Saturday, 2 January 2016

[wanabidii] Re: [Wanazuoni] Habari Kubwa 3 Za Leo Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa Mjengwablog.com [1 Attachment]

Mjengwa hili la darasa moja kujengwa milioni 200 nami linikuta Monduli. Kawaida ni shs 19 milioni kujenga darasa la matofari na la kisasa kuezekwa bati kwa vipimo standard vya serikali. Nilipowapa Wilaya kuandaa mchoro chumba cha kulia wanafunzi liwe na ukubwa wa darasa hapo Naitolia wakanipa estimates za 200 million. gharama za jiko la kupikia nalo likawa balaa. Nilimpa mwalimu mkuu milioni 6 za mradi husika akajenga jiko zuri lililowashangaza wahisani kusika likiwa na stoo safi. Niliwaona TATEDO DSM wakanipa anuani na simu ya mafundi wao wa jiko sanifu aishie Monduli. Akaenda kujenga jiko sanifu mwalimu alimtumia kujenga hilo jiko. Jengo lilikuwa gharama ndogo, strong na walipofika World Food Program officers kuliona walijaza chakula cha msada mpaka darini, masufuria ya fedha ya kupikia, mafuta, ngano hiyo ya toka USA, magarage, ndoo za kuweka maji etc-Iliwapa kichwa kikubwa wahisani. Wakati mwingine bora kutumia mafundi na architects private kuliko staff wa serikali au fundi wa kijijini tu mjuzi kama huyo aliyejenga jiko lenye stoo etc kuliko wasomi wa serikali au makampuni makubwa. wanaweka posho, ulaji wa wa ajabu.

Kuvamia Shamba la Mh Sumaye. Ndio baadhi ya waheshimiwa wamejilimbikizia ardhi. Lakini hao walioondolewa Jangwani au Bondeni Kinondoni Mkwajuni baadhi yao walipewa ardhi, bati, tofari mabwepande wakauza wakarudi tena jangwani. Hao kinondoni mkwajuni waliboreshewa eneo hilo 1993-97 chini ya UNDP habitat mradi uliokuwa shirikishi. ILO-Assist, Ardhi Institute, Cowi Consult walihusika na ni mradi uliofanikiwa sana na wenyewe waliusivu. Pamoja na kuboresha miundombini-SACCOS ya mikopo kwa wajasiriamali, mradi wa maji na jumuia ya watumiamaji kuundwa na kuunda na kukipa vifaa CBO ua kufagia na kukusanya taka. Tathimini ya mradi 2000 nilihusika. Kwa kifupi, nimerudi eneo hilo zaidi miaka mingine 2008, 2010, 2012 kiutafiti-nyumba zimeuzwa wameshuka bondeni. Wakilalamika mafuriko na kulala juu ya paa hapo juu lakini wameshuka bondeni kuchafu zaidi. Nyumba na plots zilizorasimishwa zimepanda bei na kuuzwa kuwa bar, lodges, cassinos etc na vyoo vya baadhi ya nyumba kuunganishwa katika mitaro wazi ya kuondoa maji ya mvua. Kama wakifanya impact evaluation sasa itaonyesha balaa. sasa waliouza viwanja mabwepande nao wanamvamia Sumaye. Waliovamia ardhi ya Wazo Hill Cement factori baadae wakaachiwa maeneo-Wameuza. Anajenga kibanda cha hovyo anauza analewea. Wameuza nyumba kariakoo, buguruni, ilala na kuhamia mabondeni. Nyumba ya 60,000/= ya NHC sasa inafika millioni 300 kisha unahamia mabondeni kunakojaa maji mpaka darini. Nenda ukaone wanaojenga nyumba dampo la taka la kigogo lililofungwa mbone hilo la Sukita walikokuwa wanafuga kuku (CCM); fika mabonde ya mto Tegeta unaotokezea Africana kutoka Salasala uone pumba za baadhi ya watanzania wanaojenga mapito ya mto kabisa nyumba ya gharama na anaona baadhi zimepaduka kuta na kuanguka. waliowengi wanaojenga mabondeni na machimbo ya mawe Tegeta Mbuyuni wameuza maekari mengi maeneo makubwa ya wazee wao ya koroshoi na ,inazi huko nyuma ilipokuja Dev village. Waliouza Msewe, Changanyikeni, Makongo wanavyojenga barabarani na kufanya barabara kuwa finyu. Waliopimiwa Kiwarani, Ubungo Makuburi na maeneo mengine wanavyouza wenye pesa kujenga maghorofa wao kuhamia mabondeni Tabata, Makuburi Mto ubungo na kuvamia mabwawa ya maji machafu. Serikali ikamate wavamizi ili mchezo huu ukome. Kama Mh Sumaye amejilimbikizia ardhi na waheshimiwa wengine-Serikali ndio ilishughulikie hili. Ikiachia-wavamizi wengi ni wale Vibaka, watauza na watavamia kwingine vurugu na mauaji. Shamba la Mh Yona nalo lilivamiwa. Tukipita tukiona maembe aliyopanda mekundu ambayo wafanya biashara TZ wanaagiza kutoka Sudan. nami nilimuiga kununua miche hiyo ya miembe nimejifunzia hapo. Wananchi wa maeneo hayo ni kuuza mashamba na miembe mikubwa ya zama za mababu na mikorosho kukatwa. Ni hivyo sio Zinga tu bali Bunju, bagamoyo maeneo ya kuelekea Ruvu-Msata wameuza mashamba makubwa kuna Bar, lodges na fenced farms kwa walionunua. Aliyeuza waliowengi katumia hela hovyo na baadhi kulalamika kuonewa kukosa ardhi. Land use planning and certification ni jambo muhimu na hati zipigwe mihuri-Haihamishiki hasa serikali inapopimia low income people kuwahamisha na kuwapa ardhi. Basi na wavamie mashamba ya serikali ya mamlaka za mazao mbali mbali na ya JKT ambayo hayalimwi yana mikatani mizee au magugu. Waarabu, wahindi, wabaluchi, giriki etc ambao wana mashamba makubwa-wana hati miliki toka ukoloni. Baadhi yetu mashamba ya ukoo ya mila tumeuza kwa kushirikiana na uongozi wa vijiji tumeuza yaliyokuwa mashamba ya vijiji vya ujamaa.

Serikali kwa utendaji wake mbovu-inawajibika na kutafuta eneo kupima na kuwahamushia hao wanaowabomolea hasa wakima cha chini/kipato kidogo. Hii ni kwa sababu-haiwezekani unaona na kufahamu kuwa toka ukoloni jangwani hapakujenga na shule na hospitali ya muhimbili hazikushuka bondeni. Si nyumba za serikali za kigogo, Fire, NHC za magomeni-hazikushuka bondeni yanga, Sunna-jangwani, kigogo na mzeeNyerere alikataa kusijengwe bondeni Mikocheni -Msasani wetland ambako Tanesco pia wamejenga HQTRS yake na sasa mahoteli kibao hadi Msasani Bonde la Mpunga. Anapojenga Mtu Jangwani bondeni na popote pasiboruhusiwa kisheria na kiuysalama-mbona Serikali ilikuwepo ikiangalia? Anajengaje open space ya kijiji cha Nyerere Mwenge; maghorofa Victoria yanazidisha kuta barabarani toka foundation viongozi wanaona! Grace period ya kubomoa Ubungo-Kimara; Jangwani etc inapita, wanahamishwa-waanrudi wanawaona; wanawapa huduma ya umeme, maji na uongozi wa serikali wa mitaa, ubalozi unasimamia kazi za mtaa huo na kodi ya makazi wanalipa. Mbunge anawajengea daraja la kuvuka kinyesi na lile la Kijitonyama-Tandale kwa Mtogole linajengwa na serikali kwa wakazi wa bondeni-leo unabomoa na kuacha watoto walale nje na kubakwa-Why? pesa za GVT zitumike kuwapimia viwanja na Mr Mchechu mara moja ajenge fast NHC houses za kima cha chini, aache kujenga maghorofa na ahakikishwa waliopewa nyumba ndio wahusika maana matapeli tupo wengi. wawape nyumba ambazi zina kaeneo ka bustani waweke miche michache ya matunda na kulima mboga wasisakafie mazingira yote ya nyumba kama wafanyavyo mjini.

Wale watumishi wa umma mfano wa ardhi waliokagua eneo wakiwa wakwanza na kuandika taarifa panafaa kujengwa na mtu akapewa offer akajenga beach, pasiporuhusiwa, open space etc wasimamishwe kazi na mafao yao yalipie gharama za ubomoaji. kukisha bomolewa materials zisibaki kuwapa nafasi wezi na vibaka kulala ziondolewe na udogo, bati, tofari zote pawe clear. Rushwa imetumika na mwenye plot/nyumba na walithibitisha plot sio higher authorities pekee huenda walidanganywa na staff wao wa kazi ya ukaguzi. International Law ya Resettlement itakutaka uwalipe kutokana na uzembe wa taasiasi zako kutokubomoa baada ya grace period ya taarifa kwao. Kisha unakusanya kodi na kuwapa huduma na kukataza wasiondolewe (Waache wapiga kura wangu/wetu tutakosa Kura).

Ni hivyo viongozi wanaona jinsi wafanya biashara mfano mwenge, Africana walivyopanga mbao barabarani kewenye feeder roads kuna magari yanapakua mbao, yanapakia na menfine yanasubiri wateja na kusababisha foleni. Footpaths zimejaa mbao na magari. wanywao pombe bar za barabarani-wamepark magari kwenye njia za wapita kwa miguu na biashara na viosk vimesimama njiani kutwa kucha vipo. HAWAONI? Mbona hawachukui hatua miaka yote? Tofari Lugalo zinaftatuliwa kando ya mto na mto unachimbkia-hawaoni? Kuna mifugo mtoni darajani ubungo na kuta za mto zinatanuka kufikia kuta za nyumba na kuna vioski vya biashara na mataka yanatupwa-Hawaoni? Nyumba ziliwekwa X 1994 hadi leo zipo ni gharama mara ngapi Ubungo-Kimara Temboni na walishalipwa na wanawauzia wengine mbumbumbu wasiojua kuwa zinatakiwa zibomolewe-tumia JWTZ ukabomoe ama sivyo sheria itakutaka uwalipe kutokana na uzembe wako. Na hii tabia ya kuvamia hapa na pale ambapo tatizo ni extension staff kutimiza wajibu wao wanaacha uchafu unaendelea-tutavamiana moaka lini? nani haoni pia mtaani nyumba za makazi kuna bar kila kona watoto hawana pa kucheza na wanaona matendo ya uchafu ya watu wazima. Nani msomi hajui kuwa garage, welding vendors na saluni jirani na nyumba za kulala zinaharibu indoor arie quality lakini bado serikali inatoa leseni na utoaji leseni unataka ukaguzi kwanza? Tunaharibu jamii wenyewe kwa kutekeleza vibaya majukumu yetu kisha ni vamia hapa, vamia pale na waandishi wa habari mbio mbele na nyuma kutangaza sifa za uvamizi wakatu tumeyaachia wenyewe kuwa hivyo.

Boresha mfumo wa utendaji, weka miundo mbinu inayohitajika, fanya proper supervision, fanya annual evaluation na urekebishe mfumo from within. vamia vamia ni mbio za sakafui kuishia ukingoni; kuwaacha waannchi wavamie na kupora ardhi wengi wataitumia kama ya kujipatia kipato. Batilisha kwanza ownership right na umfidie kwani ulimpa wewe hata kama kuna corruption au matyumizi mabaya ay cheo-Ulimwachia karne!! Sitetei uovu lakini Mfumo wa GVT ndi Tata ulioleta Utata. Hao viongozi wanaovamia taasisi sasa walikuwepo siku zote serikalini na baadhi ya wabunge hayo ni majimbo yao yanakofanyika hayo waliyoyalinda karne ili wasikose kura. Tubadilike. Maenfdeleo ni process haiji kwa ambush hata ktk familia.

Kama Kawa.

--------------------------------------------
On Sun, 3/1/16, Maggid Mjengwa mjengwamaggid@gmail.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:

Subject: [Wanazuoni] Habari Kubwa 3 Za Leo Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa Mjengwablog.com [1 Attachment]
To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>, Wanazuoni@yahoogroups.com, "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 3 January, 2016, 7:28


 









[Attachment(s) from Maggid Mjengwa
included below]



1. Mahanga amvaa Magufuli..
Ni habari inayopewa nafasi ya kwanza kwa uzito
na mtandao wamjengwablog.com. Ni
kauli iliyotolewa na Waziri wa Awamu wa Nne kuelekeza
shutuma kwa Rais wa Awamu ya Tano.Habari hii si kubwa kwa tafsiri
ya kilichosemwa na Mahanga bali ni kubwa kutokana na
aliyekisema. Haipaswi kuwa ya kushangaza wala kutiliwa
maanani sana. Makongoro Mahanga ni muhanga wa harakati za
kisiasa. Moja ya sababu zilizopata kutolewa kwa yeye kuhama
CCM na kwenda Chadema ni kukaa kwa miaka kumi ndani ya
Serikali ya JK kama Naibu Waziri. Mahanga hajapata kuwa
Waziri Kamili, kama UKAWA ingeingia madarakani bila shaka
ndoto yake ingetimia.Makongoro Mahanga amekuwa Naibu
Waziri wa Kazi na Ajira kwa miaka mingi. Wakati akisubiria
kufanywa Waziri Kamili , hakuwa na mengi aliyoyafanya ya
kuonyesha umuhimu wa uwepo wa wizara hiyo. Si jabu nayo ni
moja ya wizara ambayo shughuli zake zimeunganishwa na wizara
nyingine.Makongoro Mahanga anajua,
lakini, kwa makusudi anapotosha umma. Anajua kuwa kuna
tofauti ya ukubwa wa Baraza la Mawaziri na ukubwa wa
Serikali kwa maana ya watendaji Serikalini. Makatibu Wakuu
na Manaibu wao ni watendaji wa shughuli za kila siku za
Serikali, si mawaziri na manaibu mawaziri. Mfano, shughuli
ambazo ziliwekewa wizara, kama kazi na ajira ambapo Mahanga
alikuwa Naibu Waziri, sasa zimeunganishwa na wizara nyingine
na ndio tafsiri ya baadhi ya wizara kuwa na makatibu wakuu
watatu. Walau hawa watakuwa wanakwenda kila asubuhi kufanya
kazi zenye kuhusiana , mathalan na kazi na ajira
zilizounganishwa na wizara nyingine , badala ya kuundiwa
wizara yake yenye Katibu Mkuu, waziri na naibu waziri wa
aina ya Mahanga anayenung'unika kwanini hafanywi kuwa
waziri kamili.2. Wananchi 100 wavamia shamba
la SumayeHii ni habari inayochukua nafasi
ya pili. Wananchi waliobomolewa nyumba zao na kuhamishwa
maeneo ya mabondeni wamevamia ekari 33 za Waziri Mkuu
Mstaafu, Fredrick Sumaye eneo la Mabwepande. Habari hii
inatukumbusha mgogoro unaoendelea kufukuta katika jamii
kuhusiana na ardhi. Sumaye anaweza kabisa kuwa anamiliki
eneo hilo kihalali, na kwamba wavamizi hawana haki kisheria
kumuingilia. Lakini, ukweli huo hauondoi hoja ya msingi
kuwa, baadhi ya viongozi, sio Sumaye tu, wamekuwa na hulka
ya kuhodhi maeneo makubwa ya ardhi katika sehemu za nchi, na
mara nyingi, bila kuyatumia kwa shughuli za uzalishaji.
Imefika wakati, wa kutunga sheria itakayowalazimisha, wale
wote wenye zaidi ya ekari tano, walipie kodi kila ekari
inayoongozeka, walau kwa kiwango kitakachowekwa kwa mwaka,
kimfanye anayemiliki awe na mawili ya kuchagua, ama atumie
kwa uzalishaji eneo alilohodhi, au arudishe kwa Serikali ya
kijiji.3. Darasa moja lajengwa kwa
milioni 200Hii ni habari inayopewa uzito
kwa nafasi ya tatu. Huko Mbeya imetolewa ripoti kuwa kwenye
shule za Sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi kuna
darasa limejengwa kwa shilingi milioni mia mbili. Huo bila
shaka yeyote ni ufisadi mkubwa, vinginevyo kama ni '
Darasa Ghorofa'!Usikose kusoma habari hizi kwa
undani , ikiwamo habari kubwa ya michezo na katuni bora ya
leo. Ni kwenye http://mjengwablog.com







__._,_.___

Attachment(s)
from Maggid Mjengwa | View
attachments on the web

1 of 1
Photo(s)





1.jpg










Posted by: Maggid Mjengwa
<mjengwamaggid@gmail.com>




Reply
via web post


Reply to sender


Reply to group

Start a New
Topic

Messages in this
topic
(7)






Check out the automatic photo album with
4 photo(s) from this topic.

























Visit Your Group







• Privacy • Unsubscribe • Terms of Use






















.







__,_._,___



#yiv7680530428 #yiv7680530428 --
#yiv7680530428ygrp-mkp {
border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
0;padding:0 10px;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-mkp hr {
border:1px solid #d8d8d8;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-mkp #yiv7680530428hd {
color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
0;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-mkp #yiv7680530428ads {
margin-bottom:10px;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-mkp .yiv7680530428ad {
padding:0 0;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-mkp .yiv7680530428ad p {
margin:0;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-mkp .yiv7680530428ad a {
color:#0000ff;text-decoration:none;}
#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-sponsor
#yiv7680530428ygrp-lc {
font-family:Arial;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-sponsor
#yiv7680530428ygrp-lc #yiv7680530428hd {
margin:10px
0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-sponsor
#yiv7680530428ygrp-lc .yiv7680530428ad {
margin-bottom:10px;padding:0 0;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428actions {
font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428activity {
background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428activity span {
font-weight:700;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428activity span:first-child {
text-transform:uppercase;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428activity span a {
color:#5085b6;text-decoration:none;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428activity span span {
color:#ff7900;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428activity span
.yiv7680530428underline {
text-decoration:underline;}

#yiv7680530428 .yiv7680530428attach {
clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
0;width:400px;}

#yiv7680530428 .yiv7680530428attach div a {
text-decoration:none;}

#yiv7680530428 .yiv7680530428attach img {
border:none;padding-right:5px;}

#yiv7680530428 .yiv7680530428attach label {
display:block;margin-bottom:5px;}

#yiv7680530428 .yiv7680530428attach label a {
text-decoration:none;}

#yiv7680530428 blockquote {
margin:0 0 0 4px;}

#yiv7680530428 .yiv7680530428bold {
font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}

#yiv7680530428 .yiv7680530428bold a {
text-decoration:none;}

#yiv7680530428 dd.yiv7680530428last p a {
font-family:Verdana;font-weight:700;}

#yiv7680530428 dd.yiv7680530428last p span {
margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}

#yiv7680530428 dd.yiv7680530428last p
span.yiv7680530428yshortcuts {
margin-right:0;}

#yiv7680530428 div.yiv7680530428attach-table div div a {
text-decoration:none;}

#yiv7680530428 div.yiv7680530428attach-table {
width:400px;}

#yiv7680530428 div.yiv7680530428file-title a, #yiv7680530428
div.yiv7680530428file-title a:active, #yiv7680530428
div.yiv7680530428file-title a:hover, #yiv7680530428
div.yiv7680530428file-title a:visited {
text-decoration:none;}

#yiv7680530428 div.yiv7680530428photo-title a,
#yiv7680530428 div.yiv7680530428photo-title a:active,
#yiv7680530428 div.yiv7680530428photo-title a:hover,
#yiv7680530428 div.yiv7680530428photo-title a:visited {
text-decoration:none;}

#yiv7680530428 div#yiv7680530428ygrp-mlmsg
#yiv7680530428ygrp-msg p a span.yiv7680530428yshortcuts {
font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}

#yiv7680530428 .yiv7680530428green {
color:#628c2a;}

#yiv7680530428 .yiv7680530428MsoNormal {
margin:0 0 0 0;}

#yiv7680530428 o {
font-size:0;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428photos div {
float:left;width:72px;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428photos div div {
border:1px solid
#666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428photos div label {
color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428reco-category {
font-size:77%;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428reco-desc {
font-size:77%;}

#yiv7680530428 .yiv7680530428replbq {
margin:4px;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-actbar div a:first-child {
margin-right:2px;padding-right:5px;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-mlmsg {
font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
sans-serif;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-mlmsg table {
font-size:inherit;font:100%;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-mlmsg select,
#yiv7680530428 input, #yiv7680530428 textarea {
font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-mlmsg pre, #yiv7680530428
code {
font:115% monospace;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-mlmsg * {
line-height:1.22em;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-mlmsg #yiv7680530428logo {
padding-bottom:10px;}


#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-msg p a {
font-family:Verdana;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-msg
p#yiv7680530428attach-count span {
color:#1E66AE;font-weight:700;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-reco
#yiv7680530428reco-head {
color:#ff7900;font-weight:700;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-reco {
margin-bottom:20px;padding:0px;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-sponsor #yiv7680530428ov
li a {
font-size:130%;text-decoration:none;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-sponsor #yiv7680530428ov
li {
font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-sponsor #yiv7680530428ov
ul {
margin:0;padding:0 0 0 8px;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-text {
font-family:Georgia;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-text p {
margin:0 0 1em 0;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-text tt {
font-size:120%;}

#yiv7680530428 #yiv7680530428ygrp-vital ul li:last-child {
border-right:none !important;
}
#yiv7680530428

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment