Tuesday 29 April 2014

Re: [wanabidii] WASWAHILI NA MAMBO YA KISHIRIKINA

Boniface
Asante kunifungua macho.
em

2014-04-29 9:15 GMT-04:00 Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>:
Kupasua nazi kati kati ya nchi kunaashiria kwamba yule mtu anataka kukamata kanda zote za dunia yaani mashariki, magharibi, kusini na kaskazini (alama ya msalaba, njia nne). Mara nyingi huwa ni wafanyabiashara..anaitia wateja watoke kanda zote hizo kuja kununua mali zake iwe duka n.k., (kakamata pande 4 za dunia). Huu ni wizi alioufanya shetani, aliiba nguvu iliyoko ndani ya msalaba, kumwagika kwa samu ya Yesu, na kuwapa wafuasi wake kuitumia. na ndo maana unakuta watu hao wanafanikiwa kwa ujinga huo..., kanisa sasa la Mungu wa Elia Kizazi cha nne (Mjumbe wa Haki Kazi) linarejesha vyote vilivyoibwa na shetani kuvirejesha madhabahuni (kanisani) kwa kukamata pande zote za dunia na kuzitenga na uovu wowote uliowahi kufanyika na kuziingiza katika miaka elfu moja...

2014-04-23 0:07 GMT+03:00 'lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

Yona
Ushirikina upo sana bongo, ila bora ubakie kuwa mtiifu ktk imani yako, washirikina hawafikagi mbali

On Tuesday, April 22, 2014 9:28 PM, Kamala J Lutatinisibwa <jlkamala@gmail.com> wrote:
hilo nalo swali bwana Muganda

On 22/04/2014, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
> Kwani kupasua nazi kunaashiria nini?
> em
>
> Sent from my iPhone
>
>> On Apr 22, 2014, at 12:06 PM, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
>>
>> Ndugu zangu ,
>>
>> Leo nimerudi toka safari yangu ya mbali kidogo , nilitakiwa kwenda sehemu
>> nyingine hapa nchini leo hii lakini safari imengoja kidogo ila nimejionea
>> vituko toka asubuhi .
>>
>> KUDONGOKA KWA KIZEE UBUNGO
>> Leo asubuhi wakati Natoka uwanja wa ndege kuna bibi kizee Fulani
>> alidondoka karibu na mataa ya ubongo , kwa kile kishindo watu walifukuzana
>> , kugeuka kumbe ni bibi kizee wakataka kuanza kumpiga bahati nzuri
>> kulikuwa na askari wa JW aliyeingilia kati na kumwondoa eneo lile
>> kumpeleka kituo cha urafiki lakini kwa miguu .
>>
>> MREMBO KUPASUA NAZI KATIKATI YA MATAA , SAYANSI
>> Jioni hii wakati narudi zangu toka sehemu tukiwa kwenye foleni mbele yetu
>> kulikuwa na bajaj.
>>
>> Askari alivyoruhusu magari kuondoka tu , jamaa wa Bajaji akaenda katikati
>> ya mataa mara akatokea mdada kwenye bajaj akapasua Nazi pale katikati ya
>> barabara  trafiki aliyekuwa pembeni aliduwaa watu wakashangaa tu jamaa
>> akaondoa bajaj yake kwa mwendo wa kasi akaingia maeneo ya sayansi
>> akapotelea huko .
>> Hayo mambo 2 hapo juu nilikuwa nayasikia kwenye hadithi na wakati mwingine
>> kuona kwenye picha lakini leo nimeshuhuduia live .
>>
>> Wazazi wanatwambia Mwanangu kua unayone , leo nimeyaona .
>>
>>
>> --
>>
>> Yona Fares Maro
>>
>> Institut d'études de sécurité - SA
>>
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
kamala J Lutatinisibwa

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment