Sunday, 3 January 2016

Re: [wanabidii] Elimu ya Awali-Chekechea

Slyvannus,
Nimepata mwanga kwa maelezo yako,  maana kilichoulizwa kina nguvu katika future yetu.
Ikimaanisha tuko njia panda kuamua lifutwe au kuliendeleza kwa nguvu zaidi?
Kwa mtizamo wangu,
Kama linafanya kazi, Tuliache! Ila liboreshwe haswa kwenye shule za serikali, Ifike mahali shule zetu ziwe bora kuliko,  au bora kwa usawa na private schools!  Naona walimu wengi wa zamani ambao wamestaafu miaka 10 kutoka nyuma mpaka sasa,  tayari wameenda umri kidogo ila wana nguvu ya kazi ndogo ndogo, ni zaidi ya walimu! ni WAZAZI wenye kujua malezi yetu asilia. Wapitishwe crush course, coz its not about feeding hawa watoto kwa saana, ni kuwasimamia tu wavumbue walicho nacho na kuwa wadadisi huku tukiwajengea msingi wa namba na kuandika. Walimu hawa wanawake warudishwe makazini kwa malipo kiasi!!!
Haya madarasa ya mbele yaendelezwe na hizo diploma zetu na vyeti tulivyovijaza huko, ila kwenye lugha na sayansi turudishe walimu wa degree hata mmoja mmoja kwa kila shule. Kama patakuwa na umuhimu wa kuongeza nguvu kwenye sayansi na hesabu, tuna ile migwiji tuliyoijua kwa hesabu na sayansi, ipo vijijini na kwingineko!! Irudishwe!!
Basic plan itakuwa imeisha.

Tuispolionea umuhimu tulifute!!!!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment