Friday, 28 March 2014

Re: [wanabidii] USALAMA WA TAIFA KATIKA KATIBA MPYA

Lakini James ,

Tupo kwenye mfumo wa demokrasia wa vyama vingi na sasa tunaenda kwenye katiba mpya , kuna changamoto nyingi na maswali mengi yanaulizwa kuhusu sekta hii yatupasa kuweka mambo sawa kwenye katiba angalau baadhi ya vitu .

On Friday, March 28, 2014 9:03:29 AM UTC+3, James Patrick wrote:
Kwa ufahamu wangu, Usalama its a cross cutting dept, it need to work across all sector, usalama ni watabiri, wadadisi, predictors watu ambao wanatakiwa kuona mambo ya mbele then kushauri idara husika to take actions, so kwangu mimi naiona hivyo...

2014-03-28 1:46 GMT+03:00 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>:
Ndugu zangu ,

Wawakilishi wetu wako bungeni kujadili na kupitisha mambo kadhaa lakini bado hatujasiki mngurumo kuhusu usalama wa taifa kwenye katiba yetu mpya tunayoitegemea .

Kwa kuanza naomba tujiulize yafuatayo .

Je tunadhani idara ya usalama ya taifa ya sasa inafanya kazi ipasavyo kulingana na katiba iliyopo na kwamba usalama haupaswi kujadiliwa ?

Tumesikia na wakati mwingine kushuhudia watu wakishutumu idara kutochukuwa hatua mapema kwenye baadhi ya vitu kama usafirishaji wa wanyama nje ya nchi , vita dhidi ya ujangili na ufisadi , unadhani ni wakati wa kuipa meno zaidi idara ?

Baadhi ya vitu haswa watumishi , ofisi zao na mawasiliano yao imekuwa ngumu kupata , Hii pia ni changamoto inayoweza kujadiliwa na kuwekwa wazi kwenye katiba .

Wengine wanaweza kuongeza .

--

Yona Fares Maro

Institut d'études de sécurité - SA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment