Saturday, 18 June 2016

Re: [wanabidii] KISA CHA OMBAOMBA WA KIZUNGU NA MAFISADI WA KITANZANIA

Hakika ,

Asali ni tamu; na nyuki ni mwema sana hadi siku ile atakapokung'ata jichoni au kinywani!

Utakapovimba ulimi , ndipo utasimama na kumlalamikia mrina asali na zaidi kama huyo mrina asali ndiyee alotengeza mzinga na kuutegesha karibu na mahala yalipokukuta madhira ,hapo lawama hakika huwa maradufu!

Mzinga waweza kuwa lolote unaloweza kuliwaza! Liwe Bunge, iwe TRA, iwe TCU, iwe bodi ya mikopo na hata nyumbani kwangu!

Huko kote kuna wanaosubiri asali!

Lakini waumwapo na nyuki, ni jukumu la mwenye mzinga kurekebisha kasoro!

Iwe liwalo asali lazima ipatikane, hakuna namna nyingine.

Hata ikitokea nyuki mmoja akikanyagwa haizuii asali kurinwa

Tutabakia Wale Wale wala asali , nani anaizalisha hiyo asali sio jukumu letu, tumemuajir mrinaji na kamilikishwa mzinga.

Wale Wale asali tunasubiri ije.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment