Saturday, 1 March 2014

Re: [wanabidii] HAKI ZA BINADAMU KWA JAMII NDOGO KAMA MASHOGA

Ahsante Kim,
unatjua watanzania tunapenda kushabikia majungu na kupata taarifa rahisi rahisi, hupendi mololongo wa kusoma ndio maana wajuzi wa copy and paste.Ukweli pia hatuupendi kuwa tunao mashoga na ni mibaba na akili zao na vijana pia wanaowatengeneza ndani ya nyumba zetu. Lakini kuna maumbile ya kasoro pia hatujali kuwasaidia. Nimeeleza msichana kumpa mimba binamu yake-wazazi walificha kuwa anazo mbili. Wapo wanaume wana kasoro pia wanawake na kama haondolewi kasoro hizo anaumia kisaikolojia-wasaidiwe amasivyo atakuwa shoga. Sitetei ushoga lakini utafiti umenifundisha mengi sana na watoto wa shule za msingi wameniliza sana sana vikaratasi walivyoniandikia yanayowakuta majumbani na njiani kuelekea shule na mashuleni, shambani kuokota kuni etc. Mwisho-anazoea. Ile mijibaba na vijana hatuwaadhibu-mbaya sana. Nimetibu over 200 kids wa shule ya msingi lindi na zaidi ya hao Mikumi. inaumiza halafu baba anamfukuza home. Eti kaachana na mkewe -analawiti na kulala na kitoto chake cha kike na analawiti cha kiume kisa-mke kafa, wametalikiana!! Sex kama ugali vile!?-Njaa gani hii isio utu. Mimi ninaandika-ninajua kuna watu inawafaidisha. Tujifunze na tuukubali ukweli. Ni sawa na wasichana wanavyodanganywa kuwa-ukilawitiwa hutapata mimba hivyo mpenzi anataka na kufanya hivyo. Atapata mimba maana siku nyingine wataacha Tigo lakini anakuwa kaharibika kote na ukimwi anapata. katika tafiti zetu-wale ambao walifanya mapenzi ya TIGO na boyfriend au wachumba-hakuna aliyeolewa na huyo. Wanaume hawakuwaoa!! 100% ya wanaume walisema sikumuoa na wanawake mchumba kamuharibu na hakumuoa!!!!
Na ndivyo wanavyowaharibu watoto wa kiume kisha kutaka kuwapiga na pia awlalao barabarani huwalawiti kwa nguvu. Laana, kisha mnakataa wasitibiwe. Misaada yao ya matibabu na kuelimishana kuacha ushoga inatoka nje ya TZ. kuchakachuliwa-wanachakachuliwa na wabongo wengine waheshimiwa, waswalihina na majina yao wanatutajia. Ninaomba iwepo siku wapande jukwaani waseme!!
Ahsante wa kuthamini taarifa zangu. nami nilijifunza pia.


 



On Thursday, 27 February 2014, 19:07, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
Hildergada,
Wapo watu wengi huponda uandishi wako ila hawaangalii contents.
Una uzoefu mkubwa sana na social behaviors. Wengi tunaendeshwa na media zinachokisema ila kuna mengi ya kurekebisha kwenye jamii zetu humuhumu tunapoishi.
Tukiweka Unafiki pembeni, huko kwenye mataarabu mashoga wamejaa, tunawashangilia wakinyoosha vidole juu, makahaba ndio usiseme kwenye kumbi za starehe, bar kams haina madem wazuri utakuta mahudhurio ni machache, kuna bar Arusha imepewa jina kabisaaa masaburi (tafsida) bar, kama muhudum hajajaa hapewi ajira!!! Tukatae uovu wote tuone kama haya yatatusumbua, wasipoonekana nani atadai haki zao? Wanaonekana ndio maana wajinga wachache wanawatetea.
HAKUNA HAKI YA MWOVU DUNIANI.
IF WE REALY SEEK FOR CHANGES, LETS START WITHIN.
Nashukuru kwa mchango wako.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


0 comments:

Post a Comment