Thursday 28 July 2016

Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA

Ni kweli mikutano ndio uhai wa vyama. (Nijibu ilo tu) Lakini pia ndiyo kifa cha vyama pia. Jana CHADEMA wamefanya mkutano, Ni ule wa ndani. Leo wewe ni shaidi kuwa CHADEMA imeshuka. Ushaidi ni mitandaoni. Ni mikutano pia inayoweza kutuzuia kwenda tunakokwenda. Aha! habari za tumejenga tangia lini nayo ni mjadala. Kwa myaka kumi iliyopita tulikuwa tunabomoa. Sasa tunajenga. Tunataka kuweka mazingira ambayo hatutabomoa tena. Kazi ya kufanya katika kipindi hiki. ndiyo maana hatutaki kupotezewa muda na wacheza sindimba.
--------------------------------------------
On Thu, 7/28/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, July 28, 2016, 3:18 PM

Elisa,
sijui wewe unaishi sayari gani! Kwani uchumi Tanzania
umeanza kujengwa lini, ni mwaka huu na katika awamu hii tu?
Katiba na sheria ya yama vya siasa inaruhusu
shughuli/mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.
Shughuli/mikutano hizi/hii ndiyo inayotoa majibu kwa maswali
ya wanachama/wananchi, inapokea wanachama wapya, inawaandaa
viongozi na ndiyo pia inayowapa wanachama/wananchi kusikia
kauli za viongozi wao kwa mambo ambayo wameahidi. Kwa kifupi
mikutano/shughuli za vyama vya siasa ndiyo uhai wa vyama
vyenyewe. Chama cha siasa kikiacha kufanya hizo
shughuli/mikutano ndiyo mwisho wa chama chenyewe. Labda
tuseme hili ndilo lengo la hao wanaozuia shughuli/mikutano
ya vyama vya siasa. Pili, kila chama kinaongozwa na katiba
na sera. Na ndani ya katiba/sera ndimo kuna utaratibu wa
kuitisha hizo shughuli na mikutano ya vyama vya siasa
inayokatazwa. Je, sasa vyama vitatumia katiba/sera ipi
kujiendesha? Tatu: Rais aliapa kuilinda katiba na sheria za
nchi. Katiba na sheria vinaruhusu vyama vingi na mikutano
inayokatazwa. Je, justification ya kukataza hiyo mikutano
inatoka wapi?

2016-07-28 14:59 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Edgr.
Hebu fikiria hili:

Wakati wa kampeni vyma vilikuwa vinatoa ahadi kujenga uchumi
na kuendeleza nchi.

Sa kazi zimeanza ufanyika.

Mu aamue kuitishamikutano na maandamano ka myaka mitan
unafikiri ahadi zilizoahidwa zitatimizwa?? Watu ndiyo
machinary ya kutekeleza yaliyoahidiwa. Ipo haa a kuangalia
agenda ya mktano au mandamano na kama hisiddii klupeeka
tunakokwenda hakuna njia. i kuzuia matendo hayo.

--------------------------------------------

On Thu, 7/28/16, Telesphor
Magobe <tmagobe@gmail.com>
wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la
kimkakati la Mbowe na CHADEMA

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Thursday, July 28, 2016, 12:47 PM

 Kuna propaganda za

 ajabu sana humu! Siwezi kuamini kwamba kuzuia mikutano
ya

 vyama vya siasa au kuzuia watu wasiseme kero zao
hadharani

 ndiko kuleta maendeleo Tanzania. Ni dhana mbaya na
hatari.

 2016-07-28 11:26

 GMT+03:00 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>:

 You are attacking the wrong point

 Joseph! Come back to your senses! Walau katika uzi huu

 sijatamka neno maandamano! Ninachokiamini na
ninachokisema

 ni kwamba, vyama vya siasa viruhusiwe kufanya shughuli
za

 kisiasa kwani viko kihalali na ndizo shughuli zao. Ni
vigumu

 kelewa hilo nalo katika yale niliyoandika ??? Nasema
tena:

 si vyema kwa mamlaka yoyote ile kukataza shughuli za
vyama

 za kisiasa zinazofanywa kistaarabu na  zenye
kuzingatia

 sheria nchi! Au basi vifutwe. Kwa sababu vyama vya
siasa

 lazima vinadi sera zao, vitafute wafuasi na vikue. Hili

 ndilo ninaloamini na ninaloweza kulisimamia even at the

 gun point. Mengine ya Mbowe na watoto wake hayo ni yako

 siwezi kuzuia yakazunguka kichwani kwako. Die Gedanken

 sind frei!!!! punto e basta!!!!

 Date: Thu, 28 Jul 2016 07:15:22
+0300

 Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la

 kimkakati la Mbowe na CHADEMA

 From: josephludovick@gmail.com

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Edgar

 Ninao ushauri mmoja Tu kwako. Siku hiyo vaa joho,
tangulia

 mbele ya hayo maandamano!. Pamoja nawe awe Mbowe na
watoto

 wake ili kama kutakuwa na mauaji wewe na watoto wa
Mbowe

 mfe! Labda mtapata fundisho. Hamkumbuki VIJANA
waliotolewa

 kafara na CHADEMA Arusha? Hamkumbuki kafara za
morogoro?

 Hamkumbuki? CHADEMA wakati ule walisitisha vurugu zao
kwamba

 wameona maisha yanapotea! Leo kuna zuio rasmi tena la
Rais

 wanatangaza maandamano. Maana yake sasa hawaoni shida
watu

 wakifa?

    Hata hivyo najua wametafuta kiki Tu! Hakuna tena

 watanzania mazoba ama nyumbu wa kuunga mkono majizi na

 wapiga dili! Mama Kiwasila husema walewale

 On 27 Jul 2016 22:45, "'ELISA MUHINGO' via

 Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:

 Malika.

 Kuna kazi kubwa ya kuielewa CHADEMA:

 Natamani wanavyuo wanaosoma Political Science wakafanya

 study kuhusu myenendo ya vyama fulani na mfano
ukachukuliw

 wa CHADEMA.

 nataka kutoa Hypothesisi ya kufanyia kazi: mwelekeo wa

 chadema hutegemea na mfadhili anayetoa fedha:

 Na mimi niliwahi kukiamini chama hicho kama chama cha

 kutumiwa na watanzania kuiondoa CCM madarakani. Ni
kipindi

 ilipoacha reli na kuanza kutembelea vichakani.

 Nilifikiri ninaielewa vizuri CHADEMA  wakati wa
mgogoro

 wake na Zitto. Huenda nilikuwa mkosaji.

 Nikaanza kuielewa ilipomtelekeza Dr. Slaa na
kumkaribisha

 Lowasa. Alipoingia  CHADEMA ikatelekeza na serayake ya

 kutetea wanyonge na kumkumbatia Lowasa na ikaendesha
kampeni

 za uchaguzi bila sera au mwelekeo unaoeleweka.

 Funga kazi ni ''buyanga buyanga''

 inayoendelea sasa. Vitiko vya wabunge wake,mpaka kupewa

 adhabu kila leo. Kususia bunge bila sababu na mpango wa

 maana na kiujumla kujifanya chama cha wanaharakati ni
vigumu

 kujua kama sasa CHADEMA haitekjelezi mkakati wa

 ''mfsdhili''anayelenga kuhqkikisha
tanzania

 inavuruga amani yake.

 Ukiwauliza wanachama wa CHADEMA kupambana na Polisi

 mnatekeleza kipengele gani cha ilani yenu? Hawawezi kuwa
na

 jibu. nani anakiburuza chama.

 Ninafikiri kuwa kama kweli CHADEMA ina wanachama

 wanaokipenda basi waanze kuandamana kumkataa Mbowe
maana

 huenda analipwa kukihujumu na kulihujumu taifa, kwa kujua
au

 bila kujua. Wakichelewea watakuja kugundua wakati chama

 kimekufa

 --------------------------------------------

 On Wed, 7/27/16, 'mpombe mtalika' via Wanabidii

 <wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:

  Subject: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la
kimkakati

 la Mbowe na CHADEMA

  To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Wednesday, July 27, 2016, 4:34 PM

  Nilifikiri

  nakutarajia kuwa kuwa Mbowe atatangaza kuwa kuanzia

 tarehe

  01-09-2016 ni siku ya kwenda katika kila kona ya
majimbo

 ya

  Chadema yote

   na kata na mitaa walizoshinda katika uchaguzi mkuu

 uliopita

  kushiriki

  na wananchi masuala ya maendeleo ikiwemo kuendeleza
na

  kukusanya nguvu

  ya pamoja katika kuboresha na kujenga miundombinu
mipya

 ya

  kuchochea

  maendeleo.

  Ikiwa ni pamoja kupiga vita umasikini kwa kuhakikisha

  wanafunzi wanapata

   vyumba vya madarasa, vyoo safi, vifaa vya mashuleni
ili

  waweze kusoma

  na kuelewa vizuri katika kuleta maendeleo na
demokrasia

  zaidi ndani ya

  chama ambayo bado ipo chini sana katika chadema ili

  kukifanya chama kije

   kuwa na wanamainduzi na viongozi wazuri wa baadaye.

  Badala yake Mbowe anataka kuendelea kupambana na
polisi

 na

  serikali ya

  Rais Magufuli jambo amabalo litakipotezea muda mwingi

  chadema na mwisho

  wa siku hakuna jipya ndani ya chama na kubakia kuitwa

 chama

  cha vurugu

  na maandamano nyasiyo na tija kwa wananchi.

  Mwisho niwahusie Mbowe na chadema, wanachotaka kufanya
ni

  kosa la pili

  la kimkakati badala ya kosa la awali walilolifanya la

  kukimbia bungeni

  amabalo halina tija kwa wananchi wala waoi wenyewe.

  Mbowe na chadema badala ya kuendelea kufanya makosa
ya

  kimkakati zaidi

  amabayo hayana tija kwa wananchi waliowachagua na
badala

  yake wanataka

  kuendelea na maigizo wanayotarajia kuyafanya, Chadema

  haiwezi kufanikiwa

   kwa kutunishiana misuri na jeshi la polisi pamoja na

  serikali,

  watafanikiwa kwa kuleta mabadiliko katika majimbo na
kata

  wanazoziongoza

   ili mradi tu kuonekanane tofauti ya kiuongozi baina
yaoi

 na

  ccm tu.

  Katika hili wanalotarajia kutaka kufanya, hakika sasa

 pengo

  la Dr. Slaa

  limeanza kuonekana live ndani ya chadema na ni bora

 Lowassa

  akatafuta

  njia ya kutoka humo kwa kuwa hawezi kuizuia chadema
na

 siasa

  za

  uhanaharakati na hilo litamletea heshima zaidi kuliko

 kubaki

  ndani ya

  chama ambacho hawataki kubadilika.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed
to

 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment