Thursday 28 July 2016

Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA

Huyu mzee hajui siasa hua anakurupuka na jazba zake na chuki binafsi...hata jambo dogo tu hajui...uhai wa chama chochote cha siasa ni mikutano mzee,unazeeka vibaya usahaulifu unakua mwingi kuliko kumbukumbu hasa kwako elisa.
Ukitaka kujua hili nenda ktk katiba za vyama vyote mikutano ndio hua tunarecruit new members na kuweka mikakati ya kukamata dola na ndio maana chama chako cha ccm na serikali yake inajaa uoga wanaposikia makamamda vichwa vilivyojaa hekima na akili nyingi wanataka kuingia uwanjani.......
Unoshabikia chama uwe na hpja usishabikie kilevi

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Ni kweli mikutano ndio uhai wa vyama. (Nijibu ilo tu) Lakini pia ndiyo kifa cha vyama pia. Jana CHADEMA wamefanya mkutano, Ni ule wa ndani. Leo wewe ni shaidi kuwa CHADEMA imeshuka. Ushaidi ni mitandaoni. Ni mikutano pia inayoweza kutuzuia kwenda tunakokwenda. Aha! habari za tumejenga tangia lini nayo ni mjadala. Kwa myaka kumi iliyopita tulikuwa tunabomoa. Sasa tunajenga. Tunataka kuweka mazingira ambayo hatutabomoa tena. Kazi ya kufanya katika kipindi hiki. ndiyo maana hatutaki kupotezewa muda na wacheza sindimba.
>--------------------------------------------
>On Thu, 7/28/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, July 28, 2016, 3:18 PM
>
> Elisa,
> sijui wewe unaishi sayari gani! Kwani uchumi Tanzania
> umeanza kujengwa lini, ni mwaka huu na katika awamu hii tu?
> Katiba na sheria ya yama vya siasa inaruhusu
> shughuli/mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.
> Shughuli/mikutano hizi/hii ndiyo inayotoa majibu kwa maswali
> ya wanachama/wananchi, inapokea wanachama wapya, inawaandaa
> viongozi na ndiyo pia inayowapa wanachama/wananchi kusikia
> kauli za viongozi wao kwa mambo ambayo wameahidi. Kwa kifupi
> mikutano/shughuli za vyama vya siasa ndiyo uhai wa vyama
> vyenyewe. Chama cha siasa kikiacha kufanya hizo
> shughuli/mikutano ndiyo mwisho wa chama chenyewe. Labda
> tuseme hili ndilo lengo la hao wanaozuia shughuli/mikutano
> ya vyama vya siasa. Pili, kila chama kinaongozwa na katiba
> na sera. Na ndani ya katiba/sera ndimo kuna utaratibu wa
> kuitisha hizo shughuli na mikutano ya vyama vya siasa
> inayokatazwa. Je, sasa vyama vitatumia katiba/sera ipi
> kujiendesha? Tatu: Rais aliapa kuilinda katiba na sheria za
> nchi. Katiba na sheria vinaruhusu vyama vingi na mikutano
> inayokatazwa. Je, justification ya kukataza hiyo mikutano
> inatoka wapi?
>
> 2016-07-28 14:59 GMT+03:00
> 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
> Edgr.
> Hebu fikiria hili:
>
> Wakati wa kampeni vyma vilikuwa vinatoa ahadi kujenga uchumi
> na kuendeleza nchi.
>
> Sa kazi zimeanza ufanyika.
>
> Mu aamue kuitishamikutano na maandamano ka myaka mitan
> unafikiri ahadi zilizoahidwa zitatimizwa?? Watu ndiyo
> machinary ya kutekeleza yaliyoahidiwa. Ipo haa a kuangalia
> agenda ya mktano au mandamano na kama hisiddii klupeeka
> tunakokwenda hakuna njia. i kuzuia matendo hayo.
>
> --------------------------------------------
>
> On Thu, 7/28/16, Telesphor
> Magobe <tmagobe@gmail.com>
> wrote:
>
>
>
>  Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la
> kimkakati la Mbowe na CHADEMA
>
>  To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
>  Date: Thursday, July 28, 2016, 12:47 PM
>
>
>
>  Kuna propaganda za
>
>  ajabu sana humu! Siwezi kuamini kwamba kuzuia mikutano
> ya
>
>  vyama vya siasa au kuzuia watu wasiseme kero zao
> hadharani
>
>  ndiko kuleta maendeleo Tanzania. Ni dhana mbaya na
> hatari.
>
>
>
>  2016-07-28 11:26
>
>  GMT+03:00 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>:
>
>
>
>
>
>
>
>  You are attacking the wrong point
>
>  Joseph! Come back to your senses! Walau katika uzi huu
>
>  sijatamka neno maandamano! Ninachokiamini na
> ninachokisema
>
>  ni kwamba, vyama vya siasa viruhusiwe kufanya shughuli
> za
>
>  kisiasa kwani viko kihalali na ndizo shughuli zao. Ni
> vigumu
>
>  kelewa hilo nalo katika yale niliyoandika ??? Nasema
> tena:
>
>  si vyema kwa mamlaka yoyote ile kukataza shughuli za
> vyama
>
>  za kisiasa zinazofanywa kistaarabu na  zenye
> kuzingatia
>
>  sheria nchi! Au basi vifutwe. Kwa sababu vyama vya
> siasa
>
>  lazima vinadi sera zao, vitafute wafuasi na vikue. Hili
>
>  ndilo ninaloamini na ninaloweza kulisimamia even at the
>
>  gun point. Mengine ya Mbowe na watoto wake hayo ni yako
>
>  siwezi kuzuia yakazunguka kichwani kwako. Die Gedanken
>
>  sind frei!!!! punto e basta!!!!
>
>
>
>  Date: Thu, 28 Jul 2016 07:15:22
> +0300
>
>  Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la
>
>  kimkakati la Mbowe na CHADEMA
>
>  From: josephludovick@gmail.com
>
>  To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>  Edgar
>
>
>
>  Ninao ushauri mmoja Tu kwako. Siku hiyo vaa joho,
> tangulia
>
>  mbele ya hayo maandamano!. Pamoja nawe awe Mbowe na
> watoto
>
>  wake ili kama kutakuwa na mauaji wewe na watoto wa
> Mbowe
>
>  mfe! Labda mtapata fundisho. Hamkumbuki VIJANA
> waliotolewa
>
>  kafara na CHADEMA Arusha? Hamkumbuki kafara za
> morogoro?
>
>  Hamkumbuki? CHADEMA wakati ule walisitisha vurugu zao
> kwamba
>
>  wameona maisha yanapotea! Leo kuna zuio rasmi tena la
> Rais
>
>  wanatangaza maandamano. Maana yake sasa hawaoni shida
> watu
>
>  wakifa?
>
>
>
>     Hata hivyo najua wametafuta kiki Tu! Hakuna tena
>
>  watanzania mazoba ama nyumbu wa kuunga mkono majizi na
>
>  wapiga dili! Mama Kiwasila husema walewale
>
>  On 27 Jul 2016 22:45, "'ELISA MUHINGO' via
>
>  Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>
>  wrote:
>
>  Malika.
>
>
>
>  Kuna kazi kubwa ya kuielewa CHADEMA:
>
>
>
>  Natamani wanavyuo wanaosoma Political Science wakafanya
>
>  study kuhusu myenendo ya vyama fulani na mfano
> ukachukuliw
>
>  wa CHADEMA.
>
>
>
>  nataka kutoa Hypothesisi ya kufanyia kazi: mwelekeo wa
>
>  chadema hutegemea na mfadhili anayetoa fedha:
>
>
>
>  Na mimi niliwahi kukiamini chama hicho kama chama cha
>
>  kutumiwa na watanzania kuiondoa CCM madarakani. Ni
> kipindi
>
>  ilipoacha reli na kuanza kutembelea vichakani.
>
>
>
>  Nilifikiri ninaielewa vizuri CHADEMA  wakati wa
> mgogoro
>
>  wake na Zitto. Huenda nilikuwa mkosaji.
>
>
>
>  Nikaanza kuielewa ilipomtelekeza Dr. Slaa na
> kumkaribisha
>
>  Lowasa. Alipoingia  CHADEMA ikatelekeza na serayake ya
>
>  kutetea wanyonge na kumkumbatia Lowasa na ikaendesha
> kampeni
>
>  za uchaguzi bila sera au mwelekeo unaoeleweka.
>
>
>
>  Funga kazi ni ''buyanga buyanga''
>
>  inayoendelea sasa. Vitiko vya wabunge wake,mpaka kupewa
>
>  adhabu kila leo. Kususia bunge bila sababu na mpango wa
>
>  maana na kiujumla kujifanya chama cha wanaharakati ni
> vigumu
>
>  kujua kama sasa CHADEMA haitekjelezi mkakati wa
>
>  ''mfsdhili''anayelenga kuhqkikisha
> tanzania
>
>  inavuruga amani yake.
>
>
>
>  Ukiwauliza wanachama wa CHADEMA kupambana na Polisi
>
>  mnatekeleza kipengele gani cha ilani yenu? Hawawezi kuwa
> na
>
>  jibu. nani anakiburuza chama.
>
>
>
>  Ninafikiri kuwa kama kweli CHADEMA ina wanachama
>
>  wanaokipenda basi waanze kuandamana kumkataa Mbowe
> maana
>
>  huenda analipwa kukihujumu na kulihujumu taifa, kwa kujua
> au
>
>  bila kujua. Wakichelewea watakuja kugundua wakati chama
>
>  kimekufa
>
>
>
>  --------------------------------------------
>
>
>
>  On Wed, 7/27/16, 'mpombe mtalika' via Wanabidii
>
>  <wanabidii@googlegroups.com>
>
>  wrote:
>
>
>
>
>
>
>
>   Subject: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la
> kimkakati
>
>  la Mbowe na CHADEMA
>
>
>
>   To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>
>
>
>   Date: Wednesday, July 27, 2016, 4:34 PM
>
>
>
>
>
>
>
>   Nilifikiri
>
>
>
>   nakutarajia kuwa kuwa Mbowe atatangaza kuwa kuanzia
>
>  tarehe
>
>
>
>   01-09-2016 ni siku ya kwenda katika kila kona ya
> majimbo
>
>  ya
>
>
>
>   Chadema yote
>
>
>
>    na kata na mitaa walizoshinda katika uchaguzi mkuu
>
>  uliopita
>
>
>
>   kushiriki
>
>
>
>   na wananchi masuala ya maendeleo ikiwemo kuendeleza
> na
>
>
>
>   kukusanya nguvu
>
>
>
>   ya pamoja katika kuboresha na kujenga miundombinu
> mipya
>
>  ya
>
>
>
>   kuchochea
>
>
>
>   maendeleo.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>   Ikiwa ni pamoja kupiga vita umasikini kwa kuhakikisha
>
>
>
>   wanafunzi wanapata
>
>
>
>    vyumba vya madarasa, vyoo safi, vifaa vya mashuleni
> ili
>
>
>
>   waweze kusoma
>
>
>
>   na kuelewa vizuri katika kuleta maendeleo na
> demokrasia
>
>
>
>   zaidi ndani ya
>
>
>
>   chama ambayo bado ipo chini sana katika chadema ili
>
>
>
>   kukifanya chama kije
>
>
>
>    kuwa na wanamainduzi na viongozi wazuri wa baadaye.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>   Badala yake Mbowe anataka kuendelea kupambana na
> polisi
>
>  na
>
>
>
>   serikali ya
>
>
>
>   Rais Magufuli jambo amabalo litakipotezea muda mwingi
>
>
>
>   chadema na mwisho
>
>
>
>   wa siku hakuna jipya ndani ya chama na kubakia kuitwa
>
>  chama
>
>
>
>   cha vurugu
>
>
>
>   na maandamano nyasiyo na tija kwa wananchi.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>   Mwisho niwahusie Mbowe na chadema, wanachotaka kufanya
> ni
>
>
>
>   kosa la pili
>
>
>
>   la kimkakati badala ya kosa la awali walilolifanya la
>
>
>
>   kukimbia bungeni
>
>
>
>   amabalo halina tija kwa wananchi wala waoi wenyewe.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>   Mbowe na chadema badala ya kuendelea kufanya makosa
> ya
>
>
>
>   kimkakati zaidi
>
>
>
>   amabayo hayana tija kwa wananchi waliowachagua na
> badala
>
>
>
>   yake wanataka
>
>
>
>   kuendelea na maigizo wanayotarajia kuyafanya, Chadema
>
>
>
>   haiwezi kufanikiwa
>
>
>
>    kwa kutunishiana misuri na jeshi la polisi pamoja na
>
>
>
>   serikali,
>
>
>
>   watafanikiwa kwa kuleta mabadiliko katika majimbo na
> kata
>
>
>
>   wanazoziongoza
>
>
>
>    ili mradi tu kuonekanane tofauti ya kiuongozi baina
> yaoi
>
>  na
>
>
>
>   ccm tu.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>   Katika hili wanalotarajia kutaka kufanya, hakika sasa
>
>  pengo
>
>
>
>   la Dr. Slaa
>
>
>
>   limeanza kuonekana live ndani ya chadema na ni bora
>
>  Lowassa
>
>
>
>   akatafuta
>
>
>
>   njia ya kutoka humo kwa kuwa hawezi kuizuia chadema
> na
>
>  siasa
>
>
>
>   za
>
>
>
>   uhanaharakati na hilo litamletea heshima zaidi kuliko
>
>  kubaki
>
>
>
>   ndani ya
>
>
>
>   chama ambacho hawataki kubadilika.
>
>
>
>                                       
>  
>
>   
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>   --
>
>
>
>
>
>
>
>   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
>    
>
>
>
>
>
>
>
>   Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>
>
>
>
>   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
>  Utapata Email ya
>
>
>
>   kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
>    
>
>
>
>
>
>
>
>   Disclaimer:
>
>
>
>
>
>
>
>   Everyone posting to this Forum bears the sole
>
>  responsibility
>
>
>
>   for any legal consequences of his or her postings,
> and
>
>  hence
>
>
>
>   statements and facts must be presented responsibly.
> Your
>
>
>
>   continued membership signifies that you agree to this
>
>
>
>   disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
>  Guidelines.
>
>
>
>
>
>
>
>   ---
>
>
>
>
>
>
>
>   You received this message because you are subscribed
> to
>
>  the
>
>
>
>   Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
>
>
>
>
>   To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
>
>
>
>   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
>
>
>
>
>   For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
>
>  --
>
>
>
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
>  Disclaimer:
>
>
>
>  Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>
>  for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
>
>  statements and facts must be presented responsibly.
> Your
>
>  continued membership signifies that you agree to this
>
>  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
>
>
>  ---
>
>
>
>  You received this message because you are subscribed to

> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment