Wananchi wafuate taratibu tu na wakubaliane na mipango ya maendeleo ya maeneo yao inayopangwa na serikali , nitaeleza machache .
-- - Serikali inataka kupanua barabara kuwe na misingi mikubwa ya maji na maeneo ya shuguli nyingine watu wanagoma zinapotokea mvua kama hivi wanaosubiri serikali , hata huko mitaani watu wamejijenga majumba na kuta ndefu bila vipimo sahihi .
- wafanyabiashara ndogondogo walitakiwa kuwa kwenye maeneo yaliyotengewa kwa ajili ya biashara zao , ni rahisi kupata huduma mbalimbali kutokea hapo na hata kupanga mipango mingine kuliko kuwa skatad .
On Friday, March 28, 2014 10:45:59 AM UTC+3, lesian mollel wrote:
On Friday, March 28, 2014 10:45:59 AM UTC+3, lesian mollel wrote:
Mvua kubwa inaendelea kupiga/kunyesha maeneo yote hapa jijini, changamoto kubwa iliopo nadhani wengi tuishioa hapa twaijua, tuna miundombinu mibovu sana ya maji na bara bara kati kati ya jiji, kwa leo mjini kwenda ni tatizo kwani magari hayatembei na wale watembea kwa miguuu wawe na pesa za nauli ya ziada za kubebwa kuvushwa ktk madimbwi makuubwa.hatar sana dar mvua ikinyesha, sjui maeneo ya mabondeni leo hali yao ikoje? sjui wale wafanyabiashara ndogo ndogo wanaopanga bidhaa zao chini, ni vurugu tupu mvua ikinyesha darnini kifanyike kuondoka kero hizi? serikali, wakaazi na wafanyabishara, nini kifanyikie, au tupeleke ktk bunge la katiba nalo hili maana sku hizi mtu akiibuka tu, oooh peleka Dodoma
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment