Nimekupata. Ha ha ha. Kuna hotuba moja mwalimu Nyerere anasisitiza utawala wa sheria. Halafu kabla hajaelezea swala la Giriki mmoja anatangulia kuomba samahani na kuelezea kuwa japo anasisitiza utawala wa sheria lakini katika hili =========. Mambo mengine magumu.
--------------------------------------------
On Sat, 6/18/16, amour chamani <abachamani@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] KISA CHA OMBAOMBA WA KIZUNGU NA MAFISADI WA KITANZANIA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, June 18, 2016, 8:06 PM
Kaka Elisa
nadhani kuna eneo fulani tunapishana.
Sheria inafuatwa hakuna mikutano ya vyama vya siasa.
Sheria inafuatwa kosa la Zito Kabwe ni nini?
Sheria inafuatwa watoto wa UDOM
Sheria inafuatwa .
Haya.
Walewale
On Jun 18, 2016 8:01 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Nam
Chamani. Nimewasikia tena vizuri.
Wanaosema sheria ifuatwe zamani fulani walikuwa wanasema
sheria haifuatwi ndiyo maana ya ufisadi na rushwa
kushamiri.
Sasa sheria imeanza kufuatwa wao wanasema sheria haifuatwi.
Huu ndio unachanganya.
Sheria inafuatwa: ndiyo maana watu wamesimamishwa kazi na
kuanza kuchunguzwa. Watu wanasema wameaibishwa na si haki za
binadamu. Wapo wanaosema raia ana haki ya kupata habari.
Sasa habari imetoka: kabwe kasimamishwa. Hii ni habari na
imetoka. kupitia vyombo rasmi. Watu wansema huyo kaaibishwa.
Tungepataje habari bila kuzitangaza. Hii inaleta mashaka
kama wanaolalamika wanajua wanachotaka. Sheria inafuatwa.
ndiyo maana watu waliokuwa wanaizuia sheria kwa rushwa
imeanza kuwagusa. Kanuni zimefuatwa Bungeni. Ndiyo maana
waliokuwa wamezoea uholela wamepelekwa darasani.
--------------------------------------------
On Sat, 6/18/16, amour chamani <abachamani@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] KISA CHA OMBAOMBA WA KIZUNGU NA
MAFISADI WA KITANZANIA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, June 18, 2016, 12:44 PM
Kaka
Elisa
Kilio cha watu ni kwamba sheria ifuatwe na sio mapenzi
ya
mtu mmoja.
Umewasikiliza vizuri malalamiko yao?
Wale wale
On Jun 17, 2016 10:39 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Nimezaliwa na kukulia Tanzania. Nimekutana na jamii za
watu
mbalimbali. Moja ya jamii niliyowahi kukutana nao ni
Ombaomba. Kukutana na wanamama wana baba vijana na
watoto
wakiombaomba mijini ni jambo lililozoeleka. Nimetembea
kwa
muda mfupi mfupi nje ya Afrika. Nako nimekutana na
ombaomba.
Kwanza nilikuwa nakutana na Ombaomba wa kiafrika.
Kwangu
niliona kawaida. Niliona ni kawaida watu kuomba.
Kisanga
kikanikuta siku moja mtaani New York. Nikakutana na
ombaomba
kadhaa wa kizungu. Kwanza haikuingia akilini. Kadri
nilivyoendelea kushangaa ikawa inakuwa wazi kuwa hao ni
ombaomba. Nikasikia ukakazi! Nikaona Huruma! Nikasikia
'bunyugwizi'. Nikatamani kuwapatia msaada
utakaowasaidia
kuondoka mitaani kuombaomba. Nikiwa natafakari hilo
nikarudi
Hotelini kwangu na kuwasimulia wenzangu. Nikakutana na
mmoja
anayeshangaa kama mimi. Lakini mwenzetu mwingine
akatushangaa. ''Kwa nini mnashangaa mzungu
kuombaomba?'' Tukagundua kuwa TUNASHANGAA KWA
SABABU
HATUKUZOEA! Tulijiona wajinga.
Napenda sana kulinganisha hali hiyo na hali
inayoendelea
hapa Tanzania.
Hata kabla ya wanasiasa kubeba agenda ya ufisadi na
Rushwa;
wananchi walishaanza kuchoka. Rushwa imetapakaa kila
mahala.
Kila sehemu zinakotoka huduma muhimu. Polisi, mahakama,
Hispitali na kwingineko. Tulikuwa tunaelekea kufikia
mahala
ambako Rushwa inakuwa MILA ya Tanzania.
Ufisadi nao ulianza kuzoeleka. Watanzania wanafahamu
kuwa
garama za umeme ziko juu kwa sababu ya ufisadi. Wahuni
fulani wameweka 'cha juu' kwenye capacity Charges.
Watanzania wanajua kuwa reli yetu imekuwa inang'olewa
ili
wenye magari ya kubeba mizigo waweze kubeba mizigo.
Wanajua
kuwa ni kwa sababu hiyo bidhaa nyingine ziko juu.
Watanzania
wanajua mengi ambayo mtu mmoja anaumiza wengi ili
anufaike
yeye.
Watanzania wamezoea kuambiwa huduma za jamii haziwezi
kuboreshwa kutokana na mapato kidogo. Wanahimizwa na
watawala kuwa waongeze uzalishaji. Mapato ya serikali
yamekuwa yakiongezeka lakini wimbo kuwa bado nchi ni
maskini
ndiyo maana hospitali hazina madawa umeimbwa.
Watanzania
wanaona ongezeko la idadi ya viongozi kama mawaziri,
mikoa,
wilaya kila mwaka. Pengine watanzania wanasema fulani
kateuliwa kama fadhira kwa sababu alimsaidia kiongozi
kuingia madarakani.
Watanzania wamezoea. Wamezoea kuona viongozi wa kisiasa
wakiongezewa mapato lakini wafanya kazi wakisota na
mapato
kiduchu. Mbunge kazi yake kukaa bungeni. Analipwa
sitting
allowance. Za nini!? Hakuna maswali.
Kilichotokea kuwapoza watanzania ni wanasiasa wa vyama
vya
upinzani kuyabeba na kuyatoa kwenye mikutano ya
hadhara.
Watanzania wakatulia. Wakawa na matumaini.
Tukafanya uchaguzi. Tukampata rais. Akaanza
kuyashughulikia
matatizo yaliyowakandamiza watanzania myaka yote hiyo.
Watu
wakaanza kurudisha matumaini. Angalau waliowaibia
wanaanza
kushughulikiwa. Watu waliokuwa wanakwepa kodi wanaanza
kubanwa. Wamebanwa na wengine wakalipa. Watumishi
serikalini
wanaanza kufanya kazi kwa woga na ndio mwanzo wa
kurudisha
nidhamu. Wanyonge wanaanza kuwa na matumaini na
kutarajia
hata wale mafisadi papa watafikiwa.
Mara wanajitokeza watanzania wenzetu wanaanza kumsonga
Rais.
Wengine ni wanasiasa walikuwa wakiimba wimbo huu. Tena
wanasema Rais anatekeleza sera zao. Halafu wanaanza
kumgeuka. Wanasema anavunja haki za binadamu. Kwa nini?
Watu
wanaohisiwa wamesimamishwa kazi ili kuchunguzwa.
Wanataka
awaache waendelee kuiba. Watu wanaovurunda kazi
wanaondolewa
kwenye nafasi za uteuzi. Ukiangalia sana unaona ni kwa
sababu watu hawa walizoea kuwaona wanyonge wengi
wakipata
mateso. Lakini sio wakubwa wachache ambao wanaishi maisha
ya
ajabu huku wanyonge wakiteseka. Wengine wanasema hakuna
haja
ya kuwakamata mafisadi au kuwabana wakwepa kodi. Tuweke
mifumo itakayozuia ufisadi huo. Wanashindwa kuelewa
kuwa
mfumo upo na ukitumika utazuia ufisadi. Sababu ya ufisadi
ni
kutotumika mfumo wala sio kukosekana mfumo. Mfumo ni
huu
unaotumika kuwabana. Wote wanaoshangaa hatua
zinazochukuliwa
na Rais na kumlaumu wanahitaji kujua kuwa shida yao ni
moja
tu: KWA SABABU HAWAKUZOEA! Kuzoea kuona mafisadi papa
wakichukuliwa hatua. Kuzoea kuona wafanyabiashara
wakubwa
wanabanwa wanapokwepa kodi. Kuzoea kuona waziri
anavuruga
anatimuliwa. Mfumo wowote kama hautasimamiwa hakutakuwa
na
mabadiliko. Tukubaliane. Sheria itendewe kazi na
tufumbe
macho kama hatuwezi kuvumilia kuona ikifanya kazi.
Elisa Muhingo
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment