Wednesday 30 April 2014

[wanabidii] Hospital ya Taifa Imejaa Lundo La Takataka

Wanabidii, wakati tukijinasibu na "Show of Force" siku ya sherehe ya muungano, Hospitali ya taifa ya Muhimbili ina lundo la takataka ambalo halijazolewa kwa muda mrefu.

Nina uhakika kama tungetenga pesa yakununua kifaru kimoja inunue gari moja la kuzoa takataka tungeondokana na aibu hii ya lundo la takataka.

Naomba Mungu wale wageni wetu waliojaa pale uwanjani wasije Muhimbili kwa kuwa tutaumbuka!  

0 comments:

Post a Comment