FGM imekuja kama ni mitigation measure ya matatizo ya ubakaji na maradhi ambayo ni STDs. Imeanza watu walipotoka hunting and gathering kuingia settling katika maeneo hayo. FGM sio Mila hata-imekuwa mila baada ya kuja kutumika kutatua tatizo la madhadhi na ubakaji. Sipo aina nyingi za ukataji Uke na za ukatili mwingine-mfano kuvuta aidha kinembe au kinembe na mashavu yake au kuutanua uke wa mtoto mdogo wa kike mpaka anapofikia puberty.
Ukiwaonyesha video documentaries za FGM wanaokeketa-hawaezi kuangalia, wanapiga keleke, wanaona watoto wanateseka. Ukiwauliza wanaume wanaoshabikia FGM kama mkewe kapitia mila atakuambia Yes (100%). Muulize-jee ameshauona uke wa mwanamke aliyepitia mila ya kutahiriwa (ashakum) atakuambia hapana (80% hawajauona pamoja na kusema mkewe katahiriwa). Ukimuuliza jee kati ya aliyekeketwa na asiyekeketwa aliotembea nao anafurahia yupi katika mbuga zake-atakuambia yule ambaye hajakeketwa.
Nimefanya research za ukeketaji mpaka medical blind research na kuthibitisha kuwa-ni maradhi yanayowafanya watu wakekete na ni kweli research zimeonyesha ya kweli. Wengi wasio na mila za kutahiri females TZ wametahiri sababu kubwa ni maradhi ya chini (angalia picha ktk doc attached kaka kawaida yangu). Sababu nyingine ni ndoa za maingiliano. Medical blind trial research zimeonyesha wenyemila ya kukeketa (kukata) 99% wamekeketa wasio na mila hiyo katika eneo hilo hilo 82% wamekeketwa. Taarifa za serikali si za ukweli. Mtu atakwambia no kwa vile ameonywa kimila kama akisema atadhurika. Bora wakubwa kuliko watoto. Hivyo ukimuhoji mtoto na mama yake unapata 8% watoto wazazi 36-50% statistically significant different. Na hapo mzazi kaogopa kusema ukweli kutokana na anajua serikali inakataza akikubali labda atakamatwa.
Asilimia 3 ya wavulana waliopitia jando tuliambiwa walifariki jandoni na 5% ya wasichana walikufa kutokana na complication za ukeketaji-kukatwa vibaya na kuvuja damu, infection katika damu. anajaa mausaha wanaogopa kumpeleka hospitali. Misri ukeketaji anafanya kinyosi. Uganda, Mara kukeketa wasichana wanafanyiwa ktk kadamnasi kila mmoja anaona.
Usifurahie na kushangilia kusema ni Mila-Si mila. Hata mavazi ya kidini yamekuja kama adaptation to climate change Jangwani jua kali na vumbi au Ulaya barafu. Ndio maana Mama wa Yesu na Yesu (nambii Issa) wanaonekana kuvaa nguo za kanzu, vilemba kama mavazi ya kiislamu au kichwa kuziba kama hijabu. Body hygiene, usafi wa mazingira na maji, kupunguza zinaa sio salama kutasaidia kupunguza maradhi ambayo yanasemekana kudhuru watu na kukeketa ni preventive health ya hayo maradhi ili kuboresha uzazi kumbe ndio tunaharibu. Fistula ilikuwepo toka zamani wakiitwa kina mama au bibi kunuka au kimikojo. Ina madhara. Wazungu wametudaidia sana kuikomesha hii na wamefanyakazi kubwa sana nchi ya Misri. Wanawake madaktari wa Misri ndio mstari wa mbele kupinga hili ambalo nasi TZ tunalipinga na kuhangaika na wazee wa mila katika makabila yetu na familia zetu.
Anayetetea FGM awe mwanaume au mwanamke-tumkamate tumpanguse yeye (tumtahiri) hata kama tayari amepitia hiyo mila. Wakeketao wengi ni makabila ya milimani na semi-arid areas za TZ. Wavutao clitoris, labia minora and majora ni sehemu za maziwa-Lake zone na Mito mikubwa.
Ulaya wanafanya utaalamu wa kufanya operesheni za kushona vagina zilizotepweteka ziwe tight kama vile wanavyofanya plastic surgery ya kurekebisha uso, pua, breasts etc. Huo ni utamaduni wao sayansi ya sasa ambayo sayansi hiyo inasaidia kumpa mtu uso, pua, mkono, uterus, figo ya mwingine na miguu ya bandia kama ya Pritorius. Sisi huku tuache yale ya mila zenye madhara pamoja na kuwa yasansi zao nazo zina madhara.
Wapo waarabu na waafrica ulaya na USA wanaopeleka mtu ngariba mwanamke kufika kule kukeketa wasichana. Hapa TZ anatolewa Mara, Dodoma anakuja Dar, Mkuranga, Tanga waliko kundi la awkurya, wagogo-wanakeketa. Wapo wanaotumia manesi (hapa TZ) kuwakeketea wasichana au mama anapozaa/kujifungua. Atadhania anazaa ni uchungu kumbe mkwe wake wa Kikurya amtengeneze kwa nini mwanae kaleta nuksi ndani ya ukoo. Mkunga wa jadi pia anatumika. Mume akigundua anashindwa kumshitaki mama yake. Mume hakupenda ila wapo wanaomshawishi wifi mzaramo aliyeolewa na mkurya mpaka anakubali anaingia geji. Hatuyataki haya Fumbuka!
Kama Kawa-Bureee!!
--------------------------------------------
On Thu, 16/6/16, George Fumbuka fumbuka1953@gmail.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:
Subject: Re: [Wanazuoni]
To: "Zuoni" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
Date: Thursday, 16 June, 2016, 16:14
FGM ni mila yetu, mbona
mnalalamika? Kina Dr ia wanafanya vaginallipscopy kwa
kutumia anaesthetic. Hiyo ni mila yenu, mbona
hatulalamiki?
Umemsikua Dada Uli alivyosema kuhusu kale
kachanga Florida kalikoliwa na kenge? Au yule mtoto
aliyeanguka kwenye bwawa la mamyani yakataka kumla kwenye
TV? Sijakusikia hata ukisema Yesu Maria na Yozefu. Au
Mtumeee! You are heartless you!
Uli kasema tokeni haraka kabla ya moto wa
sodoma na ghomorrah. Ni mabwashe wangu Akwanza na Odemari
ndiyo wanatembea na huruma ya Mungu. Siku wakitoka
mtaamgamia.
ULIPATA BURE, TOA BURE
On 16 Jun 2016 1:30 p.m.,
"Dan babakulu@HOTMAIL.COM
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:
So when the Irish fund and teach women of Tanzania
against FGM isn't that a moment to cheer ushujaa wao
against your kind of Chagulaga?
Sent from my iPhone
On Jun 16, 2016, at 8:54 AM, George Fumbuka
fumbuka1953@gmail.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:
Mwalimu Richard: lisiloniingia akilini ni hili
hapa:
"....to celebrate the creative agency of
women in the liberation struggles in Ireland AND
Tanzania....:" (caps added - LGF).
Neno "and" halifai hapo Mwalimu kwa
vile huwezi kuongea ugombozi wa wanawake Tanzania usipomtaja
Bibi Titi. Mwingine ni Bibi yangu mzaa Baba, mke wa Mangi
Ndesarua. Ndiye aliyepokea kahawa kwa Krapf.
Mimi ningeweza kupamga kumwakilisha Mangi
lakini ingebidi nialikwe rasmi, sii hii ndude ya mwandishi
anasema:
"....Friends, this is coming to you at the
eleventh hour but bear with us and be there!...".
I cannot come just like that. Wamangi don't
grow on trees. Na Bibi Titi Mohamed ni Shujaa wa nji hii
huwezi ukamwita dear friends.
ULIPATA BURE, TOA BURE
On 16 Jun 2016 6:26
a.m., "Richard Mabala
rmabala@yahoo.com [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:
umelazimishwa na nani? It is a
cultural event to which people are invited, just as in
Ireland, Chinua Achebe and others have been invited to be
the principal speakers at cultural events attended by the
Irish President. Cultural sharing
is not cultural imperialism, though the Cambridge syllabi
used by your contemporaries no doubt you too had strong
doses of cultural imperialism
On Thursday, 16
June 2016, 6:02, "Salim Khatri
skhatri@orcis.com
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:
Then why do you expect them to celebrate Bibi
Titi's birthday in England? Embu tuondolee zogo
hapa!
Salim.
On Jun 16, 2016 12:47 AM, "George Fumbuka
fumbuka1953@gmail.com [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:
No, I do not. So why should I be forced to
celebrate that of some decrepit Godforsaken Irish-based
activist hen?
On 15 Jun 2016 22:13, "Salim Khatri
skhatri@orcis.com [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:
Do you celebrate Bibi Titi Mohammed's
birthday at your home?
On Jun 15, 2016 10:08 PM, "George Fumbuka
fumbuka1953@gmail.com [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:
What has a1916 Irish event got to do with us?
Is this cultural imperialism or what? Do they celebrate Bibi
Titi Mohamed's birthday in England? Who is Vona Ghourke?
Why don't we invite Dr. Tulia Mwansasu instead? Forgive
me if I stepped on sacred
cows.
On 15 Jun 2016 13:58, "Demere Kitunga
demeredye@gmail.com [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:
Dear
Friends,
This is coming to
you at the eleventh hour but bear with us... and be
there!
As part of the
global commemoration of the Centenary of Ireland's 1916
Rising, Soma is collaborating with the Embassy of Ireland to
celebrate the creative agency
of women in the liberation struggles in Ireland and
Tanzania. This is an acknowledgement and a remembrance of
women's rightful place in our collective histories and a
contribution to the authoring of "her-stories".
The
commemorations shall include hosting an Irish Poet Vona
Groarke who will conduct a poetry workshop with a Tanzanian
poet Janet Namara Gabone who is researching
the Influence of
women's (and their depiction in) literature and art on
nationalist and liberation struggles in
Tanzania. This will
be followed by a public event featuring a panel
and plenary discussion on Women in liberation struggles in
Tanzania and Ireland. The event will feature a variety of
literary expressions ranging from poetic and music
performances, an exhibit of excerpts of nationalist
literature, Irish poetry and visual
art works created by women.
We welcome you to be part of this
her-story making and celebration of women's creative
agency.
best,
demere
__._,_.___
Posted by: George Fumbuka
<fumbuka1953@gmail.com>
Reply
via web post
•
Reply to sender
•
Reply to group
•
Start a New
Topic
•
Messages in this
topic
(5)
Have you tried the highest rated
email app?
With 4.5 stars in iTunes, the Yahoo Mail app is the
highest rated email app on the market. What are you waiting
for? Now you can access all your inboxes (Gmail, Outlook,
AOL and more) in one place. Never delete an email again with
1000GB of free cloud storage.
Visit Your Group
• Privacy • Unsubscribe • Terms of Use
.
__,_._,___
#yiv6707214617 #yiv6707214617 --
#yiv6707214617ygrp-mkp {
border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
0;padding:0 10px;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-mkp hr {
border:1px solid #d8d8d8;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-mkp #yiv6707214617hd {
color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
0;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-mkp #yiv6707214617ads {
margin-bottom:10px;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-mkp .yiv6707214617ad {
padding:0 0;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-mkp .yiv6707214617ad p {
margin:0;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-mkp .yiv6707214617ad a {
color:#0000ff;text-decoration:none;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-sponsor
#yiv6707214617ygrp-lc {
font-family:Arial;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-sponsor
#yiv6707214617ygrp-lc #yiv6707214617hd {
margin:10px
0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-sponsor
#yiv6707214617ygrp-lc .yiv6707214617ad {
margin-bottom:10px;padding:0 0;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617actions {
font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617activity {
background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617activity span {
font-weight:700;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617activity span:first-child {
text-transform:uppercase;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617activity span a {
color:#5085b6;text-decoration:none;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617activity span span {
color:#ff7900;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617activity span
.yiv6707214617underline {
text-decoration:underline;}
#yiv6707214617 .yiv6707214617attach {
clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
0;width:400px;}
#yiv6707214617 .yiv6707214617attach div a {
text-decoration:none;}
#yiv6707214617 .yiv6707214617attach img {
border:none;padding-right:5px;}
#yiv6707214617 .yiv6707214617attach label {
display:block;margin-bottom:5px;}
#yiv6707214617 .yiv6707214617attach label a {
text-decoration:none;}
#yiv6707214617 blockquote {
margin:0 0 0 4px;}
#yiv6707214617 .yiv6707214617bold {
font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}
#yiv6707214617 .yiv6707214617bold a {
text-decoration:none;}
#yiv6707214617 dd.yiv6707214617last p a {
font-family:Verdana;font-weight:700;}
#yiv6707214617 dd.yiv6707214617last p span {
margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}
#yiv6707214617 dd.yiv6707214617last p
span.yiv6707214617yshortcuts {
margin-right:0;}
#yiv6707214617 div.yiv6707214617attach-table div div a {
text-decoration:none;}
#yiv6707214617 div.yiv6707214617attach-table {
width:400px;}
#yiv6707214617 div.yiv6707214617file-title a, #yiv6707214617
div.yiv6707214617file-title a:active, #yiv6707214617
div.yiv6707214617file-title a:hover, #yiv6707214617
div.yiv6707214617file-title a:visited {
text-decoration:none;}
#yiv6707214617 div.yiv6707214617photo-title a,
#yiv6707214617 div.yiv6707214617photo-title a:active,
#yiv6707214617 div.yiv6707214617photo-title a:hover,
#yiv6707214617 div.yiv6707214617photo-title a:visited {
text-decoration:none;}
#yiv6707214617 div#yiv6707214617ygrp-mlmsg
#yiv6707214617ygrp-msg p a span.yiv6707214617yshortcuts {
font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}
#yiv6707214617 .yiv6707214617green {
color:#628c2a;}
#yiv6707214617 .yiv6707214617MsoNormal {
margin:0 0 0 0;}
#yiv6707214617 o {
font-size:0;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617photos div {
float:left;width:72px;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617photos div div {
border:1px solid
#666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617photos div label {
color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617reco-category {
font-size:77%;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617reco-desc {
font-size:77%;}
#yiv6707214617 .yiv6707214617replbq {
margin:4px;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-actbar div a:first-child {
margin-right:2px;padding-right:5px;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-mlmsg {
font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
sans-serif;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-mlmsg table {
font-size:inherit;font:100%;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-mlmsg select,
#yiv6707214617 input, #yiv6707214617 textarea {
font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-mlmsg pre, #yiv6707214617
code {
font:115% monospace;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-mlmsg * {
line-height:1.22em;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-mlmsg #yiv6707214617logo {
padding-bottom:10px;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-msg p a {
font-family:Verdana;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-msg
p#yiv6707214617attach-count span {
color:#1E66AE;font-weight:700;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-reco
#yiv6707214617reco-head {
color:#ff7900;font-weight:700;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-reco {
margin-bottom:20px;padding:0px;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-sponsor #yiv6707214617ov
li a {
font-size:130%;text-decoration:none;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-sponsor #yiv6707214617ov
li {
font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-sponsor #yiv6707214617ov
ul {
margin:0;padding:0 0 0 8px;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-text {
font-family:Georgia;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-text p {
margin:0 0 1em 0;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-text tt {
font-size:120%;}
#yiv6707214617 #yiv6707214617ygrp-vital ul li:last-child {
border-right:none !important;
}
#yiv6707214617
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment