Thursday, 23 June 2016

Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI WA KIFARU:

Hildegarda,

Bila kushabikia watenda maovu; wanajeshi kujichukulia sheria mikononi ni kuvunja sheria! Kwamba wao ndo polisi, koti na hakimu, haipashwi! Na kwa jinsi wajuavyo kuwa "more physical than mental" hata wewe wanaweza kukumba bila kosa na wakakuadhibu, na huna pa kujitetea! Tumeshuhudia mara nyingi wanapiga na kuumiza watu, eti kwa vile mwenzao mmoja kapigwa, tena saa nyingine kwa kosa halali alilofanya! Ndo maana kwa wenzetu, wanajeshi hukaa mbali, nje kabisa na makazi ya watu, maana saa nyingine hawaeleweki hawa. Wafuate sheria!

LKK
 
On Thursday, June 23, 2016 8:37 AM, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Sawa Hosea, usemayo ni kweli kabisa.

Wanawake bado hatujitambui Hosea. Umeona tumekaa kimya. Lakini ilipokuwa ya Ulimboka-si uliona? Kwani huoni tunavyokatwa miguu, mikono na kuchomwa moto? Mkoa wa Mara, shinyanga ni mifano michache. Hata hivyo ndugu watakushauri ukae na mumeo aliyekuchoma na kukukata viungo nani atakulisha? Hawataki warudishe mahari ya mifugo. Eti bila ya mume utatia dharau au stigma ukoo utaonekana malaya! Nawe unakubali kukaa katika mateso na akiwa ameoa wengine. Wengine tumeongea mitandaoni kuhusu Gender Intimidation and Discrimination anayofanyiwa Dr Tulia  na wanaume na wanawake. Wakati huo huo tunataka tuwaenzi kwa juhudi zao. Mdada asiyetetereka, hababaishwi anazingatia sheria ya bunge. Hakukuwa na jinsi ya kumchanganya akili na kumshusha hadhi aonekane hafai bali kwa mbinu inayotumika kwani kimsimamo hatingishiki pili ana Rais asiye babaishika. Sasa NGO za Jinsia zipo za kila sekta mpaka za kisheria. Kweli hamjazisikia aukutusikia ila kinachopanda juu ni Haki za Binadamu-Ukawa wanaonewa kwa bunge kukosa demokrasia. Tafsiri sasa ya demokrasia ni ngumu-ni pale tu serikali inapohoji au kukataa vurugu lakini sasa imeachia waendelee na vurugu bila ya kuwapiga virungu na inaendelea. Nani alisimama kulaani Mchungaji aliposema Naibu Speaker Kavaa Pampas?Kuna haja ya stadi za maisha kufundishwa sio kwa vijana tu bali hata watu wazima me na ke.

--------------------------------------------
On Thu, 23/6/16, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI WA KIFARU:
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, 23 June, 2016, 0:12

Ifike sehemu tuwe watu wazima, kama shida ni
yule mdada si piga simu ulizia leo mwenyekiti nani halafu
usiende basi. Ila kinachonikatisha tamaa ni kuwa tunahubiri
usawa wa kijinsia na uwezeshwaji wa wanawake, wakiwezeshwa
inaanza kuwa nongwa, cha kushangaza sijasikia kundi hata
moja likinyanyuka kumtetea mwanamke mwenzao, hiyo hamsini
kwa hamsini itafika lini kama akina Tulia wanashambuliwa
namna hiyo tena wakiwemo wanawake wenzie. Tatizo ni nini?

Yule kaka nae kila siku
kugombana na wadada, ndio maana JK alimpatia ubunge wa viti
maalum sasa nimemwelewa.

On Wed, Jun 22, 2016 at
10:50 PM, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Watamchangiaje huyu-wataliogopa
jeshi hawatosogea hata. Cheza na JWTZ wewe hawatojali
cheo-mkong'oto tu ukisogea himaya yao.

--------------------------------------------

On Wed, 22/6/16, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI WA
KIFARU:

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Wednesday, 22 June, 2016, 22:06

 Snowden Mkimbizi. Kama hakuna jipya

 yuko urusi. Kwa nini amekimbia? katofautiana na
serikali

 yake. Kwa nini serikali yake isisemwe kusababisha mtu

 kukimbia kama zinavyosemwa nyingine? Ni kwa sababu hakuna
la

 kusema au kwa sababu ni Marekani? Huyu aliyemwita
Magufuli

 Bwege alichangiwa na 'wasamaliamwema' ambao
wanatetea uhuru

 wa habari japo hawakumuona Snowden. Nikawahimiza kuwa
waqwe

 tayari kumchangia kucha na meno huyu aliyezua la jeshi

 kuibiwa kifaru maana anahitaji to undergoe a strenous

 interogation inayolingana ka aina ya uzushi

 --------------------------------------------

 On Wed, 6/22/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>

 wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI
WA

 KIFARU:

  To: "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Wednesday, June 22,
2016, 9:53 PM

  Elisa, Snowden yuko huru. Mwandishi

  atachangiwa na gazeti lake. Yule aliyemwita Magufuli
bwege

  hakuwa na gazeti.em

  On Tue, Jun 21, 2016 at

  11:52 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>

  wrote:

  Nimesoma kuwa kuna watu wamemchangia mtu aliyehukumiwa

  kulipa fine ya milioni saba kwa kutumia mtandao
kinyume

 cha

  sheria na kumkashifu rais. Napenda watu hao wawe
tayari

  kumchangia kucha na meno mtuhumiwa aliyeandika habari
za

  wizi wa kifaru. Na kama interogation haitamfikisha
hapo

 (Pa

  kupata msaada huo) itakuwa haijakamilika. Hatuwezi

 kuvumilia

  watu kutetea uhuru wa kupata habari kufikia
kuwavumilia

 watu

  kama hawa. Ninashangaa kwa nini na Snowden(?) yule

 mwandishi

  wa Marekani aliyetoa habari za siri hajachangiwa au

 watetezi

  hawa hawajaandika kumtetea.

   --

   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   Kujiondoa Tuma Email kwenda

   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

    Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

   Disclaimer:

   Everyone posting to this Forum bears the sole

  responsibility

   for any legal consequences of his or her postings,
and

  hence

   statements and facts must be presented responsibly.

  Your

   continued membership signifies that you agree to
this

   disclaimer and pledge to abide by our Rules and

   Guidelines.

   ---

   You received this message because you are subscribed
to

  the

   Google Groups "Wanabidii" group.

   To unsubscribe from this group and stop receiving

  emails

   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

   For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.

  Utapata Email ya

   kudhibitisha ukishatuma

  for any legal consequences of his or her postings, and

 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
Your

  continued membership signifies that you agree to this

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment