Friday, 17 June 2016

Re: [wanabidii] KUTENGANISHA URAIS NA UENYEKITI WA CCM: KWA MANUFAAYA NANI?

Mushongi, sidhani kama unachosema ni sahihi, ndani ya CCM demokrasia ni pana na kama JPM ataenda kinyume na CCM atapingwa tena hadharani, hivyo sio kweli kuwa kuna watu wanamchukia wala kumwogopa. Uzuri wa CCM hubadilika kuendana na wakati na demokrasia ni pana. 

On Thu, Jun 16, 2016 at 8:39 PM, Ireneus Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:
Magufuli ni mwiba mchungu. Kuna voongozi waandamizi wa CCM wanakonda siku baada ya siku kwani wanatambua fika kuwa siku c nyingi JPM atakabidhiwa Chama na automatically"tumbua majipu" Philosophy itahamia huko.
Nakumbuka kauli kuu mbili alizozitoa JPM  moja siku ya Mwisho ya kampeni Mwanza akidai kuwa JK aliwaamini watu Fulani na wamekiua Chama akamalizia kwa kusema " nikabidhi lichama langu nilirekebishe upya" na Ile siku ya kumwapisha Nov 5 alipodai " kuna CCM Mchana lakini usiku ni anti CCM" nitawashughulikia Hawa!

CCM inahitaji overhaul ya engine system yote Ili iendane na Kasi ya serikali na mabadiliko ya sasa.

Tunajua ni kwa nini watu wanamchukia JPM kwani their days are numbered..

The time is now.. No way out! CCM is a do or die when it's under JPM. Failure of which is a natural death. We voted for JPM in fact but he was under CCM nomination and there was nothing we could do about it!

It is up to them to keep this ball rolling!!

From: Emmanuel Muganda
Sent: ‎16/‎06/‎2016 19:20
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] KUTENGANISHA URAIS NA UENYEKITI WA CCM: KWA MANUFAAYA NANI?

Elisa,
Naunga mkono kauli.
em

2016-06-16 8:38 GMT-04:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Vyombo vya habari vimewanukuu watu kadhaa wakitaka Rais Mstaafu JK asikabidhi uenyekiti wa CCm kwa Rais Magufuli. Baada ya kubaini kuwa Kikwete hana nia ya kuendelea kuushikilia uenyekitihuo mapendekezo yameanza kujitokeza kuwa nafasi hizo zitenganishwe.
Nakumbuka kuisikia sauti ya mtu makini akisema ''Kwa sababu Magufuli aliingia kwa populality yake sio ya CCM basi asikabidhiwe uenyekiti ili watu wasije kumkataa kwa sababu ya CCM'' akimaanisha kuwa watu hawaitaki CCM. ''Wakigundua'' kuwa ana uhusiano na CCM watamkataa. Nilijaribu kuyapima mawazo yake nikaona hafanani nayo. Nani hajui kuwa Magufuli kaupata urais kupitia CCM? Anaendelea mchambuzi huyo kuwa Magufuli aachwe kuendelea kuirekebisha Serikali.
Mimi sikumuelewa kwa sababu Kama magufuli anarekebisha Serikali na kuleta nidhamu, kwa nini mchambuzi huyu anataka CCM isirekebishwe na Magufuli? Anatarajia 2020 Magufuli atagombea kupitia Chama gani? CCM inayokata;liwa au iliyokwisha rekebishwa.

Wat wote hata wana CCM kama  mimi tuliupa ushindi CCM katika ngazi mbalimbali hasa urais kwa sababu CHADEMA ilipoteza mwelekeo na kwa sababu tuliamini Magufuli anaweza kurekebisha mambo. Wananchi wanamkubali Magufuli ngazi ya Serikali na anasubiriwa kuirekebisha CCM. Wanaoona Magufuli anahitaji msaada basi wamuandalie mamakamu makini ili wamsaidie kukirekebisha Chama.
Ikitokea CCM ikamnyima magufuli uenyekiti wa CCm kwa mapendekezo mengine yanayoonekana kutolewa na wafanyabiashara itakuwa ni mbinu za maafisadi kuendelea kukimiliki chama chetu na hii itakiumiza chama kuliko magufuli. CHADEMA inahitaji masahihisho kidogo (kama CCM itaendelea kuwakumbatia mafisadi) kuweza kuirudia heshima yake iliyopotea machoni mwa wananchi wanyonge.
CCM Chunga hapo.
Elisa Muhingo
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed to
 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

  --

 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment