Thursday 28 July 2016

Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA

Kuwajibu Joseph na Mihingo ni kupoteza muda wako. Aidha wametumwa au wanatumika. Sielewi mantiki ya kuzuia shughuli za kisiasa mimi? Anayeunga mkopo hilo nadhani anatakiwa .......

Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA

Kuna propaganda za ajabu sana humu! Siwezi kuamini kwamba kuzuia mikutano ya vyama vya siasa au kuzuia watu wasiseme kero zao hadharani ndiko kuleta maendeleo Tanzania. Ni dhana mbaya na hatari.

2016-07-28 11:26 GMT+03:00 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>:
You are attacking the wrong point Joseph! Come back to your senses! Walau katika uzi huu sijatamka neno maandamano! Ninachokiamini na ninachokisema ni kwamba, vyama vya siasa viruhusiwe kufanya shughuli za kisiasa kwani viko kihalali na ndizo shughuli zao. Ni vigumu kelewa hilo nalo katika yale niliyoandika ??? Nasema tena: si vyema kwa mamlaka yoyote ile kukataza shughuli za vyama za kisiasa zinazofanywa kistaarabu na  zenye kuzingatia sheria nchi! Au basi vifutwe. Kwa sababu vyama vya siasa lazima vinadi sera zao, vitafute wafuasi na vikue. Hili ndilo ninaloamini na ninaloweza kulisimamia even at the gun point. Mengine ya Mbowe na watoto wake hayo ni yako siwezi kuzuia yakazunguka kichwani kwako. Die Gedanken sind frei!!!! punto e basta!!!!

Date: Thu, 28 Jul 2016 07:15:22 +0300
Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA
From: josephludovick@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Edgar
Ninao ushauri mmoja Tu kwako. Siku hiyo vaa joho, tangulia mbele ya hayo maandamano!. Pamoja nawe awe Mbowe na watoto wake ili kama kutakuwa na mauaji wewe na watoto wa Mbowe mfe! Labda mtapata fundisho. Hamkumbuki VIJANA waliotolewa kafara na CHADEMA Arusha? Hamkumbuki kafara za morogoro? Hamkumbuki? CHADEMA wakati ule walisitisha vurugu zao kwamba wameona maisha yanapotea! Leo kuna zuio rasmi tena la Rais wanatangaza maandamano. Maana yake sasa hawaoni shida watu wakifa?
   Hata hivyo najua wametafuta kiki Tu! Hakuna tena watanzania mazoba ama nyumbu wa kuunga mkono majizi na wapiga dili! Mama Kiwasila husema walewale

On 27 Jul 2016 22:45, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Malika.
Kuna kazi kubwa ya kuielewa CHADEMA:
Natamani wanavyuo wanaosoma Political Science wakafanya study kuhusu myenendo ya vyama fulani na mfano ukachukuliw wa CHADEMA.
nataka kutoa Hypothesisi ya kufanyia kazi: mwelekeo wa chadema hutegemea na mfadhili anayetoa fedha:
Na mimi niliwahi kukiamini chama hicho kama chama cha kutumiwa na watanzania kuiondoa CCM madarakani. Ni kipindi ilipoacha reli na kuanza kutembelea vichakani.
Nilifikiri ninaielewa vizuri CHADEMA  wakati wa mgogoro wake na Zitto. Huenda nilikuwa mkosaji.
Nikaanza kuielewa ilipomtelekeza Dr. Slaa na kumkaribisha Lowasa. Alipoingia  CHADEMA ikatelekeza na serayake ya kutetea wanyonge na kumkumbatia Lowasa na ikaendesha kampeni za uchaguzi bila sera au mwelekeo unaoeleweka.
Funga kazi ni ''buyanga buyanga'' inayoendelea sasa. Vitiko vya wabunge wake,mpaka kupewa adhabu kila leo. Kususia bunge bila sababu na mpango wa maana na kiujumla kujifanya chama cha wanaharakati ni vigumu kujua kama sasa CHADEMA haitekjelezi mkakati wa ''mfsdhili''anayelenga kuhqkikisha tanzania inavuruga amani yake.
Ukiwauliza wanachama wa CHADEMA kupambana na Polisi mnatekeleza kipengele gani cha ilani yenu? Hawawezi kuwa na jibu. nani anakiburuza chama.
Ninafikiri kuwa kama kweli CHADEMA ina wanachama wanaokipenda basi waanze kuandamana kumkataa Mbowe maana huenda analipwa kukihujumu na kulihujumu taifa, kwa kujua au bila kujua. Wakichelewea watakuja kugundua wakati chama kimekufa
--------------------------------------------
On Wed, 7/27/16, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA
 To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Wednesday, July 27, 2016, 4:34 PM

 Nilifikiri
 nakutarajia kuwa kuwa Mbowe atatangaza kuwa kuanzia tarehe
 01-09-2016 ni siku ya kwenda katika kila kona ya majimbo ya
 Chadema yote
  na kata na mitaa walizoshinda katika uchaguzi mkuu uliopita
 kushiriki
 na wananchi masuala ya maendeleo ikiwemo kuendeleza na
 kukusanya nguvu
 ya pamoja katika kuboresha na kujenga miundombinu mipya ya
 kuchochea
 maendeleo.

 Ikiwa ni pamoja kupiga vita umasikini kwa kuhakikisha
 wanafunzi wanapata
  vyumba vya madarasa, vyoo safi, vifaa vya mashuleni ili
 waweze kusoma
 na kuelewa vizuri katika kuleta maendeleo na demokrasia
 zaidi ndani ya
 chama ambayo bado ipo chini sana katika chadema ili
 kukifanya chama kije
  kuwa na wanamainduzi na viongozi wazuri wa baadaye.

 Badala yake Mbowe anataka kuendelea kupambana na polisi na
 serikali ya
 Rais Magufuli jambo amabalo litakipotezea muda mwingi
 chadema na mwisho
 wa siku hakuna jipya ndani ya chama na kubakia kuitwa chama
 cha vurugu
 na maandamano nyasiyo na tija kwa wananchi.

 Mwisho niwahusie Mbowe na chadema, wanachotaka kufanya ni
 kosa la pili
 la kimkakati badala ya kosa la awali walilolifanya la
 kukimbia bungeni
 amabalo halina tija kwa wananchi wala waoi wenyewe.

 Mbowe na chadema badala ya kuendelea kufanya makosa ya
 kimkakati zaidi
 amabayo hayana tija kwa wananchi waliowachagua na badala
 yake wanataka
 kuendelea na maigizo wanayotarajia kuyafanya, Chadema
 haiwezi kufanikiwa
  kwa kutunishiana misuri na jeshi la polisi pamoja na
 serikali,
 watafanikiwa kwa kuleta mabadiliko katika majimbo na kata
 wanazoziongoza
  ili mradi tu kuonekanane tofauti ya kiuongozi baina yaoi na
 ccm tu.

 Katika hili wanalotarajia kutaka kufanya, hakika sasa pengo
 la Dr. Slaa
 limeanza kuonekana live ndani ya chadema na ni bora Lowassa
 akatafuta
 njia ya kutoka humo kwa kuwa hawezi kuizuia chadema na siasa
 za
 uhanaharakati na hilo litamletea heshima zaidi kuliko kubaki
 ndani ya
 chama ambacho hawataki kubadilika.
                                         
 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment