Monday, 28 April 2014

Re: [wanabidii] Siungi Mkono Adhabu ya Kifo

Hata mimi siungi mkono kabisa hukumu ya kifo. Ila nadhani mataifa ya ulaya yatalaani. Mataifa ya Afrika sidhani maana kwao hiyo ndiyo adhabu sahihi na hasa kwa political oppnonents. 

2014-04-28 11:16 GMT+03:00 Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com>:
Ndugu zangu , Muda mchache uliopita Wafuasi 683 wa Muslim Brotherhood la Misri wamekuhumiwa adhabu ya kifo pamoja na kiongozi wao Mohamad Badie .

Pamoja na makosa waliyoyafanya , siongi mkono adhabu ya kifo kwa watu hawa au kwa mtu yeyote , natumai jumuiya ya kimataifa itaingilia kati haswa Umoja wa Afrika , Arab League na Umoja wa nchi za Kiislamu .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment