wafuasi na vikue.
Hili

 ndilo ninaloamini na ninaloweza kulisimamia even at
the

 gun point. Mengine ya Mbowe na watoto wake hayo ni
yako

 siwezi kuzuia yakazunguka kichwani kwako. Die
Gedanken

 sind frei!!!! punto e basta!!!! Date: Thu, 28 Jul

 2016 07:15:22 +0300

 Subject: Re: [wanabidii]

 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na
CHADEMA

 From: josephludovick@gmail.com

 To: wanabidii@googlegroups.com Edgar Ninao ushauri mmoja Tu kwako. Siku hiyo vaa joho,
tangulia

 mbele ya hayo maandamano!. Pamoja nawe awe Mbowe na
watoto

 wake ili kama kutakuwa na mauaji wewe na watoto wa
Mbowe

 mfe! Labda mtapata fundisho. Hamkumbuki VIJANA
waliotolewa

 kafara na CHADEMA Arusha? Hamkumbuki kafara za
morogoro?

 Hamkumbuki? CHADEMA wakati ule walisitisha vurugu zao
kwamba

 wameona maisha yanapotea! Leo kuna zuio rasmi tena la
Rais

 wanatangaza maandamano. Maana yake sasa hawaoni shida
watu

 wakifa?    Hata hivyo najua wametafuta kiki Tu!
Hakuna tena

 watanzania mazoba ama nyumbu wa kuunga mkono majizi
na

 wapiga dili! Mama Kiwasila husema walewale

 On 27 Jul 2016 22:45,

 "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:

 Malika. Kuna kazi kubwa ya kuielewa CHADEMA: Natamani wanavyuo wanaosoma Political Science
wakafanya

 study kuhusu myenendo ya vyama fulani na mfano
ukachukuliw

 wa CHADEMA. nataka kutoa Hypothesisi ya kufanyia kazi: mwelekeo
wa

 chadema hutegemea na mfadhili anayetoa fedha: Na mimi niliwahi kukiamini chama hicho kama chama cha

 kutumiwa na watanzania kuiondoa CCM madarakani. Ni
kipindi

 ilipoacha reli na kuanza kutembelea vichakani. Nilifikiri ninaielewa vizuri CHADEMA  wakati wa
mgogoro

 wake na Zitto. Huenda nilikuwa mkosaji. Nikaanza kuielewa ilipomtelekeza Dr. Slaa na
kumkaribisha

 Lowasa. Alipoingia  CHADEMA ikatelekeza na
serayake ya

 kutetea wanyonge na kumkumbatia Lowasa na ikaendesha
kampeni

 za uchaguzi bila sera au mwelekeo unaoeleweka. Funga kazi ni ''buyanga buyanga''

 inayoendelea sasa. Vitiko vya wabunge wake,mpaka
kupewa

 adhabu kila leo. Kususia bunge bila sababu na mpango
wa

 maana na kiujumla kujifanya chama cha wanaharakati ni
vigumu

 kujua kama sasa CHADEMA haitekjelezi mkakati wa

 ''mfsdhili''anayelenga kuhqkikisha
tanzania

 inavuruga amani yake. Ukiwauliza wanachama wa CHADEMA kupambana na Polisi

 mnatekeleza kipengele gani cha ilani yenu? Hawawezi
kuwa na

 jibu. nani anakiburuza chama. Ninafikiri kuwa kama kweli CHADEMA ina wanachama

 wanaokipenda basi waanze kuandamana kumkataa Mbowe
maana

 huenda analipwa kukihujumu na kulihujumu taifa, kwa
kujua au

 bila kujua. Wakichelewea watakuja kugundua wakati
chama

 kimekufa -------------------------------------------- On Wed, 7/27/16, 'mpombe mtalika' via
Wanabidii

 <wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:  Subject: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la
kimkakati

 la Mbowe na CHADEMA  To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>  Date: Wednesday, July 27, 2016, 4:34 PM  Nilifikiri  nakutarajia kuwa kuwa Mbowe atatangaza kuwa
kuanzia

 tarehe  01-09-2016 ni siku ya kwenda katika kila kona ya
majimbo

 ya  Chadema yote   na kata na mitaa walizoshinda katika uchaguzi
mkuu

 uliopita  kushiriki  na wananchi masuala ya maendeleo ikiwemo
kuendeleza na  kukusanya nguvu  ya pamoja katika kuboresha na kujenga
miundombinu mipya

 ya  kuchochea  maendeleo.  Ikiwa ni pamoja kupiga vita umasikini kwa
kuhakikisha  wanafunzi wanapata   vyumba vya madarasa, vyoo safi, vifaa vya
mashuleni

 ili  waweze kusoma  na kuelewa vizuri katika kuleta maendeleo na
demokrasia  zaidi ndani ya  chama ambayo bado ipo chini sana katika chadema
ili  kukifanya chama kije   kuwa na wanamainduzi na viongozi wazuri wa
baadaye.  Badala yake Mbowe anataka kuendelea kupambana na
polisi

 na  serikali ya  Rais Magufuli jambo amabalo litakipotezea muda
mwingi  chadema na mwisho  wa siku hakuna jipya ndani ya chama na kubakia
kuitwa

 chama  cha vurugu  na maandamano nyasiyo na tija kwa wananchi.  Mwisho niwahusie Mbowe na chadema, wanachotaka
kufanya

 ni  kosa la pili  la kimkakati badala ya kosa la awali
walilolifanya la  kukimbia bungeni  amabalo halina tija kwa wananchi wala waoi
wenyewe.  Mbowe na chadema badala ya kuendelea kufanya
makosa ya  kimkakati zaidi  amabayo hayana tija kwa wananchi waliowachagua
na

 badala  yake wanataka  kuendelea na maigizo wanayotarajia kuyafanya,
Chadema  haiwezi kufanikiwa   kwa kutunishiana misuri na jeshi la polisi
pamoja na  serikali,  watafanikiwa kwa kuleta mabadiliko katika
majimbo na

 kata  wanazoziongoza   ili mradi tu kuonekanane tofauti ya kiuongozi
baina yaoi

 na  ccm tu.  Katika hili wanalotarajia kutaka kufanya, hakika
sasa

 pengo  la Dr. Slaa  limeanza kuonekana live ndani ya chadema na ni
bora

 Lowassa  akatafuta  njia ya kutoka humo kwa kuwa hawezi kuizuia
chadema na

 siasa  za  uhanaharakati na hilo litamletea heshima zaidi
kuliko

 kubaki  ndani ya  chama ambacho hawataki kubadilika.              
               
    --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com     Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya  kudhibitisha ukishatuma     Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility  for any legal consequences of his or her
postings, and

 hence  statements and facts must be presented
responsibly.

 Your  continued membership signifies that you agree to
this  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.  ---  You received this message because you are
subscribed to

 the  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop
receiving

 emails  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines. --- You received this message because you are subscribed
to the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines. --- You received this message because you are subscribed
to the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment