Monday 18 July 2016

Re: [wanabidii] Ukistaajabu ya Profesa Lipumba utayaona ya Chadema

Mi naona ni jambo la kawaida kwa lipumba kurudi cuf ikiwa hata babu Duni Haji amesharudi Cuf baada ya chadema na lowassa Kumzingua.

On Jul 18, 2016 3:45 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Ungesoma sana articles zangu ungejua kuwa CCM kwangu ni chombo cha kunifikisha ninakikwenda. Lipumba ni mtu mwenye akili na msimamo. Ndiyo maana alipinga kwa kuondoka na baada ya kufanikiwa anataka kurudi. Hata mimi mwana CCM mara kadhaa nimesema kama CCM haibadiliki basi tuchague chama kingine kiongoze nchi ili ijirekebishe. Gahati mbaya chama kilichotarajiwa kikafa na CCM ikajirekebisha. Twende mbele. Tunajaribu kuwashawishi akina Lipumba warudi ili wavijenge vyama vilivyosambaratika kusudi tuwe na chama kinachoweza kuongoza nchi kusudi tuwe na choice. Sasa choice no 1 ni CCM choice number 2 ni CCM na choice numbner 3 ni CCM.
> --------------------------------------------
> On Sun, 7/17/16, 'Lesian' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Ukistaajabu ya Profesa Lipumba utayaona ya Chadema
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sunday, July 17, 2016, 2:20 AM
>
> Muhingo hoja zingine unazoandika
> unakua kama  umeleww bro, hv huamini kua uongoz wa ccm
> ni mbovu.....simple'logic kwann wanatumbuliwa
> majibu.......uwenge na uwezo wa kujenga hoja mzee acha
> kunywa maji ya bebdera ya ccm.....
> Lipumba, arejee cuf kwann nyie ccm ndio mnapenda sana
> arudi,'kaz mliomtuma imeshindwa huyo ni kibaraka wa
> ccm....asiejua labda ni mtoto aliezaliwa mwaka
> huu.....kibaraka mtiifu wa ccm anakomaa na njaa zake arud
> cuf kuharibu kaz waliofanya majemedar  kina
> lowasa,sumaye, mh seif,mbowe na team yoote ya ukawa, na ndio
> maana sasa CUF ina wabunge kibao na madiwani bara....enzi za
> kibaraka  huyo unaemshbikia alikuwepo mbunge mmoja tu
> wa lindi tena alishinda kwa nguvu zake mwenyewe ...leo
> wabunge kibao thru ukawa anaeinga yeye,sasa hata ww na ulevi
> wako wa akili utamkaribishaje tena mtu kama huyo anaependa
> kula tu bali hapiki.....simple logic is there, ni sawa na
> kuyarudia matapish yake, msomi mzima antaka ale matapishi
> yake, ss as ukawa tunasema hata ale matapishi yake kiti kile
> atapewa hata mh mtatiro,'kinamtosha kuliko prof huyu
> aliejiaibisha.
> Elisa, siasa zake si za kupenda nchi  bali ni za
> kishabiki na lengo lako ni kuona demokrasi ikifa, huwezi
> zuia demokrasia hap mh,hata mfanyeje
>
> 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> >Hivi kipi kinashangaza CDM kumpokea Lowasa akitokea CCM
> ambayo ilifahamika kwao kuwa chama kibovu AU CUF kumrudisha
> Lipumba kwenye nafasi yake kwa sababu alichokikataa
> kimekataliwa na watanzania wote? CCM mbovu ni ipi: Bendela
> yake, majengo yake au VIONGOZI WAKE? Kama ni viongozi iweje
> CDM wampokee kiongozi mbovu kutoka CCM iwe sawa lakini CUF
> kumrudisha kiongozi wake aliyemkataa kiongozi mbovu atake
> kurudi wamshambulie. Nani hajaelewa kwa nini kuna msemo kuwa
> upinzani ni manyumbu? Ninadhani viongozi wetu wanahitaji
> kujiuliza mara kadhaa kabla ya kutamka chochote.
> >--------------------------------------------
> >On Sat, 7/16/16, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> >
> > Subject: [wanabidii] Ukistaajabu ya Profesa Lipumba
> utayaona ya Chadema
> > To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> > Date: Saturday, July 16, 2016, 4:28 PM
> >
> > HAPO
> > zamani za kale, paliibuka msemo maarufu, usemao,
> > "Ukiyastaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni".
> >
> >
> >
> > Kwa muktadha wa haya yaendeleayo hii leo katika siasa
> > muflisi nchini
> > mwetu, lau kama utaamua kuubadili msemo huo, kwa kuwa
> akina
> > 'Mtume
> > Mussa' walikwishamalizika duniani, basi pale kwenye
> jina
> > la 'Mussa'
> > upabadili kwa kuliweka jina la 'Lipumba'.
> >
> >
> >
> > Walakini kwakuwa Mafirauni yangali yanaishi hadi hii
> leo,
> > hivyo hapo
> > kwenye jina 'Firauni' unaweza kupaacha vivyo hivyo,
> ima
> > ukamtafuta
> > Firauni yeyote mashuhuri hapa Tanzania kisha
> ukambandikia
> > lakabu hiyo.
> >
> >
> >
> > Kwa mara nyingine tena Chama cha Wananchi – CUF
> kinaingiwa
> > na tajriba
> > nyingine, baada ya mwanachama wao aliyebingwa wa
> uchumi
> > duniani,
> > mzalendo wa enzi za BBC (Born Before Computer), mtoto
> wa
> > mkulima wa
> > Ilolangulu, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba,
> kumwandikia
> > barua Katibu
> > mkuu wa chama chake cha siasa CUF, Maalim Seif Sharif
> Hamad,
> > akiianika
> > dhamira yake ya kutaka kuurejea wadhifa wake wa
> Uenyekiti wa
> > chama hicho
> >  taifa, alioachana nao baada ya kuamua kujiuzulu
> takribani
> > mwaka mmoja
> > sasa, na kubakia kuwa mwanachama wa kawaida tu katika
> chama
> > hicho.
> >
> >
> >
> > Katika maelezo yake wakati alipokuwa akijiuzulu
> wadhifa
> > wake, gwiji na
> > galacha huyo wa uchumi alitanabahisha kwamba dhamira
> yake
> > ilimsuta
> > kuendelea kumuunga mkono Edward Lowassa aliyejiunga na
> vyama
> > vinavyounda
> >  Umoja wa Katiba ya Wananchi-UKAWA ili kugombea
> urais wa
> > nchi hii.
> >
> >
> >
> > Msimamo wa Profesa Lipumba wa kutokuwa na imani juu y

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment