Friday, 29 July 2016

Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA

Edgar Mbegu,
Je, hiyo si shughuli ya kisiasa? Atasema nini ambacho wananchi wa Mkoa
wa Geita au Watanzania hawakijui au hawajawahi kukisikia? Je, huo nao
ni mkutano wa kikatiba...? Au wa Wabunge majimboni mwao...?

Suffice to say;

1. Binafsi naichukulia kama shughuli ya kiserikali kama atapelekwa kwa
gharama za serikali, ataongea na wananchi mambo ya kiserikali badala
ya kichama n.k. ningetoa jibu sahihi zaidi kama ningefahamu uelewa
wako kuhusu ''SHUGHULI ZA KISIASA'' ni zipi.

2. Anaweza kusema mengi, kuhamasisha uchapa kazi, kuwaeleza fursa
walizo nazo, kusikiliza changamoto zao, kuongea na viongozi wa ngazi
za chini na juu za mkoa huo ili kujua namna ya kutatuta baadhi ya
changamoto zinazowakabili, yawezekana akawapelekea fursa fulani
fulani, kufika kwake kunaweza kufungua milango ya kazi/fursa flani za
kiuchumi n.k. as you know Rais ni RAIS tu ndugu yangu, akifika mahali
hapaharibiki neno (Ila awe Rais bora kama Magufuli alivyo sasa au
Marehemu Mwalimu (MUNGU amrehemu Babu yetu))

3. Kuhusu kama ni mkutano wa kikatiba ni swala lingine pia, sielewi
mikutano ya kikatiba inakuwaje, utanielewesha zaidi kuhusu hili.

4. Umeshasema ni Rais anakutana na wananchi, unaposema ''..au wa
wabunge jimboni mwao...'' nimeshindwa ku-connect point 2 tofauti hapo.


Ludo & Edger
Nimependa hiyo conversation yenu ya kichina sijui ndio kisandawe,
ha ha haa

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment