Bifa. Try and errors kitaeleweka tu.
Morel. Wew uko kinyume na kukariri? Mbona umemkariri lowasa tu akilin mwako?
On Jun 17, 2016 4:58 PM, "'jbifabusha' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
-- --Kamala, shida ya uchumi haitatuliwi na hatua moja. Ukizuia bidhaa wakati uzalishaji ni mdogo unasababisha mfumuko wa bei. Huwezi kuchukua hatua bila kuchukua tahadhari ya madhara mengine. "An economic problem can not be solved by taking one measure. Multiple policies must be considered" Tiba ya uchumi ni sawa na dawa ina side effect.Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: J L Kamala <jlkamala@gmail.com>
Date:
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] KUTENGANISHA URAIS NA UENYEKITI WA CCM: KWA MANUFAA YA NANI?
Kanuni ya uchumi inasisitiza kuzuia vya nje hadi vyandani vimeuzwa au kuongezea kodi vya nje ili vya ndani vipete na soko kwanza. Au mnataka uchumi holela usiolinda viwanda vya ndani kwanza?
On Jun 17, 2016 1:54 PM, "'jbifabusha' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:Elisa hiyo ni.propaganda. Hiyo waliyoficha iko wapi baada ya serikali kuisaka? Kwanini sasa viwanda visizalishe hiyo tani 300,000 na kuongeza uzalishaji mwaka hadi mwaka hadi kufikia 400,000. Kwanini serikali imeamua kuzuia 100,000 ghafla huku viwanda vinazalisha pungufu?Tafsiri sahihi: Bei ya sukari imepanda kwasababu demand inazidi suppy. Supply imebinywa na serikali kwa kukataza kuagiza sukari toka nje ya nchi. Au unasemaje Elisa?Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] KUTENGANISHA URAIS NA UENYEKITI WA CCM: KWA MANUFAA YA NANI?
Nakufafanulia.
Tunazalisha tani 300,000 za sukari.
Mahitaji yetu ni tani 400,000.
Tunapungukiwa tani 100,000.
Tumekuwa na utaratibu wa kuwaruhusu wafanyabiashara kuagiza hiyo tofauti ya upungufu yaani tani 100,000.
Sababu ya kuagiza kiasi hicho ni kuhakikisha hatuagizi zaidi ili kulinda viwanda vyeu.
Wafanya biashara hao wakawa wanatumia nafasi hivyo kuagiza sukari zaidi ya tani 100,000 kwa kuwa sukari hiyo inayoagizwa nje ni bei rahisi.
Kwa kufanya hivyo viwanda vyetu vitaathirika na kuhatarisha ajira za watanzania. (Huu ndio nikauita ufisadi)
Serikali ikaamua kudhibiti kiasi kinachoagizwa kukidhi mahitaji yetu. Kwa kujua watapata 'hasara' wakaamua kuficha sukari waliyokuwa wameichukua viwandani mwetu ili kutengeneza upungufu bandia na wakijua kuwa kuna watanzania wasioona mbali watailaumu serikali.
Nilikuwa na maana hiyo
--------------------------------------------
On Thu, 6/16/16, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] KUTENGANISHA URAIS NA UENYEKITI WA CCM: KWA MANUFAA YA NANI?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, June 16, 2016, 5:33 PM
Sukari
imepanda kwa ajili ya mafisadi kuminywa? Elisa Muhigo acha
utani.Sent from Samsung
Mobile
-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] KUTENGANISHA URAIS NA UENYEKITI WA
CCM: KWA MANUFAA
YA NANI?
Lazima uliwahi kulima. Siku ulipopanda ungemshangaa mtoto
wako kutaka kuvuna. Hatutarajii kazi zake ziwe zimeleta
matunda matamu katika kipindi hiki. Hii budget yake ya
kwanza inatarajiwa kuanza kutumika July 1. Kupanda kwa
sukari ni kutokana na kuwaminya mafisadi waliokuwa wanaagiza
zaidi ya sukari inayohitajika baada ya kuipata kwa bei nzuri
au kwa sababu haina viwango. majipu yametumbuliwa. Tembelea
ofisi za serikali uone ongezeko la nidhamu..Hata wale
wanaopiga kelele za magufuli ni dictata halindi haki za
binadamu ukiwa karibu nao utagundua wanajaribu kumzuia
asiwafikie maana ni wanasiasa wafanyabiashara waliokuwa
hawalipi kodi. Tumpe muda tuone. 2020 hata wewe hutamsikia
Edo wako
--------------------------------------------
On Thu, 6/16/16, 'Lesian' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] KUTENGANISHA URAIS NA UENYEKITI WA
CCM: KWA MANUFAA YA NANI?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, June 16, 2016, 4:08 PM
Sioni anachokifanya , hajanishawishi
still......watu kama cc wa kima cha chini i mean walalahoi
hatujaona bado,'kama majipu anayoyatumbua hayatumbuki
,akiyatumbua yanaotea kwingine'hatuon faida kabisaa
sana
sana sukari tu imekwenda juu na sasa wameshindwa hata
kushusha , maisha yanabana sana kias kwamba waliompigia
nao
wanajuuta na kumkumuka comrade lowasa
2020 msifanye tena ajizi mpeni eddo aiweke nchi ktk
economical stability, sasa hv inaendeshwa kienyeji sana si
bungeni si serikalin....nilichoshangaa...ka wanosema
nidham
eti inawekwa...iweje pesa za bunge yaani chenji irudishwe
kupangiwa kaz na Rais, au za Nec ina maana bunge
limeshindwa....kawaida principally pesa za serikali hata
ikibakia mia hurudishwa hazina kwa ajili ya bunge kupangia
matumizi mengineeeeeeeeee' nimechoka
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
>
> Vyombo vya habari vimewanukuu watu kadhaa wakitaka
Rais
Mstaafu JK asikabidhi uenyekiti wa CCm kwa Rais Magu
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment