Friday 29 July 2016

Re: [wanabidii] CHADEMA: Kwerea kwerea wa kisiasa???

Tulipokuwa tunawaongoza watanzania kukataa mpango wa ''FAST TRACK'' kuelekea shirikisho la Afrika Mashariki niliandika makala iliyosema ''Huwa siongei na viziwi labda kama pembeni mwaa kiziwi kuna anayesikia. Anayetaka makala hiyo aseme nitamtafutia). Ninapokuwa najibu chochote juu ya comment za Lissian huwa najua simwambii yeye ila wasomaji wengine.
Sasa Lesian. Mtu ukikosa kujibu zilizo kwenye makala kama hiyo ninayoeleza UKWEREA KWEREA unakuwa umejihukumu kujiondoa kwenye mjadala na unakuwa umeuangusha upande unaousimamia. Kutojibu hoja zile ni kukiri kukwama. Kuna mtu ameniuliza 'Itakuwaje September 1?' Nikamjibu hakutakuwa na kitu kama maandamano ya maana kulitingisha taifa. sanasana wataandamana akina komando yoso na makundi hayo ambayo makonda alipotangaza wakamatwe kuna waliotaka kupinga wakanyamaza baada ya kukosa hoja. Lakini ukweli hawakutaka maana wngekosa waandamanaji. Hakuna mtu atakaye acha biashara zake au shamba lake kujiunga na maandamano hayo. Yangeitishwa januari 2015 watu wangeandamana lakini sio baada ya hotuba ya kuzindua bunge la awamu ya tano. MWISHO WA KUJINUKUU
--------------------------------------------
On Fri, 7/29/16, 'Lesian' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA: Kwerea kwerea wa kisiasa???
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, July 29, 2016, 3:04 AM

Huyu mzee najiskia ata kinyaa kusoma
uchafu wako uliojaa dharau , anapoita watu tena viongoz
wakubwa kua ni kwerea kwerea ni kukosa nidham, na ni
kutokana na ubongo wake kuwa na mchanga badala ya
akili.....tena anaandika maneno yaliojaa hoja za kuokota
uchochorani......sidhan mpenda maendeleo ya demokrasi yeypte
mwenye akili anaweza kuchukua hoja hizi za kipuuzi za huyu
mzee,sina namna ya ku criticize zaid ya kudharau na kuona ni
mtu aliejaa jelousy na chuki binafsi na mzee hukuweza kuwa
mwana siasa kipind cha kujidai kwako shut up.........huwez
siasa na hutakaa uweze hata mjumbe wa nyumba kumi huwezpata
kwa kua unaonesha sifa za kibaguzi na chuk binafsi
Kweheri

'jbifabusha' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Elisha umeenfika utumbo
mtupu.Sikuungi mkopo kwa ipeo wako mdogo kisiasa.
Unakili alafu unakataa. Wewe ni mtu wa namna
gani? 

Sent
from Samsung Mobile


-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] CHADEMA: Kwerea kwerea wa kisiasa???


Ninajua kuwa Tanzania ni nchi maskini. Kwa maneno ya
kistaarabu ni nchi inayoendelea. Ni lazima tushukuru msukumo
uliojitokeza myaka ya 1990 iliyoleta mageuzi ya vyama vingi.
Kwa kusema waziwazi kama sio CHADEMA na vyama vingine, CCM
haikuwa na mpango wa kubadilika. Ni CHADEMA iliyoitia adabu
CCM mpaka (CCM) ikauvunja mtandao ulioanza kutengeneza
mkakati wa uongozi kiasi cha kufikia watu kuamini kuwa
'baada ya fulani mimi ndiye nafuata kwa urais'. Jeuri ya
mtu kuaga jimboni mwake kuwa ''Naacha ubunge nakwenda
kuwa rais. Wewe ndiwe utakuwa mbunge baada yangu na fulani
nitakupa cheo Fulani baada ya kuwa rais''. CCM ili
kuepukaa kuanguka ikalazimika kuuvunja mtandao. Ni CHADEMA
iliyoifanya CCM kuwarudia wanyonge. Ilishakuwa ya matajiri.
Ufisadi; rushwa; uholela kwa watendaji yalielekea kuwa mila
ya/utamaduni wa Tanzania. CHADEMA iliyashupalia mpaka sasa
tunaona neema. Hongera CHADEMA.

Sasa baada ya CCM kuwaaminisha watanzania kuwa inabadilika,
na kwa kweli ikaanza kuonyesha mabadiliko hayo, watanzania
wa ngeli zote tunahitaji kuungana na kujikomboa kutoka
umaskini. Tunaiona mikakati ya Serikali iliyopo madarakani.
Imeanza kuyaondoa magogo yaliyoziba barabara ya maendeleo;
yaani Rushwa, ufisadi nakadhalika. Tunahitaji kule mwishoni
tuishinikize serikali kutuongoza kutengeneza Katiba
inayotufaa kwa wakati huo angalau kwa myaka 30-50. Baada ya
hapo tutakuwa tumejijenga kiuchumi na kijamii kiasi cha
kutengeneza katiba nyingine kukabiliana na hali ya myaka
hiyo. Ndiyo. Demokrasia inakua kadri uchumi unavyokua.
Hatuwezi kutaka kuwa na demokrasia ilivyo katika nchi
zilizoendelea tukiwa bado hatujaendelea.

Kitu cha kushangaza ni mwenendo wa CHADEMA wa sasa. Mtu
unashindwa kuelewa. CHADEMA ya kabla ya 2015 May imekwenda
wapi? Kama serikali inashughulikia ufisadi na rushwa kiasi
hiki, CHADEMA inataka nini? Kama ilikuwa inatetea wanyonge,
sasa wanapoanza kuhudumiwa inapinga nini? Tunajua pamoja na
uchumi wetu mdogo bado tunaigarimia demokrasia. Jiji la Dar
Es Salaam liliwahi kuongozwa na tume badala ya baraza la
madiwani. Lilisonga mbele kiasi cha kufikiri kuwa mabaraza
yote ya madiwani yavunjwe. Lakini ili kuongeza
ushirikishwaji wananchi tunaendelea na mabaraza hayo.
Tunagarimia demokrasia kwa kulilisha bunge. Majuzi wabunge
wachache walifanya maamuzi muhimu wakati wenzao wamegoma.
Hiyo ni kipimo kuwa kumbe tunaweza kupunguza ukubwa wa
bunge.
CHADEMA inataka nini? Na uchumi wetu mdogo. Walitaka
tusimamishe mijadala ya bunge ili kushughulikia mambo
yanayoshughulikiwa na serikali. Kwa kupitia taratibu za
kawaida wakakataliwa. Wakasusia Bunge. Wamekaa nje ya bunge
huku wakilipwa posha na uchumi wetu wa kimaskini.
Wamevumiliwa. (Najua kuwa janga Fulani likitokea, ambalo
liko out of Control inaweza kusababusha kuahirishwa mijadala
bungeni ili kulijadili. Sio kila kitu). Wakakwama licha ya
kufanya vitimbwi mara wafunge midomo na bandage, mara wavae
mavazi meusi. Wakakwama. Mwaka 2008 walipogoma bungeni kwa
sababu zinazogusa maslahi ya wananchi walipotoka bungeni
walipokelewa kama mashujaa. Zamu hii wamerudi kama wachezaji
wa timu iliyofungwa. Wananchi wakawaangalia kama sanamu ya
'Bunena'.
Sasa ETI wanaanzisha operation UKUTA. Mtu mzima wa myaka na
sifa nyingine anasimama na kuwahimiza watu wa aina zote.
Wakulima, wafanyakazi, wanasiasa, waandishi wa habari,
wanasheria, wavivi, wote. Waache kufanya kazi ili kuingia
maandamano ya kuipinga serikali inayowaondolea vikwazo ili
wajiendeleze, kupinga serikali inayopiga vita rushwa na
ufisadi. Kupinga serikali inayopunguza matumizi ya kipuuzi.
Kupinga serikali iliyoamua kupunguza ukubwa wake na matumizi
ya anasa. Watu watoke kupinga serikali hiyo!?!
Astafurlahi!!! Sababu ya kupinga serikali hiyo: 'Inaziba
demokrasia'. Yaani waliotaka serikali isifuje mali. Sasa
imeamua kupunguza fujo. Eti sasa tuwaunge mkono kuilazimisha
serikali ifuje mali. Tunahitaji kutumia uchumi wetu kidogo
kujenga demokrasia au tunahitaji kutumia demokrasia kujenga
uchumi??
Kwa kweli CHADEMA imegeuka kuwa kwerea kwerea. Makundi ya
kwerea kwerea yakivamia mashamba hayaachi jani kwenye mti au
mmea. Na CHADEMA wanataka kusimamisha nchi isiendelee na
hawana sababu ya kitanzania. Kama makundi ya ndege wa kwerea
kwerea yanamiminiwa sumu iki kuokoa janga la njaa, ipo haja
ya makundi ya kwerea kwerea hawa kuwamiminia upupu. Na
katika hili ni kazi ndogo. Hakuna kushughulika na mayai.
Hayana hatia. Matetea tu ndiyo yashughulikiwe. Mbowe
amesimama na kuagiza wote niliowataja kuandamana. Inafaa
kumsaidia atangaze yeye kuwaomba wanaoandamana warudi
manyumbani. Inawezekana. Magari mapya ya
''zimamoto'' kuelekeza kwake na kumuwekea kipaza
saiti karibu. Atasema tu.

Elisa Muhingo
0767 187 507
 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings,
and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to
this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed
to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email
ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email
ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment