Wednesday 30 April 2014

Re: [wanabidii] Mkataa wengi mchawi ---bunge la katiba lina mambo!!

Tatizo la baadhi yetu ni kudhani kwama kundi la wajumbe wa CCM wanaposema wengi wanazungumzia wananchi, hapana, wao wako wengi kwenye Bunge la katiba.
Na bila shaka kwa philosophy hiyo waliamini hadi leo hii katiba mpya ingelikuwa imeshakamilika, kwa bahati mbaya wamekutana na wachache wasiyosikia ya wengi bungeni, kumetokea kucheleweshwa kutungika kwa katiba hiyo.
Nakumbuka kulikuwa na hiyo minong'ono ya kwamba CCM wanaingia bungeni na rasimu yao, ambapo mambo yalikuja kudhihirika pale walipokutana na kuafikiana kuwa na msimamo, yakifuatiwa na makusudi mazima ya kubadilisha utaratibu wa ufunguzi wa bunge hilo la katiba, Rais wa nchi akaingia hapo kutoa order kwa mtindo wa ushauri huku akiichambua na kuikosoa rasimu. Matukio hayo yote ilikuwa kuijengea njia rasimu ya walio wengi bungeni, nasema wengi bungeni si wengi nchi nzima.
Kinachoshangaza kundi la wachache kuwapinga walio wengi, hivi ninyi wachache mnatatizo gani?
Pengine uamuzi mliochukuwa wa kuachia walio wengi watnge katiba inayowafaa wao ni hatua ya busara, msije mkafanya watu waanze kuamini kuwa kweli ninyi mu wachawi kwa kukaa kubishana kuonyesha wapipi pamepindishwa na vipi inapaswa kuwa,  heri yenu mumejiondokea bungeni, hivi karibuni tutapata katiba mpya iliyotungwa na wengi inayowafaa walio wengi bungeni.

On Tuesday, 29 April 2014, 18:50, Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com> wrote:
Mi yangu macho Mngonge watafutie jina la kuwaita hao wanaokubali ujinga huo

2014-04-28 5:45 GMT-07:00 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:
Nadhani ni muhimu pia kufikiria wingi wa hoja na siyo wa watu tu. Mfano, ukichambua hoja za wanaounga mkono serikali 3 ni nyingi zaidi kuliko za wanaounga serikali 2. Sasa kwa kutumia kigezo cha 'wengi wape' hapa utawapa akina nani - wenye hoja chache lakini wengi kwa idadi au wenye hoja nyingi lakini wachache kwa idadi? 

2014-04-28 15:20 GMT+03:00 mngonge <mngonge@gmail.com>:

Zunzu hapa uwongo unapinduliwa kuwa kweli, wameamua kutumia rugha hiyo ili kuwapumbaza watanzania, wanaoitwa wachache ndo wanatetea tunachotaka wengi na wanaoitwa wengi ndo wanatetea vitu vya kuzimu. Ninasema hivyo kwa sababu rasimu ya kamati iliyoongozwa na Warioba inataja matakwa ya walio wengi sasa hao mabingwa wa utapeli wanageuzageuza mambo na kuanza kujadili mambo ambayo hayajaandikwa wala kuwa matakwa ya wengi. Nashangaa na mtoa hoja anadanganyika na kuwaita wengi, wengi wa namna gani hao?  Kweli wengi wape kwa maana wanaohitaji serikali tatu ndo wengi na hivyo hakuna namna ya kubadilisha ukweli huo,

On Fri, Apr 25, 2014 at 5:56 PM, 'marcuskabwella@yahoo.com <marcuskabwella@yahoo.com>' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Nyani haoni kundule Leo nilijitoa muhanga kusikiliza mwanzo mwisho kama kuna hotuba walau imenigusa labda ya Mzee kingunge! Si waziri Mkuu wala makamu wa pili wa rais wa Zanzibar. Wanachong'ang'ana eti waasisi wametukanwa sio kweli! Je Mwigulu kuwaambia Jussa name mbowe wanataka kuleta ushoga ina maana nao ni mashoga? UKAWA msirudi waandae katiba waitakayo! Na Hamadi Rashid kwa nini CUF wasimfukuze uanachama? Mbona ccm walimfukuza Mbunge Kiembe samaki?
Sent from Yahoo Mail on Android

From: misangocharles@yahoo.com via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Mkataa wengi mchawi ---bunge la katiba lina mambo!!
Sent: Fri, Apr 25, 2014 2:46:28 PM

Tena anayesema hayo ni makamu wa pili wa rais! Sijui hao wengine wana lugha gani. Nikashangaa kusikia akilaumu lugha ya matusi sasa sijui yeye kuwaita wenzake wachawi kisa tu hawakubaliana na wengi ndo lugha ya kistaarabu?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: "'lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Fri, 25 Apr 2014 05:46:02 -0700 (PDT)
Subject: Re: [wanabidii] Mkataa wengi mchawi ---bunge la katiba lina mambo!!

Ukiwapa wengi utaitwa malaya. Wachache wasikilize na ujifunze wako.

On Friday, April 25, 2014 2:50 PM, Mike Zunzu <mikezunzu@yahoo.co.uk> wrote:
Of course walio wengi ni wabunge wa kundi la CCM kwenye bunge la katiba, kwa hiyo wanaowakatalia wanayotaka ni wachawi.
Wewe anzia kwenye mfumo wa nammna watakavyokuwa wanapiga kura kufikia hatua ya mwisho juu ya vipengere wanavyojadiliana, wengi wametaka kura iwe ya wazi, wachache wanapinga utaratibu huo, ukija upande wa rasimu, CCM wameingia na msimamo wao, eti wachache wanawapinga.
Labda niongezee methali hii pia, "Wengi wape."
On Friday, 25 April 2014, 10:31, Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com> wrote:
Sasa sijui ni wengi wapi, wananchi au wabunge wa bunge la katiba?

PS. siku 70, wametumia 20+ bilioni. Sasa wameongezewa siku 60....
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment