Monday 18 July 2016

Re: [wanabidii] Ukistaajabu ya Profesa Lipumba utayaona ya Chadema

Ungesoma sana articles zangu ungejua kuwa CCM kwangu ni chombo cha kunifikisha ninakikwenda. Lipumba ni mtu mwenye akili na msimamo. Ndiyo maana alipinga kwa kuondoka na baada ya kufanikiwa anataka kurudi. Hata mimi mwana CCM mara kadhaa nimesema kama CCM haibadiliki basi tuchague chama kingine kiongoze nchi ili ijirekebishe. Gahati mbaya chama kilichotarajiwa kikafa na CCM ikajirekebisha. Twende mbele. Tunajaribu kuwashawishi akina Lipumba warudi ili wavijenge vyama vilivyosambaratika kusudi tuwe na chama kinachoweza kuongoza nchi kusudi tuwe na choice. Sasa choice no 1 ni CCM choice number 2 ni CCM na choice numbner 3 ni CCM.
--------------------------------------------
On Sun, 7/17/16, 'Lesian' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Ukistaajabu ya Profesa Lipumba utayaona ya Chadema
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, July 17, 2016, 2:20 AM

Muhingo hoja zingine unazoandika
unakua kama  umeleww bro, hv huamini kua uongoz wa ccm
ni mbovu.....simple'logic kwann wanatumbuliwa
majibu.......uwenge na uwezo wa kujenga hoja mzee acha
kunywa maji ya bebdera ya ccm.....
Lipumba, arejee cuf kwann nyie ccm ndio mnapenda sana
arudi,'kaz mliomtuma imeshindwa huyo ni kibaraka wa
ccm....asiejua labda ni mtoto aliezaliwa mwaka
huu.....kibaraka mtiifu wa ccm anakomaa na njaa zake arud
cuf kuharibu kaz waliofanya majemedar  kina
lowasa,sumaye, mh seif,mbowe na team yoote ya ukawa, na ndio
maana sasa CUF ina wabunge kibao na madiwani bara....enzi za
kibaraka  huyo unaemshbikia alikuwepo mbunge mmoja tu
wa lindi tena alishinda kwa nguvu zake mwenyewe ...leo
wabunge kibao thru ukawa anaeinga yeye,sasa hata ww na ulevi
wako wa akili utamkaribishaje tena mtu kama huyo anaependa
kula tu bali hapiki.....simple logic is there, ni sawa na
kuyarudia matapish yake, msomi mzima antaka ale matapishi
yake, ss as ukawa tunasema hata ale matapishi yake kiti kile
atapewa hata mh mtatiro,'kinamtosha kuliko prof huyu
aliejiaibisha.
Elisa, siasa zake si za kupenda nchi  bali ni za
kishabiki na lengo lako ni kuona demokrasi ikifa, huwezi
zuia demokrasia hap mh,hata mfanyeje

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

>Hivi kipi kinashangaza CDM kumpokea Lowasa akitokea CCM
ambayo ilifahamika kwao kuwa chama kibovu AU CUF kumrudisha
Lipumba kwenye nafasi yake kwa sababu alichokikataa
kimekataliwa na watanzania wote? CCM mbovu ni ipi: Bendela
yake, majengo yake au VIONGOZI WAKE? Kama ni viongozi iweje
CDM wampokee kiongozi mbovu kutoka CCM iwe sawa lakini CUF
kumrudisha kiongozi wake aliyemkataa kiongozi mbovu atake
kurudi wamshambulie. Nani hajaelewa kwa nini kuna msemo kuwa
upinzani ni manyumbu? Ninadhani viongozi wetu wanahitaji
kujiuliza mara kadhaa kabla ya kutamka chochote.
>--------------------------------------------
>On Sat, 7/16/16, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Subject: [wanabidii] Ukistaajabu ya Profesa Lipumba
utayaona ya Chadema
> To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Saturday, July 16, 2016, 4:28 PM
>
> HAPO
> zamani za kale, paliibuka msemo maarufu, usemao,
> "Ukiyastaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni".
>
>
>
> Kwa muktadha wa haya yaendeleayo hii leo katika siasa
> muflisi nchini
> mwetu, lau kama utaamua kuubadili msemo huo, kwa kuwa
akina
> 'Mtume
> Mussa' walikwishamalizika duniani, basi pale kwenye
jina
> la 'Mussa'
> upabadili kwa kuliweka jina la 'Lipumba'.
>
>
>
> Walakini kwakuwa Mafirauni yangali yanaishi hadi hii
leo,
> hivyo hapo
> kwenye jina 'Firauni' unaweza kupaacha vivyo hivyo,
ima
> ukamtafuta
> Firauni yeyote mashuhuri hapa Tanzania kisha
ukambandikia
> lakabu hiyo.
>
>
>
> Kwa mara nyingine tena Chama cha Wananchi – CUF
kinaingiwa
> na tajriba
> nyingine, baada ya mwanachama wao aliyebingwa wa
uchumi
> duniani,
> mzalendo wa enzi za BBC (Born Before Computer), mtoto
wa
> mkulima wa
> Ilolangulu, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba,
kumwandikia
> barua Katibu
> mkuu wa chama chake cha siasa CUF, Maalim Seif Sharif
Hamad,
> akiianika
> dhamira yake ya kutaka kuurejea wadhifa wake wa
Uenyekiti wa
> chama hicho
>  taifa, alioachana nao baada ya kuamua kujiuzulu
takribani
> mwaka mmoja
> sasa, na kubakia kuwa mwanachama wa kawaida tu katika
chama
> hicho.
>
>
>
> Katika maelezo yake wakati alipokuwa akijiuzulu
wadhifa
> wake, gwiji na
> galacha huyo wa uchumi alitanabahisha kwamba dhamira
yake
> ilimsuta
> kuendelea kumuunga mkono Edward Lowassa aliyejiunga na
vyama
> vinavyounda
>  Umoja wa Katiba ya Wananchi-UKAWA ili kugombea
urais wa
> nchi hii.
>
>
>
> Msimamo wa Profesa Lipumba wa kutokuwa na imani juu ya
> Lowassa,
> aliyetoka CCM na kujiunga na CHADEMA ili agombee
urais,
> haukuchipua tu
> mithili ya uyoga, bali ulianza siku nyingi tangu
kipindi
> Lowassa angali
> CCM. Hivyo kudhihirisha maoni yake ilikuwa ni haki yake
ya
> msingi na ya
> kikatiba. Na kuyasimamia hayo bila ya kutetereka
ilikuwa ni
> ithibati ya
> ujasiri na kutoyumba kwake. Nani asiyemtaka mwenyekiti
kama
> huyo?
>
>
>
> Wanasiasa wengi, hasa wa upinzani, hivi sasa wanalalama
kuwa
> demokrasia
> inaminywa hapa nchini kutokana na kuzuiliwa kwao kutoa
maoni
> yao kupitia
>  mikutano ya hadhara na makongamano juu ya vile
> wanavyoviamini na
> kuvisimamia.
>
>
>
> Wanasiasa haohao, ndiyo waliyemshambulia na
wanaoendelea
> kumshambulia
> mpinzani mwenzao Profesa Lipumba, kwa 'kosa' la
kutoa
> maoni na misimamo
> yake juu ya kile alichokiamini.
>
>
>
> Yaani walimtaka Profesa Lipumba aikalifishe nafsi yake
kwa
> kutokuwa huru
>  kutoa maoni, na misimamo yake ili tu wao wakidhi
matlaba
> zao, halafu na
>  wao wanaloloma kubinywa uhuru wao wa kutoa maoni
yao
> mikutanoni. Ama
> kweli ukiyastaajabu ya Lipumba, utayaona ya Chadema.
>
>
>
> Sasa kwa kuwa uchaguzi ulikwishamalizika, na kwamba
Lowassa
> si mgombea
> tena, hivyo Profesa Lipumba akaonelea kwamba ili
kuendelea
> kukiimarisha
> chama chake, ni vyema arejee kwenye kiti chake ambacho
kwa
> yakini kabisa
>  bado kina vumbi tangu alipokiacha kwa kukosa wa
> kukikalia.
>
>
>
> Maajabu yakaanzia hapo; baadhi ya upinzani hasa
wasiokuwa
> wanachama wa
> CUF, wakaibuka na kujifanya wasemaji wa CUF kwa
kumshambulia
> tena
> Lipumba kuwa hafai kurejea kitini kwa hoja kwamba
Lowassa
> angali
> Chadema.
>
>
>
> Yaani baadhi ya wafuasi, washabiki, wanachama,
wakereketwa,
> wafurukutwa,
>  na hasa wa Chadema, walioshindwa kumburuza na
kumsujudisha
> kwao Profesa
>  Lipumba ili aisaliti dhamira yake ya kutomkubali
Lowassa,
> leo wanataka
> kuwaburuza na kuwasujudisha wana CUF wamkane.
>
>
>
> Tukumbushane kidogo, hii hofu huja inapoguswa Chadema
tu?
> Aliyewahi kuwa
>  mwanachama wa CUF na Mbunge wa Bukoba, Wilfred
Lwakatare,
> alipokihama
> chama hicho, na baadaye kujiunga na Chadema, na
kuteuliwa
> kugombea
> ubunge, mbona hakukuwa na chuki vichwani mwa CUF, na
badala
> yake
> wakamuunga mkono bila hiyana hadi akaukwaa ubunge?
>
>
>
> Haya kama haitoshi, mbona Chadema waliwahi kumpokea
> mwanachama na
> kiongozi mwingine wa CUF, Profesa Abdallah Safari, na
bado
> CUF
> waliidumisha staamala yao bila ya kuisambaratisha
UKAWA?
> Iweje leo CUF
> ikimrejeshea uenyekiti wake, kiongozi wao
aliyejiuzulu,
> ambaye hadi sasa
>  angali mwanachama wao, iwe nongwa? Amaa kweli
ukiyastaajabu
> ya Lipumba,
>  utayaona ya Chadema.
>
>
>
> Akihojiwa na vyombo vya habari kufuatia ombi la
Profesa
> Lipumba kurejea
> kitini, kiongozi wa Chadema, ambaye pia ni mwalimu wetu
wa
> Kiswahili,
> Profesa Abdallah Safari, pamoja na majibu marefu,
alisema
> kwamba; "hana
> imani na Lipumba,"
>
>
>
> Nikajiuliza hivi kwanini hii kasumba ya watu wa
Chadema
> kuwasemea semea
> CUF inataka kushamiri kwa kasi namna hii? Sikupata
majibu.
> Nikajisaili
> tena; hivi hii 'jeuri' ya kiongozi huyu wa
Chadema,
> dhidi ya Profesa
> Lipumba, ilikuwa wapi kipindi kile wakati viongozi
wenzie
> tena wa ndani
> ya chama chake waliopata kutuhubiria hapo awali kuwa
Lowassa
> hafai? Amaa
>  kweli ukiyastaajabu ya Lipumba, utayaona ya
Chadema.
>
>
>
> Ni Muhali kuwasikia viongozi wa CUF wakiyaingilia na
> kuyasemea semea
> mazingaombwe yoyote yale kutoka katika chama chochote
kile
> cha siasa,
> lakini wanakosa ujasiri wa kuwakemea wale wote
wanaoingilia
> mambo yao ya
>  ndani hasa wakiwa wanatokea upinzani. Sasa nasaha
zangu kwa
> CUF, hebu
> mtuweke wazi jamani labda wenzetu kuna kifungu
kinawabana
> mbavu kila
> mnapofikiria tu kujikukurua dhidi ya hulka hii chafu.
>
>
>
> Chanzo Rai
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment