Monday, 28 April 2014

Re: [wanabidii] Kutawala mazuzu raha sana

Message sent. Ila kama hata maswali ya hisabati siku hizi ni ya kuchagua (yaani 2x2 = ? na jibu lake uchague kati ya 1.2, 3.7, 4 au 6) na tunaaminishwa huku ndiko kusoma kisasa, unategemea nini?
 
2014-04-28 12:08 GMT+03:00 mngonge <mngonge@gmail.com>:
Siku zote mjinga hakubali kuitwa mjinga. Tuelewe kwamba ni matendo ya mtu yanayomfanya kuitwa mjinga ama Zuzu. Jambo linaloongelewa hapa ni kuwa watanzania hatuna kawaida ya kuchambua jambo kwa ufasaha na badala yake tunayachukulia mambo mbalimbali kama misaafu. Kama vile kuna watu wanafikiri badala yetu. Ukiangalia namna wajumbe wa Bunge maalumu la Katiba walivyoteliwa kweli unagundua kuna tatizo. Mtu anapiga ngoma na kucheza mwenyewe. Tusilaumu fedha zetu kuliwa bila kutoka na katiba ya wananchi, kwa maana tulitakiwa kuhoji mambo mengi tangu mchakato huu kuanza

2014-04-28 8:54 GMT+03:00 J. Muro <nitumie@gmail.com>:

Sasa mnakataa nini huku mnakiri kuwa mambo hayaendi sawa?!Hii inaonyesha kuwa tuna matatizo makubwa na mojawapo hatukubali kuambiwa ukweli.Na tukiambiwa ukweli tunakuwa wabishi na wakali; ila viongozi wakisema uongo wao uliokomaa tunawakubalia kirahisi tu.
Nikisema mimi au mtu mwingine ambaye siye kiongozi hata kama yanayosemwa yana tija atakumbana na upinzani usiotarajiwa;iweje mwanasiasa ambaye mtaji wake mkubwa ni kusema uongo na bado hambishi/wala kumpa upinzani zaidi ya kusema hewala.
Tuacheni unafiki, kiongozi angesema hili la "mazuzu" wala asingekutana na upinzani kama huu; zaidi ya kunong'ona tu.Maana hapa mazuzu ni wote kwa ujumla wetu; kwasababu kama kiongozi anazingua huwa tunafanya nini kwa maslahi ya Taifa zaidi ya kukaa kimya na kukubali hasara na matumizi mabaya ya madaraka hadi leo ni tatizo na bado tunawachagua na kuwa shabikia na kama sisi kweli tuko smart ni mara ngapi wananchi walijitokeza na kumuadhibu kiongozi aliye wakosea? Ukweli hakuna zaidi ya kusubiri huruma ya Rais/Waziri mkuu/Waziri na wote hawa lao moja.Mkosaji haadhibiwi zaidi ya kupewa ulaji sehemu nyingine.
Kwa mifano hiyo michache tu, kwanini tuisiitwe mazuzu hata na hao wawekezaji maana nilikutana baadhi yao; yaani wanatushangaa jinsi mgeni anavyo kuja kawaida halafu anatajirikia kwa rasimali za Tanzania.

On Sunday, April 27, 2014 11:45:03 PM UTC+3, lesian mollel wrote:
ukiwa mwanasiasa utapigwa mawe mzee, usilewe uhuru ukamisuse maneno, unawatusi watanzania halafu uanakataa sentensi uliyoandika mwenyewe maskiniiiiiii.......ni bora ukubali ufute kauli yako, watanzania si mazuzu hata kidogo, ni werevu sana na wanajua mambo ila wewe unataka watu watahamaki na kuingia road kijinga kwa sentensi yako hiii, ni kweli kuna mambo meeengi sana si sawa lakini si kwamba watu hawajui mzeee, futa neno lako hilo baya kaka lisilo na staha linatuchafua, sisi si mazuzuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

On Sunday, April 27, 2014 7:46 PM, Magora Hassan <mago...@gmail.com> wrote:
Selemani
Hata kama unakana kuwa hujasema kuwa Watanzania ni mazuzu ila Sematikia ya waraka wako iko wazi kabisa kuwa mazuzu ni watanzania,unashabihisha mfumo mzima wa kutafuta katiba mpya mpaka hapa tulipofika.
Kama wewe ni Mgeni unayo haki ya kusema ivo maana utakuwa huna soni wala heshima kwa Watanzania. Ila kama ni Mtanzania bila shaka umeteleza kwani wewe pia ni Zuzu,tena yawekana ukawa kiranja wao hao Mazuzu. Pia kauli yako ya kuwaita Watanzania mazuzu ni ukosefu wa busara kwani nijuavo mimi siasa ni game of advantage. Kila kikundi kinaangalia mwanya wa kupita uku kikizingatia maslahi yake kwa mwavuli wa kuwatetea wanyonge. Mimi Mtanzania nasema kwa sauti kubwa kuwa sio zuzu najitambuwa,na ninajua kwa kina nini ninachofanya.
Rgrds
Magora
On Apr 27, 2014 8:49 AM, "Selemani Swalehe" <semkiwas@gmail.com> wrote:
Nimesema kutawala mazuzu ni raha na rahisi sana maana ukitaka jambo lako lifanyike unavyotaka wewe ni simple unawambia tuunde tume ya kuamua juu ya jambo fulani  halafu kazi ya kuchagua wajumbe wa tume inakuwa ni yako wewe mwenyewe. Katika kuchagua kama wanatakiwa wajumbe kumi basi unahakikisha unaweka wajumbe saba wa upande wako unaoamini hawawezi kukuangusha ikifika wakati wa kufanya maamuzi unasema tupige kura tufuate demokrasia mazuzu wanakubali na matokeo utake usitake  lazima yatakuwa saba dhidi ya watatu kisha unajigamba umeshinda kwenye boksi la kura kwa hiyo  walio wengi wameamua na mazuzu yanakubali kuwa demokrasia imetumika we unapeta tu kiulaini na kufanya kila kitu kiende unavyotaka,hahahaha mazuzu bwana.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

0 comments:

Post a Comment