Friday, 28 March 2014

Re: [wanabidii] Kauli chafu za Mh Mwingulu Nchemba zinatia aibu na kichefu chefu

mwigulu anachofanya ni politics na anaonekana mwiba bse ni mwiba kwa kina slaa na mbowe....alochosema jana kuna watu wanataka kutuelekeza nchi iende kwenye masuala ya ushoga akamtaja mbowe na mbunge wa CUF kua mnataka Taifa liende huko? si tusi, japo aliombwa afute kauli akafuta, haya ni malumbano ya kisiasa na hakuna haja ya kumchukia mh mwigulu, istoshe ana nafasi yake anayotakiwa kuilinda ya unaibu katibu mkuu.....siasa tu, hoja na hakuna haja ya kumchukia bse ni mwanasiasa la sivyo tungewachukia pia kina wenje wanaowatukana wakulima na wafugaji jamaniiiiiiii

On Friday, March 28, 2014 1:43 AM, ananilea nkya <ananilea_nkya@yahoo.com> wrote:
Lakini kuna siku yeye mwenyewe na wanaolinda hizo kauli zake za kuangamiza taifa watajutia. Tusubiri .Time will tell.
 
On Thursday, March 27, 2014 6:30 PM, Charles Misango <misangocharles@yahoo.com> wrote:
Nilishasema zamani sana tena mara nyingi mno kwamba Mwigulu Nchemba hakustahili hata kuwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa! Huyu ingekuwa nchi zinazojali na kuthamini uhuru wa kweli, angekuwa jela kwa makosa mengi aliyotenda

On Thursday, March 27, 2014 9:09 PM, "lucsyo@gmail.com" <lucsyo@gmail.com> wrote:
Wadau,
huyu Mh ni mara nyingi nimekuwa namsikia na kauli zake za ajabu na chafu ambazo ni aibu kwa taifa letu na kwake kama mbunge, sielewi ni kwa nini kamati ya maadili  haimuadhibu ama kuna nini anachojivunia.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment