Thursday, 28 July 2016

Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA

Nilizaliwa mwaka 1952 na sasa naishi kwangu. Nenda Google andika Elisa Muhingo. Chukua muda wako kusoma robo ya utakayokuta kurasa saba za kwanza. Kama hutapata jipu niulize tena.
--------------------------------------------
On Thu, 7/28/16, 'Lutgard Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, July 28, 2016, 5:56 PM

Elisa, huwa unalipwa kiasi
gani kwa yote haya unayoandikaga kila kuchao?

LKK                  
                                       
                    On Thursday, July 28,
2016 2:59 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Edgr. Hebu fikiria
hili:
Wakati wa kampeni vyma vilikuwa
vinatoa ahadi kujenga uchumi na kuendeleza nchi.
Sa kazi zimeanza ufanyika.
Mu
aamue kuitishamikutano na maandamano ka myaka mitan
unafikiri ahadi zilizoahidwa zitatimizwa?? Watu ndiyo
machinary ya kutekeleza yaliyoahidiwa. Ipo haa a kuangalia
agenda ya mktano au mandamano na kama hisiddii klupeeka
tunakokwenda hakuna njia. i kuzuia matendo hayo.
--------------------------------------------
On Thu, 7/28/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na
CHADEMA
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, July 28, 2016, 12:47 PM

Kuna propaganda za
ajabu sana humu! Siwezi kuamini kwamba kuzuia
mikutano ya
vyama vya siasa au kuzuia watu
wasiseme kero zao hadharani
ndiko kuleta
maendeleo Tanzania. Ni dhana mbaya na hatari.

2016-07-28 11:26
GMT+03:00 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>:You are attacking the wrong point
Joseph! Come back to your senses! Walau katika
uzi huu
sijatamka neno maandamano!
Ninachokiamini na ninachokisema
ni kwamba,
vyama vya siasa viruhusiwe kufanya shughuli za
kisiasa kwani viko kihalali na ndizo shughuli
zao. Ni vigumu
kelewa hilo nalo katika yale
niliyoandika ??? Nasema tena:
si vyema kwa
mamlaka yoyote ile kukataza shughuli za vyama
za kisiasa zinazofanywa kistaarabu na  zenye
kuzingatia
sheria nchi! Au basi vifutwe.
Kwa sababu vyama vya siasa
lazima vinadi
sera zao, vitafute wafuasi na vikue. Hili

ndilo ninaloamini na ninaloweza kulisimamia even at the
gun point. Mengine ya Mbowe na watoto wake
hayo ni yako
siwezi kuzuia yakazunguka
kichwani kwako. Die Gedanken
sind frei!!!!
punto e basta!!!!

Date:
Thu, 28 Jul 2016 07:15:22 +0300
Subject:
Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la

kimkakati la Mbowe na CHADEMA
From: josephludovick@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Edgar

Ninao ushauri mmoja Tu kwako. Siku hiyo vaa
joho, tangulia
mbele ya hayo maandamano!.
Pamoja nawe awe Mbowe na watoto
wake ili
kama kutakuwa na mauaji wewe na watoto wa Mbowe
mfe! Labda mtapata fundisho. Hamkumbuki VIJANA
waliotolewa
kafara na CHADEMA Arusha?
Hamkumbuki kafara za morogoro?
Hamkumbuki?
CHADEMA wakati ule walisitisha vurugu zao kwamba
wameona maisha yanapotea! Leo kuna zuio rasmi
tena la Rais
wanatangaza maandamano. Maana
yake sasa hawaoni shida watu
wakifa?

   Hata hivyo najua
wametafuta kiki Tu! Hakuna tena
watanzania
mazoba ama nyumbu wa kuunga mkono majizi na

wapiga dili! Mama Kiwasila husema walewale

On 27 Jul 2016 22:45, "'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Malika.

Kuna kazi kubwa ya kuielewa
CHADEMA:

Natamani
wanavyuo wanaosoma Political Science wakafanya
study kuhusu myenendo ya vyama fulani na mfano
ukachukuliw
wa CHADEMA.


nataka kutoa Hypothesisi ya kufanyia kazi:
mwelekeo wa
chadema hutegemea na mfadhili
anayetoa fedha:

Na mimi
niliwahi kukiamini chama hicho kama chama cha
kutumiwa na watanzania kuiondoa CCM
madarakani. Ni kipindi
ilipoacha reli na
kuanza kutembelea vichakani.

Nilifikiri ninaielewa vizuri CHADEMA  wakati
wa mgogoro
wake na Zitto. Huenda nilikuwa
mkosaji.

Nikaanza
kuielewa ilipomtelekeza Dr. Slaa na kumkaribisha
Lowasa. Alipoingia  CHADEMA ikatelekeza na
serayake ya
kutetea wanyonge na kumkumbatia
Lowasa na ikaendesha kampeni
za uchaguzi
bila sera au mwelekeo unaoeleweka.

Funga kazi ni ''buyanga
buyanga''
inayoendelea sasa. Vitiko
vya wabunge wake,mpaka kupewa
adhabu kila
leo. Kususia bunge bila sababu na mpango wa

maana na kiujumla kujifanya chama cha wanaharakati ni
vigumu
kujua kama sasa CHADEMA haitekjelezi
mkakati wa

''mfsdhili''anayelenga kuhqkikisha
tanzania
inavuruga amani yake.

Ukiwauliza wanachama wa
CHADEMA kupambana na Polisi
mnatekeleza
kipengele gani cha ilani yenu? Hawawezi kuwa na
jibu. nani anakiburuza chama.


Ninafikiri kuwa kama kweli CHADEMA ina
wanachama
wanaokipenda basi waanze
kuandamana kumkataa Mbowe maana
huenda
analipwa kukihujumu na kulihujumu taifa, kwa kujua au
bila kujua. Wakichelewea watakuja kugundua
wakati chama
kimekufa


--------------------------------------------

On Wed, 7/27/16, 'mpombe
mtalika' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote: Subject: [wanabidii]
01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati
la
Mbowe na CHADEMA

 To:
"ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Wednesday, July 27,
2016, 4:34 PM Nilifikiri

 nakutarajia kuwa kuwa
Mbowe atatangaza kuwa kuanzia
tarehe

 01-09-2016 ni siku ya
kwenda katika kila kona ya majimbo
ya

 Chadema yote

  na kata na mitaa
walizoshinda katika uchaguzi mkuu

uliopita

 kushiriki

 na wananchi masuala ya
maendeleo ikiwemo kuendeleza na

 kukusanya nguvu

 ya pamoja katika kuboresha na kujenga
miundombinu mipya
ya

 kuchochea


 maendeleo. Ikiwa ni
pamoja kupiga vita umasikini kwa kuhakikisha

 wanafunzi wanapata

  vyumba vya madarasa, vyoo
safi, vifaa vya mashuleni ili

 waweze kusoma

 na kuelewa vizuri katika kuleta maendeleo na
demokrasia

 zaidi ndani
ya

 chama ambayo bado
ipo chini sana katika chadema ili

 kukifanya chama kije

  kuwa na wanamainduzi na viongozi wazuri wa
baadaye. Badala
yake Mbowe anataka kuendelea kupambana na polisi
na


 serikali ya

 Rais
Magufuli jambo amabalo litakipotezea muda mwingi

 chadema na mwisho

 wa siku hakuna jipya ndani
ya chama na kubakia kuitwa
chama

 cha vurugu

 na maandamano nyasiyo na
tija kwa wananchi. Mwisho
niwahusie Mbowe na chadema, wanachotaka kufanya ni

 kosa la pili

 la kimkakati badala ya
kosa la awali walilolifanya la

 kukimbia bungeni

 amabalo halina tija kwa wananchi wala waoi
wenyewe. Mbowe na
chadema badala ya kuendelea kufanya makosa ya

 kimkakati zaidi

 amabayo hayana tija kwa
wananchi waliowachagua na badala

 yake wanataka

 kuendelea na maigizo wanayotarajia
kuyafanya, Chadema


 haiwezi kufanikiwa

 
kwa kutunishiana misuri na jeshi la polisi pamoja na

 serikali,


 watafanikiwa kwa kuleta mabadiliko
katika majimbo na kata


 wanazoziongoza

  ili
mradi tu kuonekanane tofauti ya kiuongozi baina yaoi
na

 ccm
tu. Katika hili wanalotarajia
kutaka kufanya, hakika sasa
pengo

 la Dr. Slaa

 limeanza kuonekana live
ndani ya chadema na ni bora
Lowassa

 akatafuta


 njia ya kutoka humo kwa kuwa hawezi
kuizuia chadema na
siasa


 za


 uhanaharakati na hilo litamletea heshima zaidi kuliko
kubaki


 ndani ya

 chama
ambacho hawataki kubadilika.

                             
         
  -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email
kwenda
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone
posting to this Forum bears the sole

responsibility

 for any
legal consequences of his or her postings, and
hence


 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued
membership signifies that you agree to this


 disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
Guidelines. --- You received this message because you are
subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii"
group.
 To unsubscribe from this group and stop
receiving emails

 from
it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.


---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.


---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
 
                       

--

Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.


---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.


---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment