Wednesday, 27 July 2016

[wanabidii] NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA JUMAMOSI 30 JULAI 2016 STUTTGART,UJERUMANI


FFU-Ughaibuni Ngoma Africa Band Kutumbuiza jumamosi 30 Julai 2016 Onyesho la XXL AFRO SUMMER JAM ,Stuttgart,Ujerumani

Baada ya kuwadatisha washabiki katika maonyesho mawili makubwa kule bayreuth na tubingen sasa kamanda Ras Makunja anakipeleka kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni katika onyesho kubwa la XXL Afro Summer Jam mjini Stuttgart nchini ujerumani,onyesho hilo litafanyika siku ya jumamosi 30 Julai 2016 katika ukumbi mkubwa Kulturhaus
Arena,uliopo Ulmer Str. 241, 70327 Stuttgart,ujerumani,akiongea na vyombo vya habari kiongozi wa bendi hiyo Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja alisema Ngoma Africa band ni mali ya washabiki na ina kazi moja tu nayo kudatisha washabiki katika kila onyesho bila kuremba remba , bendi hiyo iliyojizolea umaarufu na maelfu ya washabiki kila kona duniani
imejiwekea rekodi ya aina yake kuwa ni bendi ya mwanzo ya kiafrika kuimiri vishindo,na kudumu kwa miaka 23 ughaibuni na kufanikiwa kuwanasa washabiki wa kimataifa.
ungana nao at www.ngoma-africa.com
wape hi at www.facebook.com/ngomaafricaband

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment