Wednesday 13 July 2016

Re: [wanabidii]

Hatari kukujibu. Hatari kutokujibu.
Nachagua moja. Tunaposema hawana sera ni baada ya kuitelekeza sera hiyo unayosema imeporwa kuanzia walipopokea wahamiaji toka CCM. Kwamba CCM inacopy na kupaste sera za CDM hakuna dhambi japo ukiwa mkweli sera za vyama vingi ziliznzia CCM. Cha msingi ni kuwa kadri watanzania wanavyoachana na kuvutiwa na T shirts na sahani ya Pilau ndivyo vyama vinavyostahili kuangalia viongozi wake wanatamka nini. Nimekutana na watu wanaohoji kama kweli CDO walikusudia kuisaidia Police kuzuia mkutano wa CCM. Wakasema kama kweli viongozi wa CDM walikusudia kufanya hivyo basi hakuna chama hapo. Walikuwa wanasema kwa sababu ya matamshi ya mwenyekiti wa chama ngazi ya taifa kusema wameamua kusitisha msaada wao kwa polisi.
--------------------------------------------
On Wed, 7/13/16, 'Lesian' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii]
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, July 13, 2016, 2:59 AM

Sera za cdm ndio anazozifanyia kaz
Rais hv sasa wee mzee vp,ccm hawakua na sera za kupambana na
ufisadi, wala watumishi lege lege zote zinazotekelzwa hv
sasa ni copy and paste though modality imekosewa ndio maana
makelele ni mengi,'watu hawana pesa, wala sukari,wala watoto
w chuon kutolipwa on time...wanakosea,'wawaone cdm wenye
sera yao
Dira navyooona mm kiukweli ccm ndio imezimishwa haswaaa, its
like died maana hata wanaotumbuliwa wote ni wa ccm na ndio
maaana makelele yote kimyaa,cjaona tumbua ikiikuta cdm saana
naona wanaogopwa wakikutana sehem tyr wanapelekewa police
kutishiwa eti wanafanya siasa....this is un
imaginable......its real terrible
Kua chama cha siasa maana yake nn, kwa kua ccm imepora sera
za cdm na kuanza kutekeleza, hv sasa cdm imejipanga
kivingine....ila hawatak kuwapa nafas maana kilichopo hapa
ni kupumbazwa tu watu ccm ni ile ile, ya mizuka ......dodoma
wapo na police wote wanalindwa nn maana yake...

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

>yama hivyo vinavyopokea kukosa dira na kukosa misimamo.
Ni kweli kama CDM sio kuwa ilipokea makada wa CCM na
kubadili mifumo yao ya kuchagua wagombea bali hata sera
zilibadilika na hadi sasa haijulikani inapigania nini.
>Umesahau CUF ilivyompoteza James Mapalala. Ipo haja ya
katika katiba kuweka taratibu zitakazo hakikisha vyama
vinapingana kwa sera na si makelele
>--------------------------------------------
>On Tue, 7/12/16, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Subject: [wanabidii]
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, July 12, 2016, 7:57 PM
>
> 1.
> Kwanini kada yeyote wa CCM, anayejiona maarufu
kisiasa,
> anapoamua
> kuhamia upinzani, anawadharau viongozi wote wa vyama
vya
> upinzani?
>
>
>
> 2.  Kwanini katika dharau hiyo, kada wahuyo wa CCM
anapoamua
> kuhamia
> upinzani, yeye ndiye hujiona pekee alfa na omega, kwa
kutoa
> masharti
> ambayo kila kiongozi wa upinzani lazima ayatii na
> kuyatekeleza?
>
>
>
> 3.  Kwanini makada hao wa CCM, wakishajiunga na
upinzani,
> hawataki
> kusikia tena wala kuheshimu  dhana nzima ya
demokrasia, bali
> demokrasia
> inapaswa kufata mawazo yao?
>
>
>
> 4.  Kwanini kila kada wa CCM  anayejiona ni
maarufu wa
> kisiasa, kila
> anapoamua kuhamia upinzani, basi anataka ajimilikishe
yeye
> miaka yote
> nafasi ya urais hadi kifo?
>
>
>
> 5.  Kwanini kila kada wa CCM, anayejiona maarufu
akihamia
> upinzani
> anadai kwamba huko aliotoka CCM amekimbia kwa kuwa
hakuna
> demokrasia,
> lakini akikaribishwa na kupewa fursa kanuni na misingi
ya
> demokrasia
> inakuwa kazi ngumu kwake, hivyo hutaka yeye kuwa alfa
na
> omega?
>
>
>
> 6.  Kwanini vyama vyote vikubwa vya upinzani hapa
nchini,
> vilivyokubali
> kuwapokea makada maarufu wa CCM na kuwafanya kuwa
wagombea
> wao wa urais
> mfano vyama vya NCCR Mageuzi, TLP vya mlema, hatma ya
vyama
> hivyo
> inakuwa kupotea katika ramani siasa nchini kama
inavyoelekea
> kuwa hivyo
> kwa Chadema muda mchache ujao baada ya kumpokea
Lowassa?
>
>
>
> Wadau ili kujua ninachomaanisha angalia ujio wa Mrema
> alipojiunga na
> NCCR Mageuzi 1995 na Mafuriko yake yanavyofanana na
Ujio
> Lowassa
> alipojiunga Chadema 2015 na mafuriko yake hali ya kuwa
wote
> wawili ni
> zao la CCM, Walilelewa na kujengwa kisiasa na CCM na
wote
> wawili
> waliingiwa na mdudu wa tamaa , anayetamani kweli kweli
> nafasi ya urais.
>        
             
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment