Sunday, 19 June 2016

Re: [wanabidii] KISA CHA OMBAOMBA WA KIZUNGU NA MAFISADI WA KITANZANIA

Katika juhudi za kuijenga Tanzania mpya ni lazima malalamiko yatokee. Haya mnayoyasema naona kama bado ni madogo tena Sana. Ujenzi wa taifa si lelemama. Kuna sehemu tutalazimika kuumia ili mambo yaje kwenda sawa.

Tunahitaji maamuzi ya kiuwendawazimu ili kupiga hatua. Mwache JPM apayange mwishowe tutaelewana tu na ktk kupuyanga kwake n lazima mengine aingie chaka.

Unadhani Mwl Nyerere alikuwa akishangiliwa na kila mmoja alipokuwa anahaha kujenga umoja wa kitaifa na uchumi shirikishi? No malalamiko yalikuwepo na ili taifa liende mbele alilazimika kuwa dikteta wa chama kimoja, redio na gazeti moja nk. Leo hii tunajivunia umoja wa kitaifa kupitia lugha ya kiswahili na uchumi shirikishi kwa kiasi Fulani

Unadhani wakati Nyerere anaacha watoto wa kichaga na kihaya waliofaulu kwenda shule na kuchukua makabila mengine alishangiliwa kweli na wahaya/wachaga? Walidai anavunja sheria. Je wakati wa kutaifisha shule za dini ziwe za serikali ili watu wa dini zote wapate elimu alishangiliwaga? Au alilaumiwa na wengine kutamani kukimbilia mahakamani?

Tuiangalie dhamira ya JPM hata akikosea ila dhamira yake ni thabiti. Twende mbele

On Jun 19, 2016 12:00 AM, "'Lesian' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Huyu nae anakurupukaga kama wenzake

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Nimekupata. Ha ha ha. Kuna hotuba moja mwalimu Nyerere anasisitiza utawala wa sheria. Halafu kabla hajaelezea swala la Giriki mmoja anatangulia kuomba samahani na kuelezea kuwa japo anasisitiza utawala wa sheria lakini katika hili =========. Mambo mengine magumu.
>--------------------------------------------
>On Sat, 6/18/16, amour chamani <abachamani@gmail.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] KISA CHA OMBAOMBA WA KIZUNGU NA MAFISADI WA KITANZANIA
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Saturday, June 18, 2016, 8:06 PM
>
> Kaka Elisa
> nadhani kuna eneo fulani tunapishana.
>
> Sheria inafuatwa hakuna mikutano ya vyama vya siasa.
>
> Sheria inafuatwa kosa la Zito Kabwe ni nini?
>
> Sheria inafuatwa watoto wa UDOM
>
> Sheria inafuatwa .
>
> Haya.
>
>
> Walewale
> On Jun 18, 2016 8:01 PM,
> "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> Nam
> Chamani. Nimewasikia tena vizuri.
>
> Wanaosema sheria ifuatwe zamani fulani walikuwa wanasema
> sheria haifuatwi ndiyo maana ya ufisadi na rushwa
> kushamiri.
>
> Sasa sheria imeanza kufuatwa wao wanasema sheria haifuatwi.
> Huu ndio unachanganya.
>
> Sheria inafuatwa: ndiyo maana watu wamesimamishwa kazi na
> kuanza kuchunguzwa. Watu wanasema wameaibishwa na si haki za
> binadamu. Wapo wanaosema raia ana haki ya kupata habari.
> Sasa habari imetoka: kabwe kasimamishwa. Hii ni habari na
> imetoka. kupitia vyombo rasmi. Watu wansema huyo kaaibishwa.
> Tungepataje habari bila kuzitangaza. Hii inaleta mashaka
> kama wanaolalamika wanajua wanachotaka. Sheria inafuatwa.
> ndiyo maana watu waliokuwa wanaizuia sheria kwa rushwa
> imeanza kuwagusa. Kanuni zimefuatwa Bungeni. Ndiyo maana
> waliokuwa wamezoea uholela wamepelekwa darasani.
>
> --------------------------------------------
>
> On Sat, 6/18/16, amour chamani <abachamani@gmail.com>
> wrote:
>
>
>
>  Subject: Re: [wanabidii] KISA CHA OMBAOMBA WA KIZUNGU NA
> MAFISADI WA KITANZANIA
>
>  To: wanabidii@googlegroups.com
>
>  Date: Saturday, June 18, 2016, 12:44 PM
>
>
>
>  Kaka
>
>  Elisa
>
>
>
>  Kilio cha watu ni kwamba sheria ifuatwe na sio mapenzi
> ya
>
>  mtu mmoja.
>
>
>
>  Umewasikiliza vizuri malalamiko yao?
>
>
>
>
>
>
>
>  Wale wale
>
>  On Jun 17, 2016 10:39 PM,
>
>  "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>
>  wrote:
>
>
>
>
>
>  Nimezaliwa na kukulia Tanzania. Nimekutana na jamii za
> watu
>
>  mbalimbali. Moja ya jamii niliyowahi kukutana nao ni
>
>  Ombaomba. Kukutana na wanamama wana baba vijana na
> watoto
>
>  wakiombaomba mijini ni jambo lililozoeleka. Nimetembea
> kwa
>
>  muda mfupi mfupi nje ya Afrika. Nako nimekutana na
> ombaomba.
>
>  Kwanza nilikuwa nakutana na Ombaomba wa kiafrika.
> Kwangu
>
>  niliona kawaida. Niliona ni kawaida watu kuomba.
> Kisanga
>
>  kikanikuta siku moja mtaani New York. Nikakutana na
> ombaomba
>
>  kadhaa wa kizungu. Kwanza haikuingia akilini. Kadri
>
>  nilivyoendelea kushangaa ikawa inakuwa wazi kuwa hao ni
>
>  ombaomba. Nikasikia ukakazi! Nikaona Huruma! Nikasikia
>
>  'bunyugwizi'. Nikatamani kuwapatia msaada
> utakaowasaidia
>
>  kuondoka mitaani kuombaomba. Nikiwa natafakari hilo
> nikarudi
>
>  Hotelini kwangu na kuwasimulia wenzangu. Nikakutana na
> mmoja
>
>  anayeshangaa kama mimi. Lakini mwenzetu mwingine
>
>  akatushangaa. ''Kwa nini mnashangaa mzungu
>
>  kuombaomba?'' Tukagundua kuwa TUNASHANGAA KWA
> SABABU
>
>  HATUKUZOEA! Tulijiona wajinga.
>
>
>
>
>
>
>
>  Napenda sana kulinganisha hali hiyo na hali
> inayoendelea
>
>  hapa Tanzania.
>
>
>
>  Hata kabla ya wanasiasa kubeba agenda ya ufisadi na
> Rushwa;
>
>  wananchi walishaanza kuchoka. Rushwa imetapakaa kila
> mahala.
>
>  Kila sehemu zinakotoka huduma muhimu. Polisi, mahakama,
>
>  Hispitali na kwingineko. Tulikuwa tunaelekea kufikia
> mahala
>
>  ambako Rushwa inakuwa MILA ya Tanzania.
>
>
>
>
>
>
>
>  Ufisadi nao ulianza kuzoeleka. Watanzania wanafahamu
> kuwa
>
>  garama za umeme ziko juu kwa sababu ya ufisadi. Wahuni
>
>  fulani wameweka 'cha juu' kwenye capacity Charges.
>
>  Watanzania wanajua kuwa reli yetu imekuwa inang'olewa
> ili
>
>  wenye magari ya kubeba mizigo waweze kubeba mizigo.
> Wanajua
>
>  kuwa ni kwa sababu hiyo bidhaa nyingine ziko juu.
> Watanzania
>
>  wanajua mengi ambayo mtu mmoja anaumiza wengi ili
> anufaike
>
>  yeye.
>
>
>
>
>
>
>
>  Watanzania wamezoea kuambiwa huduma za jamii haziwezi
>
>  kuboreshwa kutokana na mapato kidogo. Wanahimizwa na
>
>  watawala kuwa waongeze uzalishaji. Mapato ya serikali
>
>  yamekuwa yakiongezeka lakini wimbo kuwa bado nchi ni
> maskini
>
>  ndiyo maana hospitali hazina madawa umeimbwa.
> Watanzania
>
>  wanaona ongezeko la idadi ya viongozi kama mawaziri,
> mikoa,
>
>  wilaya kila mwaka. Pengine watanzania wanasema fulani
>
>  kateuliwa kama fadhira kwa sababu alimsaidia kiongozi
>
>  kuingia madarakani.
>
>
>
>  Watanzania wamezoea. Wamezoea kuona viongozi wa kisiasa
>
>  wakiongezewa mapato lakini wafanya kazi wakisota na
> mapato
>
>  kiduchu. Mbunge kazi yake kukaa bungeni. Analipwa
> sitting
>
>  allowance. Za nini!? Hakuna maswali.
>
>
>
>
>
>
>
>  Kilichotokea kuwapoza watanzania ni wanasiasa wa vyama
> vya
>
>  upinzani kuyabeba na kuyatoa kwenye mikutano ya
> hadhara.
>
>  Watanzania wakatulia. Wakawa na matumaini.
>
>
>
>
>
>
>
>  Tukafanya uchaguzi. Tukampata rais. Akaanza
> kuyashughulikia
>
>  matatizo yaliyowakandamiza watanzania myaka yote hiyo.
> Watu
>
>  wakaanza kurudisha matumaini. Angalau waliowaibia
> wanaanza
>
>  kushughulikiwa. Watu waliokuwa wanakwepa kodi wanaanza
>
>  kubanwa. Wamebanwa na wengine wakalipa. Watumishi
> serikalini
>
>  wanaanza kufanya kazi kwa woga na ndio mwanzo wa
> kurudisha
>
>  nidhamu. Wanyonge wanaanza kuwa na matumaini na
> kutarajia
>
>  hata wale mafisadi papa watafikiwa.
>
>
>
>  Mara wanajitokeza watanzania wenzetu wanaanza kumsonga
> Rais.
>
>  Wengine ni wanasiasa walikuwa wakiimba wimbo huu. Tena
>
>  wanasema Rais anatekeleza sera zao. Halafu wanaanza
>
>  kumgeuka. Wanasema anavunja haki za binadamu. Kwa nini?
> Watu
>
>  wanaohisiwa wamesimamishwa kazi ili kuchunguzwa.
> Wanataka
>
>  awaache waendelee kuiba. Watu wanaovurunda kazi
> wanaondolewa
>
>  kwenye nafasi za uteuzi. Ukiangalia sana unaona ni kwa
>
>  sababu watu hawa walizoea kuwaona wanyonge wengi
> wakipata
>
>  mateso. Lakini sio wakubwa wachache ambao wanaishi maisha
> ya
>
>  ajabu huku wanyonge wakiteseka. Wengine wanasema hakuna
> haja
>
>  ya kuwakamata mafisadi au kuwabana wakwepa kodi. Tuweke
>
>  mifumo itakayozuia ufisadi huo. Wanashindwa kuelewa
> kuwa
>
>  mfumo upo na ukitumika utazuia ufisadi. Sababu ya ufisadi
> ni
>
>  kutotumika mfumo wala sio kukosekana mfumo. Mfumo ni
> huu
>
>  unaotumika kuwabana. Wote wanaoshangaa hatua
> zinazochukuliwa
>
>  na Rais na kumlaumu wanahitaji kujua kuwa shida yao ni
> moja
>
>  tu: KWA SABABU HAWAKUZOEA! Kuzoea kuona mafisadi papa
>
>  wakichukuliwa hatua. Kuzoea kuona wafanyabiashara
> wakubwa
>
>  wanabanwa wanapokwepa kodi. Kuzoea kuona waziri
> anavuruga
>
>  anatimuliwa. Mfumo wowote kama hautasimamiwa hakutakuwa
> na
>
>  mabadiliko. Tukubaliane. Sheria itendewe kazi na
> tufumbe
>
>  macho kama hatuwezi kuvumilia kuona ikifanya kazi.
>
>
>
>  Elisa Muhingo
>
>
>
>
>
>
>
>   --
>
>
>
>
>
>
>
>   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
>    
>
>
>
>
>
>
>
>   Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>
>
>
>
>   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
>  Utapata Email ya
>
>
>
>   kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
>    
>
>
>
>
>
>
>
>   Disclaimer:
>
>
>
>
>
>
>
>   Everyone posting to this Forum bears the sole
>
>  responsibility
>
>
>
>   for any legal consequences of his or her postings,
> and
>
>  hence
>
>
>
>   statements and facts must be presented responsibly.
>
>  Your
>
>
>
>   continued membership signifies that you agree to this
>
>
>
>   disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
>  Guidelines.
>
>
>
>
>
>
>
>   ---
>
>
>
>
>
>
>
>   You received this message because you are subscribed
> to
>
>  the
>
>
>
>   Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
>
>
>
>
>   To unsubscribe from this group and stop receiving
>
>  emails
>
>
>
>   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
>
>
>
>
>   For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
>
>  --
>
>
>
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
>  Disclaimer:
>
>
>
>  Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>
>  for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
>
>  statements and facts must be presented responsibly.
> Your
>
>  continued membership signifies that you agree to this
>
>  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
>  Guidelines.
>
>
>
>  ---
>
>
>
>  You received this message because you are subscribed to

> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment