Monday, 18 July 2016

Re: [wanabidii] KUWAFUNGIA MATABIBU CLINIC ZAO: NI mkakati wa kukuza ubunifu au tunafanya tusichokijua?

Hatuhutaji kuuliza tunachokijua. Walifungiwa kwa sababu walijiita waganga wa kisasa badala ya kujiita waganga wa tiba asili au tiba mbadala. Kuhusu garama hii inawapunguzia wateja. Wakishusha wanaongeza wateja. Inaweza isiwe sababu ya serikali. Kuhusu Wizara kukurupuka historia inasaidia. Tunakumbuka aliyekwenda kufunga gate kudhibiti wachelewaji na akiamuru walinzi badala ya afisa utumishi. Ni miezi tu inapishana kati ya kukurupuka na kutokurupuka huku.
--------------------------------------------
On Mon, 7/18/16, Atu Mwangomale <acanemwango@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] KUWAFUNGIA MATABIBU CLINIC ZAO: NI mkakati wa kukuza ubunifu au tunafanya tusichokijua?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, July 18, 2016, 4:17 PM

labda
tungeenda mbali kujua zaidi kwanini hawa watu wamefungiwa
kuliko kulaumu. kuna wataalamu wa tiba mbadala ambao
consultation fee tu ni zaidi ya 100,000. na hiyo ni single
visit kitu ambacho hakina uhalisia  na hali halisi ya
maisha ya mtanzania. Sidhani kama wizara
ilikurupuka..kwanini hao tu wakati wapo wengi na wapo kila
kona ya nchi hii?
2016-07-18 16:02 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Nimemaliza kujifuta machozi.
Umenikosea sana Misango. Umenikumbusha ya Dr. Masau. Baada
ya kummbaliza wakajiita majina ya hospitali ambayo alikuwa
anataka iwasaidie watanzania. Mungu apishe mbali hata siku
moja nisilale katika hospitali hiyo Kila ikitamkwa taasisi
ya moyo na nanihii nasikia ki9chefuchefu.

--------------------------------------------

On Mon, 7/18/16, 'Charles
Misango' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote: Subject: Re: [wanabidii] KUWAFUNGIA MATABIBU CLINIC ZAO:
NI mkakati wa kukuza ubunifu au tunafanya tusichokijua?

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Monday, July 18, 2016, 3:24 PM Naungana

 nawe Elisa kwa maoni yako. Kinachotusumbua watanzania
wengi

 naweza sema ni 'ushamba' uliopitiliza ukawa

 'ujinga'.. Ujinga uliotusukuma wengi kuwa na wivu
wa

 kipuuzi uliozaa roho mbaya. Enzi ya

 Mwalimu, utawala wake na hasa yeye mwenyewe alikuwa na
moyo

 wa kuwainua watanzania. kuwaonyesha wazungu kwamba
ngozi

 nyeusi sio laana wala kukosa akili, ujuzi na maarifa.
Yeye

 katika umri mdogo aliwahenyesha na wanalijua hilo.
Kitendo

 cha kumteua kijana mdogo kwa umri wakati huo, Salim
Ahmed

 Salim kuwa balozi kilishangaza wengi. Au alipomtuma
kijana

 mdogo wakati ule kwenda israel kusomea uhandisi,
marehemu

 Beda Amuri kilikuwa ni kitendo cha kuutambulisha
ulimwengu

 kuwa ipo siku tutakwenda huko kwa weupe kuwafundisha

 kazi.Mzee

 kaondoka na ujasiri huo. Nyuma wakabaki wasaidizi wake

 waliohusudu sana, wageni. Jambo likifanywa na mtanzania

 mwenye uchu wa kuchuma mali za halali kwa bidii yake,

 atakwamishwa sana. Reginard Mengi hata kama ana
matatizo

 yake, kama sio kusimama imara asingefika hapo alipo.

 Serikali iseme imeweka mkono gani kwake kufika hapo? Dk

 Masau, mtaalamu bingwa wa magonjwa ya moyo alitendewa
unyama

 wa kutisha na waliotakiwa kumuunga mkono kwa nguvu
zote.

 Nina uhakika Dk Masau angekuwa mweupe, angelambwa hata
miguu

 na kupewa kila ambacho angetaka. Lakini mswahi wa
Majita,

 wapi na wapi.Mzee wa

 kikombe cha Loliondo, alikimbiliwa
kwa sababu aliegemea

 mambo ya Imani na Kanisa lake akiwemo askofu wake,

 wakamuunga mkono.Kumbe

 akina Mwaka walitakiwa kusaidiwa pale walipokosea,
kusudi

 waweze sasa kutenda vyema. sio kufungia bila kuangalia
mtu

 huyu kasota vipi kufanikisha kazi yake

    On Saturday, July 16,

 2016 6:40 PM, 'Hildegarda Kiwasila' via
Wanabidii

 <wanabidii@googlegroups.com>
wrote: Kuna dreva mmoja wa chuo kikuu Dar (UDSM)

 katibiwa cancer ya mguu kwa dawa ya miti shamba. Maisha
yake

 yamekuwa mapya kwani hata kutembea alikuwa hawezi
wakati

 Muhimbili na Ocean road wanatumia miale na mbinu sa
kisasa.

 Hebu fikiria ni raha na furaha kiasi gani Tiba Asili

 imemponya! Full doze ni 450,000/= kwa matibabu ya miezi

 3. Cha kufanya ni Wizara ya

 Afya na Jinsia kutafuta mwekezaji au hela kujenga
kiwanda

 cha kufyatua dawa ziwe katika unga, maji, mafuta etc na
kuwa

 packaged kama inavyotakiwa. Mbona zinafanyiwa utafiti
na

 kuthibitishwa na Muhimbili na Taasisi ya Utafiti wa
Tiba

 asili kuthibitishwa na NIMR na TFDA? Zipo za kutoka
nchi

 mbali mbali zinauzwa kariakoo. Baadhi ya tabibu
hawakusoma

 kabisa wamerithi kutoka wazazi, bibi na babu na watu

 wanatibiwa wanapona. Madaktari wa Tanzania walipelekwa
China

 kusomea barefoot doctors na kujua masuala ya Tiba
Asilina

 Mbadala na ndio wapo wizarani kitengo cha Tiba Asili.
Ulaya

 unanunua dawa asili packaged. Wajenge kiwanda kifyatue
dawa

 kiusalama zaidi. Badala ya kushindana na
kufungiana-dialogue

 inahitajika. Mbona Baraza la Wizara la Tiba Asili lipo
na

 Vyama vya Waganga au Tabibu Asili vipo na
vimeandikishwa

 kisheria. Wanakutana na Wizara kupitia wawakilishi wao
ktk

 Baraza-dialogue inashindikana kivipi. Kwenye waganga wa Tiba Asili kuna

 specialization pia-kutibu magonjwa mbali mbali na wengi

 wamesaidiwa kwa bei nafuu badala ya kwenda India
kutibiwa 

 matibabu ya kisasa. Wanaotibu  pumu, malaria,
parkinsons,

 uzazi, kupooza, kichwa kuuma etc kwa miti shamba/miti
dawa

 na madini asilia au dawa asilia. Tutatue matatizo kwa majadiliano na makubaliano

 kabla ya wahusika wa kuwafungia hawajaanza kwenda
mwendo

 kazi barabarani na kuyapita magari ya sasa ya jiji ya
mwendo

 kasi ili Tiba Asili aje kuonyesha mfano wa kumtibu ili
apate

 kuheshimiwa! Kama Kawa --------------------------------------------

 On Sat, 16/7/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>

 wrote:  Subject: Re:

 [wanabidii] KUWAFUNGIA MATABIBU CLINIC ZAO: NI mkakati
wa

 kukuza ubunifu au tunafanya tusichokijua? To: "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Saturday, 16 July, 2016, 16:53  Elisa,Nakuunga mkono. We are

 our own worst

  enemy.em 2016-07-16 3:30 GMT-04:00

  'ELISA

 MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

  Zamani

  fulani niliwahi

 kuandika makala katika moja ya magazeti iliyokuwa na kichwa cha habari kisemacho: Wabunifu wetu

 wa

  magobole wamo magerezani wakilindwa na

 magobole ya wabunifu

  wenzao kutoka

 India.  Nilichosema ni

 kuwa Tanzania imewakamata watengeneza magobole ambayo (magobole) yalikuwa hayakutengenezwa
kwa

  kibali. Na India hivyohivyo. Sisi

 watengenezaji hao wa

  magobole tukawashtaki

 kwa kutengeneza magobole hayo bila

  kibali

 cha serikali. India wa kwao ikawatafutia nyenzo

  wakaendelea kutengeneza magobole na (India)

 kuanza kuyauza

  nje. Sisi kwa kuwa tulikuwa

 tunatafuta bunduki za kulinda

  magereza yetu

 tukagundua kuwa zile zinazouzwa India zinatufaa. Tukazinunua na zikasaidia maaskari magereza

 wetu

  kulinda wafungwa wetu wakiwemo

 wabunifu wetu wa magobole.

  Nilipokuwa

 naandika makala hiyo kulikuwa na kesi mahakamani

  na watu hao walihukumiwa vifungo kweli. Siyo

 India peke yake

  inayogeuza 'uhalifu'

 kuwa Fursa. Uganda enzi za Obote

  ilikuwa na

 shida ya waganda kutengeneza gongo wakati gongo

  hilo ni haramu. Baadaye uongozi wa Obote

 ukachemsha kichwa

  (okufumba omutwe).

 Wakawageuza wapika gongo kuwa wakala wa 'Uganda Waragi'. (kwetu ni Konyagi) hivyo Uganda

 waragi

  ikawa inanunua Gongo na kulichuja na

 kuliweka kwenye chupa

  hivyo tatizo

 likapungua, (halikuisha).

 Tanzania ina dira yake sasa. Tunataka kujenga uchumi wa

 kati

  ifikapo 2025. Njia moja wapo ni kukuza

 viwanda. Huo ni

  mpango wa Taifa. Si

 serikali peke yake inayotekeleza pango

  huo.

 La! Serikali, Taasisi za kidini, Wananchi, wataalamu wa

  kila sekta, wanasiasa-wote tunatekeleza hilo.

 Ndiyo maana

  wanaoona; vyama vya siasa

 walipofungiwa kufanya mikutano ya kikampeni-tuliunga mkono. Tunaona wanataka kutupotezea

 muda

  kwa kisingizio cha demokrasia.  Moja kati ya mikakati ya

 kutekeleza lengo hilo la taifa

  wakajitokeza

 watanzania wenzetu wasomi wa mambo ya afya katika ngazi ya kati (Matabibu) wakafanya utafiti kwa

  kuoanisha magonjwa wanayoyajua kitabibu; na

 matibabu ya

  kienyeji (Kiasili). Serikali

 kwa kutambua hilo ikawawekea

  utaratibu.

 Waitwe watoa tiba ya asili au tiba mbadala.

  Dawa ya kutibu malaria (kwa mfano) kwa

 dawa ya kienyeji, ni

  bakuli moja ya lita

 moja mara mbili kwa siku. Wao kwa

  kuangalia

 ukubwa wa lita na uwezo wa kuitumia wakajitahidi

  wakaiweka katika unga na sasa wamefikia hatua

 ya kutumia

  unga wa kijiko kimoja kwenye

 glass ya maji. Ni hatua

  hiyo.  Watu hawa wameendelea na

 sasa wana clinics nyingi na

  zinatibu

 magonjwa ambayo baadhi yameshindikana katika

  hospitali zinazoitwa za kisasa.  Dawa zao zimepiga hatua

 kutoka kibakuli cha lita moja mpaka

  glass

 moja. Wamepiga hatua kiasi cha kutengeneza vifungashio

  vizuri tu vya kisasa. Wakasema sasa huduma zao

 ni za

  'kisasa'. Kwa neno hilo

 wakafungiwa.  Majuzi rais

 wetu amewakaribisha wahindi kuja kuwekeza katika

  viwanda vya madawa, badala ya kuendelea

 kutuuzia dawa.

  Ukienda India baadhi ya

 viwanda vinavyotuuzia madawa hayo

  viko

 uwani mwa nyumba za kuishi. Wanachofanya ni kutumia

  majina ya viwanda vikubwa na luweka

 'label' zao na

  kuwalipa kamisheni.

 Ndizo tunazotumia na huwezi kujua labda Mwijage (waziri wa viwanda) akienda huko. (Namuamini
ana

  uwezo wa kugundua hilo. Wengine hamna).  Miti inayotumika kutengeneza

 dawa ya Malaria ni Cinchona na

  imezagaa na

 ndiyo Bukoba wanatengeneza dawa za 'Omushana' lakini China wanatuletea Malaraquine.
Dawa

 za

  Dr Mwaka tunasema za asili na akisema za

 kisasa tunamfungia

  lakini za Mchina

 tunazikubali na kuziita za kisasa. Tofauti ya dawa hizi ni moja: za wachina hatujui

 wanakozitengenezea.

  Ndiyo tofauti. Kumbe

 akina 'Dr. Mwaka' wa China

  walisaidiwa

 na serikali yao na sasa wanatuuzia dawa na sisi

  tumefaulu kuwanyamazisha wabunifu wetu sasa

 tunataka 'Dr.

  Mwaka' wa kichina na wetu

 tunaua. Dr. Mwaka akikosea

  akaenda china na

 kuanzisha kiwanda akaiita 'hwa ngwi chi', dawa zake zitanunuliwa tena kwa garama kubwa na

  kutumika katika hospitali zetu za kisasa.  Hivi muda tunaotumia

 kumlaumu Dr. Mwaka na wenzake kwa

  kutumia

 neno 'matibabu ya kisasa' badala ya 'asili/mbadala' kwa nini tusiutumie kumsaidia

 kuzifanya

  dawa zake za kisasa? Kama

 tumehakikisha zinatibu; kama

  tumehakikisha

 zinaboreshwa kutoka bulkiness mpaka small packages; Kama amefikia hatua ya kuzifungasha

  vizuri-tunashindwa nini kumpeleka mbele akawa

 wa kiwango cha

  kisasa?  Kwa kuzima ubunifu Tanzania inaweza kusifika.

 Ukiondoa swala

  la magobole, tunakumbuka

 jinsi Mafuta ya Ubuyu ulivyozimwa.

  Ukienda

 Dodoma vijijini kukutana na mzee wa myaka 120

  anakimbizana na mbuzi kama kijana ni jambo la

 kawaida.

  'Watafiti' wa

 kyenyeji/asili/mbadala wa kitanzania wakahusishaa matumizi ya mbegu za ubuyu na uzee mwema

 huo.

  Wakafanya utafiti; wakayakamua na

 yakaanza kuwasaidia

  watanzania kiafya na

 kiuchumi. Akakurupuka huko mtu na

  kusema

 mafuta hayo ni 'hatari kwa binadamu'. Kulikuwa na

  uvumi kuwa kuna mtu mmoja alitaka kuhodhi soko

 la mafuta

  hayo na akaanza kwa kuzima

 wanaoyauza. Kwamba ni kweli au

  sio hiyo

 siri kubwa.  Sipendi

 kuamini kuwa katika amri hii ya matibabu kufungiwa

  ina swala la mahusiano ya mtu na mtu kwa

 makusudi ya

  kukomoana. Tunafahamu kuwa

 kuliwahi kutokea mzozo kati ya

  uongozi mpya

 wa wizara ya Afya na Clinic ya Dr. Mwaka. Lakini nadhani hakuna mahusiano na si kusudi la makala

 hii

  kulijadili. Kalamu imeteleza tu.  Ninachosema ni kuwa Tanzania

 inahitaji kufanya zaidi ili

  kukuza sayansi.

 Lazima tujipe nafasi ya kutumia akili zetu.  Nimesikia habari za

 uanzishwaji wa ''Jiji la sayansi'. Nilisikiliza sana nikahofu tunaanza jiji hilo na kosa
la

  msingi ambalo litatupoteza njia. Mpango wa

 jiji hilo ni kuwa

  Mtu mwenye degree akiwa

 na wazo la ubunifu atapeleka wazo

  hilo.

 Wataalamu wenzake watalipitia na lifanyiwe kazi.

  Najiuliza Wasomi wetu wenye degree wamewahi

 kubuni nini

  kinachosaidia jamii.

 Waliofungiwa wote wako ngazi ya kati. Matabibu; yaani Clinical officers (au Clinical

 Assistants).

  Kama tutajikita kuwatumia

 wenye degree tu basi kukwama kwa

  kutimiza

 lengo la kuanzisha jiji hilo kutaanzia hapo.  Elisa Muhingo  0767 187 507  --   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com       Kujiondoa Tuma Email

 kwenda

   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya   kudhibitisha ukishatuma       Disclaimer:   Everyone

 posting to this Forum bears the sole responsibility   for any

 legal consequences of his or her postings, and

  hence

  statements and facts must be presented responsibly.

  Your

  continued membership signifies that you agree to this   disclaimer and pledge to

 abide by our Rules and

  Guidelines.   ---   You received this message

 because you are subscribed to

  the   Google Groups

 "Wanabidii" group.   To

 unsubscribe from this group and stop receiving

  emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.   For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma  Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences

 of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly.
Your

  continued membership signifies that you agree

 to this

  disclaimer and pledge to abide by

 our Rules and

  Guidelines.

  ---  You

 received this message because you are subscribed to the

  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this

 group and stop receiving emails

  from it,

 send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.  For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.

  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com     Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma     Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences

 of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly.
Your

  continued membership signifies that you agree

 to this

  disclaimer and pledge to abide by

 our Rules and

  Guidelines.

  ---

 You received this message because you are subscribed to

 the

  Google Groups "Wanabidii"

 group.  To unsubscribe

 from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.  For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout. --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:

 Everyone posting to

 this Forum bears the sole responsibility for any legal

 consequences of his or her postings, and hence
statements

 and facts must be presented responsibly. Your continued

 membership signifies that you agree to this disclaimer
and

 pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message

 because you are subscribed to the Google Groups

 "Wanabidii" group.

 To unsubscribe

 from this group and stop receiving emails from it, send
an

 email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.

 -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment