Thursday, 28 July 2016

Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA

''vaa joho, tangulia mbele ya hayo maandamano!. Pamoja nawe awe Mbowe
na watoto wake''

''Mikutano ya kikatiba inaruhusiwa, mikutano ya wabunge majimboni mwao
inaruhusiwa!
Enyi watu mnataka kafara za damu zetu za nini? Hamtosheki?''

Kwa sasa CDM tupo kwenye hali ngumu kisiasa, wengi hatupendi kuona
hivyo ila hakuna jinsi, tumejisababishia wenyewe.
Mlibadilisha gear angani hoping to fly with higher speed, mkasahau
kusoma mshale wa tank la mafuta, in the middle of Kalahari, now you
are looking for Atlantic Ocean to land, worse enough you have remain
with 2 gallons, A stupid creature like me will put on the parachute
and gamble for my breath, a clever person will go on hoping to reach
the safe zone.

Ninachokiona ni hiki, ''Motivation ya uwajibikaji, kujituma na
utendaji inakuwa kwa kasi ndani ya akili na mioyo ya watanzania kuliko
kudai maendeleo kwa maneno, maandamano na mikutano''

Kila ninapokutana na mtanzania awe muokota makopo, mchuuzi, mfanyakazi
wa serikali or whatever, najitahidi kuwaonyesha wapi tunaelekea, hata
kuwaambia ''nashukuru kwa kazi nzuri na huduma bora'' inatosha
kuamshana (japo kuna viburi kwa wengine)

Just thinking;
CDM wanataka kutuambia nini wananchi ambacho hatukioni??

NB: Ukisema nalipwa kwa kusema haya, ntafurahi as long as it hurts you
and your Boss.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment