Friday 29 July 2016

Re: [wanabidii] CHADEMA: Kwerea kwerea wa kisiasa???

Kim;
Hakuna hiyo kitu.
Hawa ndugu hawaelewagi,wanachotaka ni kuungwa mkono kwenye usanii wao.
Bado wanajua Watz wamelala,hii inji mpya inayojengwa hawaitambui na hawajui kama ni kwa manufaa ya wote pamoja na wao.
Ninachokiona wanapinga hata yale waliyokuwa wanahubiri kabla ya kubadilishia gia angani,kwa ujumla hawaeleweki.
Ninachowaomba wazingatie na kutekeleza azma yao ya kuandamana hapo 01/09/2016 na nitawaelewa vizuri sana kama nitawaona kina Mbowe,nywele nyeupe,Lessian n.k wakiwa mstari wa mbele wa maandamano na sio kuona wahuni ambao wapo katika hali ya ulevi.
Lakini pia kuna watu wapo kimya kabisa tangu gia ilipobadilishwa angani km kina Mnyika sijui sababu ni nini?
Kama Mnyika yupo hapa naomba anijibu,sisikii kabisa makeke yake.
 
Reuben


On Saturday, July 30, 2016 7:26 AM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:


''.....Ikitokea Magufuli akamaliza urais bila kuacha hizo institutins
ambazo zitaudhibiti Ukikwete mwingine, kutakuwa kushindwa kwake nami
nitamuaga kwa kumwita msanii...... ''

Absolutely right Baba Muhingo!!
Tunatengeneza Tanzania mpya kwa sasa, tunaomba viongozi na wanachama
wa upinzani tuelewe swala hili kwa mapana na marefu yake.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment