Friday 29 July 2016

Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA

Magobe,
Ninavyoelewa mimi, mikutano ya kisiasa haijakatazwa;
1. wabunge na wananchi wao wanaweza kukutana na wakafanya mikutano.
2. Vyama vya siasa na wanachama wake wanaweza kukutana na kufanya
vikao na mipango yao.
3. shughuli za kisiasa ndani ya vyama vya kisiasa kama uendeshaji wa
ofisi, utumishi na kazi nyingine za kila siku za vyama zinaweza
kuendelea kufanyika.
4. Vyama vya siasa kuwakusanya wananchi wa maeneo tofauti tofauti na
kuwaweka sehem moja, na viongozi wa vyama hivyo kutumia muda huo
kuanza kukejeli uongozi wa serikali iliyopo madarakani, kupandikiza
chuki kwa wananchi dhidi ya viongozi wao, HILI NDILO LINALOKATALIWA NA
MAGUFULI pamoja na kuungwa mkono na mimi binafsi na wengine wengi
(nikimaanisha zaidi ya mtu mmoja).

Kwa mtazamo wangu, tungeanza kujiuliza mipaka ya agizo hili kabla ya
kusema demokrasia inakandamizwa.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment