Tuesday 29 April 2014

Re: [wanabidii] Siungi Mkono Adhabu ya Kifo

Nico,
Acha kurukaruka kama bisi kikaangoni. Nimekuuliza nani anaua watu!!? Au kifungu kipi chasema Mungu ndio anaweza kuonda uhai wa mtu??
Tusifanye mjadala kuwa mreefu ki-udini zaidi. Swala ni dogo sana, imeandikwa samehe 7*70 tena ukipigwa shavu la kulia geuza la kushoto,

Hivi Mungu anaweza kumchukua baba mwenye watoto wakati bado wanahitaji uangalizi wake?

Hata Yesu alisema ya kaisari mpeni kaisari, na bado biblia imeshindilia msumari kuwa tuziheshimu mamlaka zetu, watu hao hao na utawala huo huo ndio mnaulalamikia ulikuja kumuua Yesu.

"...by citizenship am a Tanzanian, nationality African..."

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment