Sawa Hosea, usemayo ni kweli kabisa.
Wanawake bado hatujitambui Hosea. Umeona tumekaa kimya. Lakini ilipokuwa ya Ulimboka-si uliona? Kwani huoni tunavyokatwa miguu, mikono na kuchomwa moto? Mkoa wa Mara, shinyanga ni mifano michache. Hata hivyo ndugu watakushauri ukae na mumeo aliyekuchoma na kukukata viungo nani atakulisha? Hawataki warudishe mahari ya mifugo. Eti bila ya mume utatia dharau au stigma ukoo utaonekana malaya! Nawe unakubali kukaa katika mateso na akiwa ameoa wengine. Wengine tumeongea mitandaoni kuhusu Gender Intimidation and Discrimination anayofanyiwa Dr Tulia na wanaume na wanawake. Wakati huo huo tunataka tuwaenzi kwa juhudi zao. Mdada asiyetetereka, hababaishwi anazingatia sheria ya bunge. Hakukuwa na jinsi ya kumchanganya akili na kumshusha hadhi aonekane hafai bali kwa mbinu inayotumika kwani kimsimamo hatingishiki pili ana Rais asiye babaishika. Sasa NGO za Jinsia zipo za kila sekta mpaka za kisheria. Kweli hamjazisikia aukutusikia ila kinachopanda juu ni Haki za Binadamu-Ukawa wanaonewa kwa bunge kukosa demokrasia. Tafsiri sasa ya demokrasia ni ngumu-ni pale tu serikali inapohoji au kukataa vurugu lakini sasa imeachia waendelee na vurugu bila ya kuwapiga virungu na inaendelea. Nani alisimama kulaani Mchungaji aliposema Naibu Speaker Kavaa Pampas?Kuna haja ya stadi za maisha kufundishwa sio kwa vijana tu bali hata watu wazima me na ke.
--------------------------------------------
On Thu, 23/6/16, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI WA KIFARU:
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, 23 June, 2016, 0:12
Ifike sehemu tuwe watu wazima, kama shida ni
yule mdada si piga simu ulizia leo mwenyekiti nani halafu
usiende basi. Ila kinachonikatisha tamaa ni kuwa tunahubiri
usawa wa kijinsia na uwezeshwaji wa wanawake, wakiwezeshwa
inaanza kuwa nongwa, cha kushangaza sijasikia kundi hata
moja likinyanyuka kumtetea mwanamke mwenzao, hiyo hamsini
kwa hamsini itafika lini kama akina Tulia wanashambuliwa
namna hiyo tena wakiwemo wanawake wenzie. Tatizo ni nini?
Yule kaka nae kila siku
kugombana na wadada, ndio maana JK alimpatia ubunge wa viti
maalum sasa nimemwelewa.
On Wed, Jun 22, 2016 at
10:50 PM, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Watamchangiaje huyu-wataliogopa
jeshi hawatosogea hata. Cheza na JWTZ wewe hawatojali
cheo-mkong'oto tu ukisogea himaya yao.
--------------------------------------------
On Wed, 22/6/16, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI WA
KIFARU:
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, 22 June, 2016, 22:06
Snowden Mkimbizi. Kama hakuna jipya
yuko urusi. Kwa nini amekimbia? katofautiana na
serikali
yake. Kwa nini serikali yake isisemwe kusababisha mtu
kukimbia kama zinavyosemwa nyingine? Ni kwa sababu hakuna
la
kusema au kwa sababu ni Marekani? Huyu aliyemwita
Magufuli
Bwege alichangiwa na 'wasamaliamwema' ambao
wanatetea uhuru
wa habari japo hawakumuona Snowden. Nikawahimiza kuwa
waqwe
tayari kumchangia kucha na meno huyu aliyezua la jeshi
kuibiwa kifaru maana anahitaji to undergoe a strenous
interogation inayolingana ka aina ya uzushi
--------------------------------------------
On Wed, 6/22/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI
WA
KIFARU:
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, June 22,
2016, 9:53 PM
Elisa, Snowden yuko huru. Mwandishi
atachangiwa na gazeti lake. Yule aliyemwita Magufuli
bwege
hakuwa na gazeti.em
On Tue, Jun 21, 2016 at
11:52 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Nimesoma kuwa kuna watu wamemchangia mtu aliyehukumiwa
kulipa fine ya milioni saba kwa kutumia mtandao
kinyume
cha
sheria na kumkashifu rais. Napenda watu hao wawe
tayari
kumchangia kucha na meno mtuhumiwa aliyeandika habari
za
wizi wa kifaru. Na kama interogation haitamfikisha
hapo
(Pa
kupata msaada huo) itakuwa haijakamilika. Hatuwezi
kuvumilia
watu kutetea uhuru wa kupata habari kufikia
kuwavumilia
watu
kama hawa. Ninashangaa kwa nini na Snowden(?) yule
mwandishi
wa Marekani aliyetoa habari za siri hajachangiwa au
watetezi
hawa hawajaandika kumtetea.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment