Ndio udikteta kina zitto wanaoona ......
Hatari sana
'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Amesema sasa Uchaguzi Umeisha. Na kwenye Uchaguzi Kuna kushinda na kushindwa. Hivyo amewaomba wanasiasa wote kurudisha taifa pamoja na kudumisha ushirikiano. Amewashukuru Wanasiasa kwa kutanguliza Uzalendo mbele na hiyo inaonekana kwa Wenyeviti wa Nawapongeza wanasiasa wote waliokomaa, na napenda kuwasisitizia wanasiasa nipo pamoja na wao. vyama vya siasa mbalimbali kwani sasa ni maendeleo ya Tanzania kwanza na Vyama baadae.
Ameahidi kupokea ushirikiano, maoni na mapendekezo kutoka vyama vya upinzani. Amewaasa wawakirishi kutenda kazi kwa nguvu zote. "Naamini Wanasiasa wamenielewa" aliongeza
Kuhusu katiba mpya amesema, kunawezekana kukawa na mambo mengine yatakayoongozwa kwenye katiba mpya mpya kwa manufaa ya Tanzania pindi itakapofikishwa Serikalini. "Pengine yatakapofikishwa serikalini tutayafanyia kazi, inawezekana yakajitokeza mengine ambayo yanaweza kuwa added katika huo mchakato wa Katiba kwani ni ya watanzania na ni kwa faida ya watanzani" Kasema rais Magufuli.
Kawashukuru wote waliofanikisha Uchaguzi mkuu na Mchakato wa katiba mpya. akiwemo, Kikwete, Warioba, Sitta pamoja na Suluhu aliyekuwa Naibu Spika Bunge la Katiba.
Amesema Uongozi ni Msalaba ndo maana kila siku anaomba aombewe.
Amewashukuru Vyombo vya Usalama kwa kudumisha amani na Ulinzi katika Nchi yetu.
vyombo vya habari, saa nyingine huwa tunawadharau lakini vyombo hivi ni muhimu sana. Unapoharibu watakuchapa ukifanya vizuri wanakusifia japo wanafanya kazi katika mazingira magumu. ameahidi kushughulikia changamoto zao hasa Sheria zinazowabana.
Ameahidi kuwalinda Wastaafu na amesema Wasitishwe na maneno ya watu. ''Kikwete Kaa utulie kwa raha zako..wewe upo salama usisikilize kelele za nje na moja ya jukumu langu kama Rais ni kusimamia hilo."na Akatoa msemo kwamba, "Hata ucheze kwenye maji, wenye husda na wewe watasema unawatimulia vumbi".
My take:
Kwa nlivyomuona kwenye Hotuba hii, Rais ana nia ya kurudisha taifa pamoja. Vilevile ana nia ya kupata mawazo mbadala kuhusu katiba mpya kwani kasema kuna mambo yanabidi yaongezwe. Vilevile Sheria ya Vyombo vya habari hasa cybercrime, inaweza kurekebishwa pia.
Nashauri UKAWA mtumie nafasi hii kumshauri Rais badala ya kulaumu. Amewaomba mumuelewe basi mueleweni. Kawakaribisha Ikulu kwa Mashauri na Mapendekezo kwa ajili ya Tanzania kwani kasema Tanzania kwanza vyama baadae.

Chanzo Jf
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment