Friday, 28 March 2014

[wanabidii] Re: [Wanazuoni] USALAMA WA TAIFA KATIKA KATIBA MPYA

Kuna siku niliangalia kikao cha bunge, nakumbuka aliyekuwa spika/n-spika alisema "maswala yanayohusu UwT hayawezi kuzungumziwa bungeni." 


Regards
Mwema



2014-03-28 5:46 GMT+07:00 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>:
 

Ndugu zangu ,

Wawakilishi wetu wako bungeni kujadili na kupitisha mambo kadhaa lakini bado hatujasiki mngurumo kuhusu usalama wa taifa kwenye katiba yetu mpya tunayoitegemea .

Kwa kuanza naomba tujiulize yafuatayo .

Je tunadhani idara ya usalama ya taifa ya sasa inafanya kazi ipasavyo kulingana na katiba iliyopo na kwamba usalama haupaswi kujadiliwa ?

Tumesikia na wakati mwingine kushuhudia watu wakishutumu idara kutochukuwa hatua mapema kwenye baadhi ya vitu kama usafirishaji wa wanyama nje ya nchi , vita dhidi ya ujangili na ufisadi , unadhani ni wakati wa kuipa meno zaidi idara ?

Baadhi ya vitu haswa watumishi , ofisi zao na mawasiliano yao imekuwa ngumu kupata , Hii pia ni changamoto inayoweza kujadiliwa na kuwekwa wazi kwenye katiba .

Wengine wanaweza kuongeza .


--

Yona Fares Maro

Institut d'études de sécurité - SA


__._,_.___
Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (1)
.

__,_._,___

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment