Monday, 28 April 2014

Re: [wanabidii] Mkataa wengi mchawi ---bunge la katiba lina mambo!!

Zunzu hapa uwongo unapinduliwa kuwa kweli, wameamua kutumia rugha hiyo ili kuwapumbaza watanzania, wanaoitwa wachache ndo wanatetea tunachotaka wengi na wanaoitwa wengi ndo wanatetea vitu vya kuzimu. Ninasema hivyo kwa sababu rasimu ya kamati iliyoongozwa na Warioba inataja matakwa ya walio wengi sasa hao mabingwa wa utapeli wanageuzageuza mambo na kuanza kujadili mambo ambayo hayajaandikwa wala kuwa matakwa ya wengi. Nashangaa na mtoa hoja anadanganyika na kuwaita wengi, wengi wa namna gani hao?  Kweli wengi wape kwa maana wanaohitaji serikali tatu ndo wengi na hivyo hakuna namna ya kubadilisha ukweli huo,

On Fri, Apr 25, 2014 at 5:56 PM, 'marcuskabwella@yahoo.com <marcuskabwella@yahoo.com>' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Nyani haoni kundule Leo nilijitoa muhanga kusikiliza mwanzo mwisho kama kuna hotuba walau imenigusa labda ya Mzee kingunge! Si waziri Mkuu wala makamu wa pili wa rais wa Zanzibar. Wanachong'ang'ana eti waasisi wametukanwa sio kweli! Je Mwigulu kuwaambia Jussa name mbowe wanataka kuleta ushoga ina maana nao ni mashoga? UKAWA msirudi waandae katiba waitakayo! Na Hamadi Rashid kwa nini CUF wasimfukuze uanachama? Mbona ccm walimfukuza Mbunge Kiembe samaki?
Sent from Yahoo Mail on Android

From: misangocharles@yahoo.com via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Mkataa wengi mchawi ---bunge la katiba lina mambo!!
Sent: Fri, Apr 25, 2014 2:46:28 PM

Tena anayesema hayo ni makamu wa pili wa rais! Sijui hao wengine wana lugha gani. Nikashangaa kusikia akilaumu lugha ya matusi sasa sijui yeye kuwaita wenzake wachawi kisa tu hawakubaliana na wengi ndo lugha ya kistaarabu?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: "'lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Fri, 25 Apr 2014 05:46:02 -0700 (PDT)
Subject: Re: [wanabidii] Mkataa wengi mchawi ---bunge la katiba lina mambo!!

Ukiwapa wengi utaitwa malaya. Wachache wasikilize na ujifunze wako.

On Friday, April 25, 2014 2:50 PM, Mike Zunzu <mikezunzu@yahoo.co.uk> wrote:
Of course walio wengi ni wabunge wa kundi la CCM kwenye bunge la katiba, kwa hiyo wanaowakatalia wanayotaka ni wachawi.
Wewe anzia kwenye mfumo wa nammna watakavyokuwa wanapiga kura kufikia hatua ya mwisho juu ya vipengere wanavyojadiliana, wengi wametaka kura iwe ya wazi, wachache wanapinga utaratibu huo, ukija upande wa rasimu, CCM wameingia na msimamo wao, eti wachache wanawapinga.
Labda niongezee methali hii pia, "Wengi wape."
On Friday, 25 April 2014, 10:31, Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com> wrote:
Sasa sijui ni wengi wapi, wananchi au wabunge wa bunge la katiba?

PS. siku 70, wametumia 20+ bilioni. Sasa wameongezewa siku 60....
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment