Muro, Nakubaliana na wazo lako hasa kwa jinsi viongozi wetu wanavyoyapeleka mambo ni kama vile watu wanaowaongoza hawana akili kabisa. Lakini je ni nani atamfunga paka kengele? Mwenzetu mmoja alijaribu mahali fulani hadi sasa anaozea ndani
2014-04-27 22:19 GMT-07:00 J. Muro <nitumie@gmail.com>:
Ila kusema ukweli viongozi wetu kwa kiasi kikubwa wanajisahau sana;sijui wanashindwa kuelewa wanaongoza watu kama wao na wenye akili tena wengine wanawazidi kiakili japo ndiyo wao tuwepa nafasi sasa sijui wanataka tuwatembezee bakora kama mtoto au watoto wanapokosea wanapatiwa adhabu kama ya kupigwa viboko.Nafikiri na hawa viongozi wetu wanastahili bakora!Huwezi kutegemea kiongozi kwa hadhi yake ana thubutu kuongea pumba na chuya mbele ya wananchi; kwa kiongozi kama huyu ni pale tu anapomaliza kuongea ujinga wake mnamkamta na kumtembezea kichapo ili iwe fundisho kwake na kwa wengine pia.
On Sunday, April 27, 2014 8:42:51 PM UTC+3, embegu wrote:Je, walikutana huko Mtambani
Sent from Samsung tablet
-------- Original message --------
From: 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii
Date:27/04/2014 06:50 (GMT+03:00)To: wana...@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] WAISLAMU WOTE KUKUTANA MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI 27/4/2014
--Adam;
You are right braza, acheni spedi iitwe spedi na sio kijiko kikubwa.
Watu lazima tujifunze kulingana na makosa yetu,ukiharibu kwa sababu yoyote ile lazima uwe responsible,kama ni kweli kayatamka hayo lazima awajibike tu,tusimtetee mana hawezi kujifunza.Sidhani kama kuna mtu anachochea mkaa katika hili,lakini tunataka uwajibikaji sio watu wanakurupuka kurupuka tu.
Viongozi wetu ikiwa pamoja na sisi malofa lazima tupime future impact ya lolote tunalotaka kufanya au kuongea mbele za wengine,la sivyo kunakuwa hakuna tofauti ta kiongozi na mwendawazimu.
Reuben
From: Adam Mwambapa <adammw...@ymail.com>
To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>Sent: Saturday, April 26, 2014 9:24 PM
Subject: Re: [wanabidii] WAISLAMU WOTE KUKUTANA MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI 27/4/2014
Unajua tukubali tusikubali, ukiwa msomi au kiongozi wa ngazi yoyote unayetumikia umma wa Watanzania na kwingineko kokote duniani ni lazima ujiheshimu katika tamko lako lolote; huku ukijua wazi kuwa unanukuriwa.
Uropokaji wowote, majidai yoyote, majigambo na majisifu pamoja na kejeli kwa unaowaongoza lazima ujiheshimu unapodhamiria kuvitumia vitu hivi na pengine ujifunze ustaarabu wa kutumia maneno yenye busara na hekima, ukishindwa muombe Mungu wako akuongoze.
Yapo mambo ambayo unaweza ukayatamka kwa ajili ya kutaka sifa tu na si vinginevyo kwa wanaokusikiliza bila kufahamu athari zake baadaye zitakuwaje.
Yanapokukuta ndiposa ule uuma uliokuwa ukikushangilia unarudi nyuma kukuzomea.
On Saturday, April 26, 2014 9:48 AM, "misango...@yahoo.com via Wanabidii" <wana...@googlegroups.com> wrote:
Tuepushe kuwa wachochezi wa mambo mengine yasiyokuwepo. Lukuvi hajatumwa na wakristo kusema aliyosema na ambayo hayakubaliki na yeyote mwenye busara bila kujali dini yake! Tuwe makiniSent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: "'lucas haule <kisac...@yahoo.com>' via Wanabidii" <wana...@googlegroups.com>Sender: wana...@googlegroups.comDate: Sat, 26 Apr 2014 00:45:43 -0700 (PDT)ReplyTo: wana...@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] WAISLAMU WOTE KUKUTANA MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI 27/4/2014
Waislamu watakuwa wajinga kama wanamwachia mtu anaye watuhumu waziwazi.
On Saturday, April 26, 2014 2:14 AM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com> wrote:
Comrades;Sasa Lukuvi kumekuchwa,Juzi kuna mjumbe mmoja wa jukwaa hili alisema,heri yao wengine wanavifua vya uvumilivu lakini wandugu wengine ni balaa.Sasa Braza Lukuvi utakunywa tu mkorogo wako.
Reuben
From: Abdalah Hamis <hami...@gmail.com>
To: wana...@googlegroups.comSent: Friday, April 25, 2014 5:04 PM
Subject: [wanabidii] WAISLAMU WOTE KUKUTANA MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI 27/4/2014
----- Forwarded Message -----
Send Emails to wana...@googlegroups.com--WAISLAMU WOTE KUKUTANA MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI 27/4/2014 .
"Tutakuwa na KONGAMANO kubwa ambalo halijawahi kutokea toka Dunia hii iumbwe litakalo anza majira ya saa tatu Asubuhi".
"Tutaonyesha MKANDA video wa Mh: Lukuvi, akiwa Kanisani akiutukana UISLAMU kwa magizo ya Waziri Mkuu alie muwakilisha"
''Mpaka leo hakuna hatua zozote zilizochukuliwa na mamlaka za juu yake kumuwajibisha au kukanusha kauli hiyo, Hivyo kunakila dalili kuwa serikali ya CCM inachuki na WAISLAMU"
SASA WAISLAMU MTAJUA KWANINI MNAPIGWA RISASI ZA MOTO NA KUFUNGWA.
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com

wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaSend Emails to wana...@googlegroups.com

wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaTo unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment