Tuesday 29 April 2014

Re: [wanabidii] Kutawala mazuzu raha sana

Pengine watanzania sie si mazuzu tumefanya nini kuonyesha kuwa sie ni makini na uzuzu katu hauwezi kuwa jirani yetu. Je tunajiridhisha kuwa kabisa hakuna mahala uzuzu umelala ndani ya jamii yetu? Pengine wengine bado mna ndoto za academic excellents enzi hizo ndo maana humu majukwaani mnataka kuwa appreciated.

Hebu jambo lifanywe na kiongozi uliemchagua wewe na liwe fyongo utasema kafanya kiongozi sawa na wewe unasimama wapi muongozwa. Kama tunauchukia uzuzu basi tuuchukie kwa vitendo na tuelimishane mbona maisha bado yanasonga mbele na nyie mnakalia kuangalia mlikotoka?


2014-04-28 13:40 GMT-05:00 Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com>:
Mngonge tuna kazi kubwa sana watu badala ya kuzinduka kutoka kwenye
usingizi mzito wanasema wametukanwa na bado hapo hapo wanakiri kuwa
mambo hayaendi vizuri ni ajabu na kweli

On 4/28/14, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
> Message sent. Ila kama hata maswali ya hisabati siku hizi ni ya kuchagua
> (yaani 2x2 = ? na jibu lake uchague kati ya 1.2, 3.7, 4 au 6) na
> tunaaminishwa huku ndiko kusoma kisasa, unategemea nini?
>
> 2014-04-28 12:08 GMT+03:00 mngonge <mngonge@gmail.com>:
>
>> Siku zote mjinga hakubali kuitwa mjinga. Tuelewe kwamba ni matendo ya mtu
>> yanayomfanya kuitwa mjinga ama Zuzu. Jambo linaloongelewa hapa ni kuwa
>> watanzania hatuna kawaida ya kuchambua jambo kwa ufasaha na badala yake
>> tunayachukulia mambo mbalimbali kama misaafu. Kama vile kuna watu
>> wanafikiri badala yetu. Ukiangalia namna wajumbe wa Bunge maalumu la
>> Katiba
>> walivyoteliwa kweli unagundua kuna tatizo. Mtu anapiga ngoma na kucheza
>> mwenyewe. Tusilaumu fedha zetu kuliwa bila kutoka na katiba ya wananchi,
>> kwa maana tulitakiwa kuhoji mambo mengi tangu mchakato huu kuanza
>>
>>
>> 2014-04-28 8:54 GMT+03:00 J. Muro <nitumie@gmail.com>:
>>
>>
>>>
>>>
>>> *Sasa mnakataa nini huku mnakiri kuwa mambo hayaendi sawa?!Hii
>>> inaonyesha
>>> kuwa tuna matatizo makubwa na mojawapo hatukubali kuambiwa ukweli.Na
>>> tukiambiwa ukweli tunakuwa wabishi na wakali; ila viongozi wakisema
>>> uongo
>>> wao uliokomaa tunawakubalia kirahisi tu.Nikisema mimi au mtu mwingine
>>> ambaye siye kiongozi hata kama yanayosemwa yana tija atakumbana na
>>> upinzani
>>> usiotarajiwa;iweje mwanasiasa ambaye mtaji wake mkubwa ni kusema uongo
>>> na
>>> bado hambishi/wala kumpa upinzani zaidi ya kusema hewala.Tuacheni
>>> unafiki,
>>> kiongozi angesema hili la "mazuzu" wala asingekutana na upinzani kama
>>> huu;
>>> zaidi ya kunong'ona tu.Maana hapa mazuzu ni wote kwa ujumla wetu;
>>> kwasababu
>>> kama kiongozi anazingua huwa tunafanya nini kwa maslahi ya Taifa zaidi
>>> ya
>>> kukaa kimya na kukubali hasara na matumizi mabaya ya madaraka hadi leo
>>> ni
>>> tatizo na bado tunawachagua na kuwa shabikia na kama sisi kweli tuko
>>> smart
>>> ni mara ngapi wananchi walijitokeza na kumuadhibu kiongozi aliye
>>> wakosea?
>>> Ukweli hakuna zaidi ya kusubiri huruma ya Rais/Waziri mkuu/Waziri na
>>> wote
>>> hawa lao moja.Mkosaji haadhibiwi zaidi ya kupewa ulaji sehemu
>>> nyingine.Kwa
>>> mifano hiyo michache tu, kwanini tuisiitwe mazuzu hata na hao wawekezaji
>>> maana nilikutana baadhi yao; yaani wanatushangaa jinsi mgeni anavyo kuja
>>> kawaida halafu anatajirikia kwa rasimali za Tanzania.*
>>>
>>>
>>> On Sunday, April 27, 2014 11:45:03 PM UTC+3, lesian mollel wrote:
>>>
>>>>  ukiwa mwanasiasa utapigwa mawe mzee, usilewe uhuru ukamisuse maneno,
>>>> unawatusi watanzania halafu uanakataa sentensi uliyoandika mwenyewe
>>>> maskiniiiiiii.......ni bora ukubali ufute kauli yako, watanzania si
>>>> mazuzu
>>>> hata kidogo, ni werevu sana na wanajua mambo ila wewe unataka watu
>>>> watahamaki na kuingia road kijinga kwa sentensi yako hiii, ni kweli
>>>> kuna
>>>> mambo meeengi sana si sawa lakini si kwamba watu hawajui mzeee, futa
>>>> neno
>>>> lako hilo baya kaka lisilo na staha linatuchafua, sisi si
>>>> mazuzuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
>>>>
>>>>   On Sunday, April 27, 2014 7:46 PM, Magora Hassan <mago...@gmail.com>
>>>> wrote:
>>>>   Selemani
>>>> Hata kama unakana kuwa hujasema kuwa Watanzania ni mazuzu ila Sematikia
>>>> ya waraka wako iko wazi kabisa kuwa mazuzu ni watanzania,unashabihisha
>>>> mfumo mzima wa kutafuta katiba mpya mpaka hapa tulipofika.
>>>> Kama wewe ni Mgeni unayo haki ya kusema ivo maana utakuwa huna soni
>>>> wala
>>>> heshima kwa Watanzania. Ila kama ni Mtanzania bila shaka umeteleza
>>>> kwani
>>>> wewe pia ni Zuzu,tena yawekana ukawa kiranja wao hao Mazuzu. Pia kauli
>>>> yako
>>>> ya kuwaita Watanzania mazuzu ni ukosefu wa busara kwani nijuavo mimi
>>>> siasa
>>>> ni game of advantage. Kila kikundi kinaangalia mwanya wa kupita uku
>>>> kikizingatia maslahi yake kwa mwavuli wa kuwatetea wanyonge. Mimi
>>>> Mtanzania
>>>> nasema kwa sauti kubwa kuwa sio zuzu najitambuwa,na ninajua kwa kina
>>>> nini
>>>> ninachofanya.
>>>> Rgrds
>>>> Magora
>>>> On Apr 27, 2014 8:49 AM, "Selemani Swalehe" <semkiwas@gmail.com> wrote:
>>>>
>>>> Nimesema kutawala mazuzu ni raha na rahisi sana maana ukitaka jambo
>>>> lako
>>>> lifanyike unavyotaka wewe ni simple unawambia tuunde tume ya kuamua juu
>>>> ya
>>>> jambo fulani  halafu kazi ya kuchagua wajumbe wa tume inakuwa ni yako
>>>> wewe
>>>> mwenyewe. Katika kuchagua kama wanatakiwa wajumbe kumi basi
>>>> unahakikisha
>>>> unaweka wajumbe saba wa upande wako unaoamini hawawezi kukuangusha
>>>> ikifika
>>>> wakati wa kufanya maamuzi unasema tupige kura tufuate demokrasia mazuzu
>>>> wanakubali na matokeo utake usitake  lazima yatakuwa saba dhidi ya
>>>> watatu
>>>> kisha unajigamba umeshinda kwenye boksi la kura kwa hiyo  walio wengi
>>>> wameamua na mazuzu yanakubali kuwa demokrasia imetumika we unapeta tu
>>>> kiulaini na kufanya kila kitu kiende unavyotaka,hahahaha mazuzu bwana.
>>>> --
>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>>
>>>> --
>>>> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>>
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>>
>>>>
>>>>  --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>
>>
>>  --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment