Sunday 31 July 2016

Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA CHADEMA SEPTEMBER 1: Polisi wangapi wanatakiwa kulinda maandamano hayo?

Hunaga kz kama umekodiwa mzee kuandikaga unachoona ww na upeo wako mdogo, unatumia mda wako vibaya kama huna kaz kalima mh Rais kashajaza nafasi zoote, ulitakiwa ungeanza zamani kama kina pole pole ww kakusahau.....na acha dharau wavuta bangi hata mwanao huend nae yumo humo.......maana ww adui mkubwa ni mbowe na lowasa tu na sio chadema......na ingekua una akili timamu ungewaona kua ndio wanaofanya mabadiliko haya yanayotekelezwa na Rais ndio waliokua wakipiga kelele bungeni kila siku, wkt hao unaowaona safi waliua wakishangilia na kusinzia tu na kuuunga mkono hoja...au hufuatiliagi nn, kati ya upinzani na ccm nani wanaoongoza kwa kuraise issues wee mzee...escrow...iptl,ishu za ufisadi kwenye halmashaur, zoote hiz nadhan utasema ndio upinzani....hv sasa ww mnapowaona sio nakushangaeni.....
Upinzani ndio pekee inayowatetea watanzania ccm wao ni kuunga mkono hoja regardless hiw it is, hata kama ni mkataba fake watagonga meza ndioooo,hata kama ni wa kinyonyaji utasikia ndiooooo.....hv leo kuna mikodi kibao imekua imposed ktk budget hii ambayo ni mzgo mkubwa kwa kua washaur wa serikali wameshindwa kushaur vizur, wanashindwa kwenda kwenye madini na ma hotel makubwa kupeleka kodi huko.....kodi ya madini...mrahaba hadi leo bado haulete faida kwetu, bado migodi inawanufaisha wawekezaji....wkt mi nilijua ndio eneo la kwenda kurediscuss kupatkane kodi ambayo itakua sawa...refer botwasana wawekezaji wana share 30 na 60 ni share za serikali.....why not sisi
Haya masuala kwakua ccm wanasinziaga tu ndio maana hatunufaik na migodi yetu na kwa kua wapinzani wapo watafanyia kaz hadi kieleweke......mambo ni mengi
Sasa nashangaa et wao adui mkubwa ni upinzani......anywa y mikutano ya sept itakuwepo kama kawa

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Siku moja nikiwa Kariakoo nilimuona mwendesha gari akikwepa nyanya, maparachichi na matunda mengine ya maskini (machinga) fulani waliokuwa wamepanga pembezoni mwa barabara biashara zao. Mwendesha gari huyo alijitahidi kuwakwepa ndugu zetu hao baadaye akaishiwa na subira. Akaendesha gari kwa mwendo zaidi na akaishia kukanyaga bidhaa za watu. Machinga hao walilalamika kwa uchungu. Pembeni nikaona hakuna wa kulaumu. Ukimsikiliza machinga huyo maskini, utaona mwendesha gari ana makosa. Ukimsikiliza mwenye gari, utaona maskini hao wana makosa.
>Nalinganisha hali hiyo na ile inayoweza kujitokeza wakati wa maandamano yanayoandaliwa na CHADEMA n hi nzima.
>Nimefikiria sana baada ya kusikia CHADEMA wanadhamiria kuendesha maandamano licha ya serikali kutoridhia. Nikawaza ni nini kinaweza kutokea upande wa CHADEMA ukishinda kwa hiyo maandamano yakafanyika.
>
>Uzoefu unaonyesha kuna wakati mikoa huhitaji polisi kutoka mkoa jirani kudhibiti hali katika kulinda usalama wa raia. Kuna mambo ya kuzingatia katika maandamano yanayopangwa:
>1) Maandamano hayo yatakuwa nchi nzima. Kwa hiyo hakuna cha Kagera kuazima Polisi wa Geita au Arusha kuazima wa Tanga.
>2) Haiepukiki kuwa maandamano hayo yatashirikisha wote walioalikwa na mwenyekiti wa CHADEMA na wengine ambao hawakukusudiwa (au walikusudiwa, hatujiu) hao ni wavuta bangi; wabugia unga; vibaka na watumia viroba nakadhalika.
>3) Kuna watu wamegundua kuwa serikali hii imeanza kushughulikia kero zao. Rushwa imepungua; kodi na tozo za kuudhi zinashughulikiwa; mikopo nafuu inaanza kupatikana kirahisi na masharti yamepungua. Walioona hayo wako bize kupitapita huku na huku kujiletea maendeleo kwa kuanzisha na kuendeleza miradi ya kiuchumi.
>
>Siku ya maandamano makundi haya yatakuwa yanatumia barabara zilezile. Masoko yaleyale. Viwanja vilevile. Kama waandamanaji wakitanda toka Kyerwa mpaka Kayanga (Mkoani Kagera), na magari yakawa yanakimbiza ndizi kupeleka Kahama na Shinyanga; nani atapisha mwingine?
>Kama magari na waandamanaji wakikutana barabara ya Makete Makambako. Hawa wanakimbiza mbao na viazi sokoni na wengine wanatii amri ya chama chao; nani atapisha mwenzake?
>HAKUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ANAWEZA KUPANGA MAANDAMANO BILA KUJADILI HAYO.
>
>Ninachofahamu ni kuwa Taifa halina Polisi wa kutosha kusimamia maandamano hayo na shughuli za kawaida zinazofanywa na polisia ambao nilisikia majuzi Bungeni kuwa hawatoshi. Kinachoweza kutokea ni Taifa kuazima Polisi kutoka Rwanda, Uganda, Burundi na Sudani ya Kusini kuja kusaidia shughuli hii muhimu.
>Natamani kupata management document ya maandamano hayo. Nikiipata nitakimbilia kusoma ukurasa wenye: Expected Output na Expected Outcome (matokeo tarajiwa).
>Nitapenda kujua indicators of success (viashiria vya mafanikio) na means of verifications (namna ya kuhakiki mafanikio.
>Kama Expected Output ni: Idadi ya watu walioumia na kufa barabarani.
>Nikikuta jedwali linaonyesha matokeo tarajiwa ni Vifo vya watu barabarani; majeruhi wa kutosha; kujaza wahalifu vituo vya polisi na magereza na mwisho kutoweka kwa amani au taifa kutotawaliwa.
>Nikikuta viashiria ni idadi ya majeruhi; Idadi ya vifo na idadi ya maduka yaliyovunjwa, na ongezeko la mahabusu, nitajua kuwa mpango huu umepangwa na watu makini. Nisipokuta kipengele hiki ndani ya andiko la mradi huu wa CHAMA KIKUU CHA UPINZANI nitaacha kuwakemea wanaowaita manyumbu.
>Nisichotaka kusikia ni hiki: kuwa makala hii imesababisha kuahirishwa au kufutwa kwa maandamano hayo. Sitoi ushauri wa bure mimi. Itabidi walipie.
>
>
>  --
>
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>  Disclaimer:
>
>  Everyone posting to
>
>  this Forum bears the sole responsibility for any legal
>
>  consequences of his or her postings, and hence statements
>
>  and facts must be presented responsibly. Your continued
>
>  membership signifies that you agree to this disclaimer
> and
>
>  pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>  ---
>
>  You received this message
>
>  because you are subscribed to the Google Groups
>
>  "Wanabidii" group.
>
>  To unsubscribe
>
>  from this group and stop receiving emails from it, send
> an
>
>  email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>  For more options, visit
>
>  https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment