Friday 17 June 2016

Re: [wanabidii] KUTENGANISHA URAIS NA UENYEKITI WA CCM: KWA MANUFAA YA NANI?

Kamala, hizi habari za demand and supply ni porojo tu, hapa umefanyika ujanja wa kupandisha bei ya sukari ili waongeze faida. Kwanza walisema wanafunga viwanda kwa sababu sukari yao imekosa soko na inaozea kwenye magodown, kumbe viwanda vinafungwa kwasababu msimu wa miwa umekwisha na viwanda vinafungwa kwasababu wanataka kufanya ukarabati mkubwa na si kwasababu sukari imekosa soko hapana.

Pili sukari tulionyeshwa kuwa imedoda kumbe ni stock ya mfanyabishara aliyolipia na akisubiri kusomba, hizi porojo uchwara ndio zimetufikisha hapa. Uzuri mkuu wa kaya katuonyesha hizi porojo na tumeelewa kumbe sukari hata mfuko mmoja walikuwa hawana na hawana uwezo wa kutosheleza mahitaji ya nchi,

2016-06-17 19:02 GMT+03:00 J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:

Bifa. Try and errors kitaeleweka tu.

Morel. Wew uko kinyume na kukariri? Mbona umemkariri lowasa tu akilin mwako?

On Jun 17, 2016 4:58 PM, "'jbifabusha' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kamala,  shida ya uchumi haitatuliwi na hatua moja. Ukizuia bidhaa wakati uzalishaji ni mdogo unasababisha mfumuko wa bei. Huwezi kuchukua hatua bila kuchukua tahadhari ya madhara mengine. "An economic problem can not be solved by taking one measure. Multiple policies must be considered" Tiba ya uchumi ni sawa na dawa ina side effect.

Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: J L Kamala <jlkamala@gmail.com>
Date:
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] KUTENGANISHA URAIS NA UENYEKITI WA CCM: KWA MANUFAA YA NANI?

Kanuni ya uchumi inasisitiza kuzuia vya nje hadi vyandani vimeuzwa au kuongezea kodi vya  nje ili vya ndani vipete na soko kwanza. Au mnataka uchumi holela usiolinda viwanda vya ndani kwanza?

On Jun 17, 2016 1:54 PM, "'jbifabusha' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Elisa hiyo ni.propaganda. Hiyo waliyoficha iko wapi baada ya serikali kuisaka? Kwanini sasa viwanda visizalishe hiyo tani 300,000 na kuongeza uzalishaji mwaka hadi mwaka hadi kufikia 400,000. Kwanini serikali imeamua kuzuia 100,000 ghafla huku viwanda vinazalisha pungufu?

Tafsiri sahihi: Bei ya sukari imepanda kwasababu demand inazidi suppy. Supply imebinywa na serikali kwa kukataza kuagiza sukari toka nje ya nchi. Au unasemaje Elisa? 

Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] KUTENGANISHA URAIS NA UENYEKITI WA CCM: KWA MANUFAA YA NANI?

Nakufafanulia.
Tunazalisha tani 300,000 za sukari.
Mahitaji yetu ni tani 400,000.
Tunapungukiwa tani 100,000.
Tumekuwa na utaratibu wa kuwaruhusu wafanyabiashara kuagiza hiyo tofauti ya upungufu yaani tani 100,000.
Sababu ya kuagiza kiasi hicho ni kuhakikisha hatuagizi zaidi ili kulinda viwanda vyeu.
Wafanya biashara hao wakawa wanatumia nafasi hivyo kuagiza sukari zaidi ya tani 100,000 kwa kuwa sukari hiyo inayoagizwa nje ni bei rahisi.
Kwa kufanya hivyo viwanda vyetu vitaathirika na kuhatarisha ajira za watanzania. (Huu ndio nikauita ufisadi)

Serikali ikaamua kudhibiti kiasi kinachoagizwa kukidhi mahitaji yetu. Kwa kujua watapata 'hasara' wakaamua kuficha sukari waliyokuwa wameichukua viwandani mwetu ili kutengeneza upungufu bandia na wakijua kuwa kuna watanzania wasioona mbali watailaumu serikali.
Nilikuwa na maana hiyo
--------------------------------------------
On Thu, 6/16/16, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] KUTENGANISHA URAIS NA UENYEKITI WA CCM: KWA MANUFAA  YA NANI?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, June 16, 2016, 5:33 PM

Sukari
imepanda kwa ajili ya mafisadi kuminywa? Elisa Muhigo acha
utani.Sent from Samsung
Mobile

-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: 
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] KUTENGANISHA URAIS NA UENYEKITI WA
CCM: KWA MANUFAA
   YA NANI?
 
Lazima uliwahi kulima. Siku ulipopanda ungemshangaa mtoto
wako kutaka kuvuna. Hatutarajii kazi zake ziwe zimeleta
matunda matamu katika kipindi hiki. Hii budget yake ya
kwanza inatarajiwa kuanza kutumika July 1. Kupanda kwa
sukari ni kutokana na kuwaminya mafisadi waliokuwa wanaagiza
zaidi ya sukari inayohitajika baada ya kuipata kwa bei nzuri
au kwa sababu haina viwango. majipu yametumbuliwa. Tembelea
ofisi za serikali uone ongezeko la nidhamu..Hata wale
wanaopiga kelele za magufuli ni dictata halindi haki za
binadamu ukiwa karibu nao utagundua wanajaribu kumzuia
asiwafikie maana ni wanasiasa wafanyabiashara waliokuwa
hawalipi kodi. Tumpe muda tuone. 2020 hata wewe hutamsikia
Edo wako
--------------------------------------------
On Thu, 6/16/16, 'Lesian' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] KUTENGANISHA URAIS NA UENYEKITI WA
CCM: KWA MANUFAA YA NANI?
  To: wanabidii@googlegroups.com
  Date: Thursday, June 16, 2016, 4:08 PM
 
  Sioni anachokifanya , hajanishawishi
  still......watu kama cc wa kima cha chini i mean walalahoi
  hatujaona bado,'kama majipu anayoyatumbua hayatumbuki
  ,akiyatumbua yanaotea kwingine'hatuon faida kabisaa
sana
  sana sukari tu imekwenda juu na sasa wameshindwa hata
  kushusha , maisha yanabana sana kias kwamba waliompigia
nao
  wanajuuta na kumkumuka comrade lowasa
  2020 msifanye tena ajizi mpeni eddo aiweke nchi ktk
  economical stability, sasa hv inaendeshwa kienyeji sana si
  bungeni si serikalin....nilichoshangaa...ka wanosema
nidham
  eti inawekwa...iweje pesa za bunge yaani chenji irudishwe
  kupangiwa kaz na Rais, au za Nec ina maana bunge
  limeshindwa....kawaida principally pesa za serikali hata
  ikibakia mia hurudishwa hazina kwa ajili ya bunge kupangia
  matumizi mengineeeeeeeeee' nimechoka
 
  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
 
  >
  >
  > Vyombo vya habari vimewanukuu watu kadhaa wakitaka
Rais
  Mstaafu JK asikabidhi uenyekiti wa CCm kwa Rais Magu

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment