Thursday 28 July 2016

[wanabidii] Mafunzo ya ujasiriamali na ubunifu siku ya jumamosi tarehe 30/6/2016


Kampuni ya CPM Business Consultants imeanzisha mpango wa mafunzo ya ujasiriamali na ubunifu na kujenga mtandao wa wajasiriamali Tanzania. Malengo ya mpango huu ni kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa vitendo, kuwawezesha wajasiriamali kujifunza ujasiriamali huku wakiingiza kipato kupitia mpango huu.
Mafunzo haya yatafanyika siku ya jumamosi tarehe 30/7/2016 katika ukumbi wa Hawaii, Kimara Baruti kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 7.00 mchana. Kiingilio cha mafunzo ni sh. 15,000. Motisha ya Sh. 5000 kwa kila mtu aliyealikwa itatolewa kwa mtu yeyote atakayealika watu wengine.
Mada zitakazowasilishwa ni;
1.Namna ya kupanga malengo ya kifedha.
2. Namna ya kubuni wazo zuri la biashara
3.Namna ya kuandaa timu ya kutekeleza malengo
4. Namna ya kuendesha biashara kwa ufanisi na kufikia malengo yaliyowekwa.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Charles Nazi Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya CPM Business Consultants kwa simu namba 0755394701. Tafadhali sambaza ujumbe huu kwa marafiki zako.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment