Friday, 17 June 2016

[wanabidii] Wafanyakazi NMB, Serena Hoteli wasaidia yatima wa Dogodogo Centre Bunju



-- [caption id="attachment_72580" align="alignnone" width="743"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0582.jpg" alt="Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiwasili katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kutoa msaada kwa watoto wa kituo hicho jana. " width="743" height="600" class="size-full wp-image-72580" /> Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiwasili katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kutoa msaada kwa watoto wa kituo hicho jana. [/caption]

[caption id="attachment_72594" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0779.jpg" alt="Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikabidhi baadhi ya misaada yao waliojichangisha kwa ajili ya kusaidia watoto katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kwa mmoja wa viongozi wa kituo hicho. " width="800" height="573" class="size-full wp-image-72594" /> Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikabidhi baadhi ya misaada yao waliojichangisha kwa ajili ya kusaidia watoto katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kwa mmoja wa viongozi wa kituo hicho. [/caption]

[caption id="attachment_72579" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0577.jpg" alt="Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiwasili katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kutoa msaada kwa watoto wa kituo hicho jana. " width="800" height="568" class="size-full wp-image-72579" /> Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiwasili katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kutoa msaada kwa watoto wa kituo hicho jana. [/caption]

[caption id="attachment_72581" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0609.jpg" alt="Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa watoto wa kituo hicho jana jijini Dar es Salaam. " width="800" height="524" class="size-full wp-image-72581" /> Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa watoto wa kituo hicho jana jijini Dar es Salaam. [/caption]

[caption id="attachment_72582" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0614.jpg" alt="Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa watoto wa kituo hicho jana jijini Dar es Salaam. " width="800" height="566" class="size-full wp-image-72582" /> Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa watoto wa kituo hicho jana jijini Dar es Salaam. [/caption]

[caption id="attachment_72583" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0631.jpg" alt="Baadhi ya wafanyakazi wa Serena Hoteli ya jijini Dar es Salaam wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituoni hapo jana na kula chakula cha mchana na watoto wa kituo hicho." width="800" height="586" class="size-full wp-image-72583" /> Baadhi ya wafanyakazi wa Serena Hoteli ya jijini Dar es Salaam wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituoni hapo jana na kula chakula cha mchana na watoto wa kituo hicho.[/caption]

[caption id="attachment_72584" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0646.jpg" alt="Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa watoto wa kituo hicho jana jijini Dar es Salaam. " width="800" height="570" class="size-full wp-image-72584" /> Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa watoto wa kituo hicho jana jijini Dar es Salaam. [/caption]

[caption id="attachment_72585" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0663.jpg" alt="Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB na Serena Hoteli wakipata maelezo kutoka kwa mwalimu wa ushonaji wa Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju (kulia) walipotembelea kituo hapo." width="800" height="494" class="size-full wp-image-72585" /> Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB na Serena Hoteli wakipata maelezo kutoka kwa mwalimu wa ushonaji wa Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju (kulia) walipotembelea kituo hapo.[/caption]

<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0674.jpg" alt="IMG_0674" width="754" height="600" class="alignnone size-large wp-image-72586" />

[caption id="attachment_72587" align="alignnone" width="1000"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0692-1024x796.jpg" alt="Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB na Serena Hoteli wakipata maelezo kutoka kwa mwalimu wa ushonaji wa Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju (kulia) walipotembelea kituo hapo." width="1000" height="777" class="size-large wp-image-72587" /> Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB na Serena Hoteli wakipata maelezo kutoka kwa mwalimu wa ushonaji wa Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju (kulia) walipotembelea kituo hapo.[/caption]

[caption id="attachment_72588" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0700.jpg" alt="Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiangalia shughuli zinazofanywa na watoto wa Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa watoto wa kituo hicho jana jijini Dar es Salaam. " width="800" height="551" class="size-full wp-image-72588" /> Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiangalia shughuli zinazofanywa na watoto wa Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa watoto wa kituo hicho jana jijini Dar es Salaam. [/caption]

[caption id="attachment_72589" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0713.jpg" alt="Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiliangalia shati lililoshonwa na mmoja wa watoto wa Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju anayesomea mafunzo ya ufundi wa ushonaji yanayotolewa kwa baadhi ya watoto kituo hapo." width="800" height="522" class="size-full wp-image-72589" /> Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiliangalia shati lililoshonwa na mmoja wa watoto wa Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju anayesomea mafunzo ya ufundi wa ushonaji yanayotolewa kwa baadhi ya watoto kituo hapo.[/caption]

[caption id="attachment_72590" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0759.jpg" alt="Baadhi ya watoto wa Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju waliopata mafunzo ya uokoaji wakionesha namna wanavyoweza kushiriki katika uokoaji katika majanga anuai hasa ya moto kwa waathirika. Pichani wakimshusha mmoja wa majeruhi kutoka juu ya jengo baada ya kuumia." width="800" height="444" class="size-full wp-image-72590" /> Baadhi ya watoto wa Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju waliopata mafunzo ya uokoaji wakionesha namna wanavyoweza kushiriki katika uokoaji katika majanga anuai hasa ya moto kwa waathirika. Pichani wakimshusha mmoja wa majeruhi kutoka juu ya jengo baada ya kuumia.[/caption]

[caption id="attachment_72591" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0761.jpg" alt="Baadhi ya watoto wa Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju waliopata mafunzo ya uokoaji wakionesha namna wanavyoweza kushiriki katika uokoaji katika majanga anuai hasa ya moto kwa waathirika. Pichani wakimshusha mmoja wa majeruhi kutoka juu ya jengo baada ya kuumia." width="800" height="461" class="size-full wp-image-72591" /> Baadhi ya watoto wa Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju waliopata mafunzo ya uokoaji wakionesha namna wanavyoweza kushiriki katika uokoaji katika majanga anuai hasa ya moto kwa waathirika. Pichani wakimshusha mmoja wa majeruhi kutoka juu ya jengo baada ya kuumia.[/caption]

[caption id="attachment_72592" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0773.jpg" alt="Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikabidhi baadhi ya misaada yao waliojichangisha kwa ajili ya kusaidia watoto katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kwa mmoja wa viongozi wa kituo hicho. " width="800" height="520" class="size-full wp-image-72592" /> Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikabidhi baadhi ya misaada yao waliojichangisha kwa ajili ya kusaidia watoto katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kwa mmoja wa viongozi wa kituo hicho. [/caption]

[caption id="attachment_72593" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0776.jpg" alt="Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikabidhi baadhi ya misaada yao waliojichangisha kwa ajili ya kusaidia watoto katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kwa mmoja wa viongozi wa kituo hicho. " width="800" height="508" class="size-full wp-image-72593" /> Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikabidhi baadhi ya misaada yao waliojichangisha kwa ajili ya kusaidia watoto katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kwa mmoja wa viongozi wa kituo hicho. [/caption]

[caption id="attachment_72595" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0783.jpg" alt="Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikabidhi baadhi ya misaada yao waliojichangisha kwa ajili ya kusaidia watoto katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kwa mmoja wa viongozi wa kituo hicho. " width="800" height="533" class="size-full wp-image-72595" /> Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikabidhi baadhi ya misaada yao waliojichangisha kwa ajili ya kusaidia watoto katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kwa mmoja wa viongozi wa kituo hicho. [/caption]
___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment