Thursday, 16 June 2016

[wanabidii] Re: [Wanazuoni] Re: J-U

Ninachangia mjadala huu, nimeusoma mpaka unanipa kizunguzungu na kiswahili swahili kichwani:-

Pamoja na kuwa nitakosea kwa kutokuuelewa vizuri-lakini hapa ntanzania mapambano yetu mengi kuhusu masuala mengi kwa mfano-ukombozi wa mwanamke-pamoja na kuanzishwa na hatakati za watu kama Bibi Titi na wengineo, Mama Sophia Kawawa, Mh Anna Abdallah you name it-wapo akina mama Wageni kutoka nchi za nje waliofanya studies hapa na kusaidia kuanzisha Gender Activist NGO Sector zote na kusaidia kupitia networking na donors kupata hela kuendesha hatakati. Mpaka kufikia kuwa na Gender Networking NGO baada ya kufanikisha masuala ya NGO nyingine ktk Media, Law, Environment, Health etc Mainstreaming Gender in Sectoral Policies, Strategies and Laws ikawa issue Tanzania na mpaka hata kupata Sexual Offences Special Provision Law (SOSPA) lakini bado Unyumbu wetu tunabaka mpaka kuua, tunakuwa teleza kupaka mafuta na kubaka nyumba hadi nyumba na kukata mapanga wanaokataa kupakwa.

TGNP Mtandao iliandaa mpango wa kuwaenzi akina mama waliofanyakazi kubwa katika kuupata Uhuru, mapapanno katika kila kona sekta mbali mbali na pia wale ambao ni wa kwanza pekee kuwa wataalamu katika sekta mbali mbali. Mfano Elimu-alikuwa mwanamke wa kwanza kupata degree TZ kaipatia Makerere au alikuwa wakwanza professor Botany au Mathematics, Physics, Chemistry au Colonel/kanali wa kwanza female JWTZ au Chief Academic Officer wa kwanza wa University ya kwanza TZ, Profesa wa kwanza ktk Sanaa ambaye ameibadilisha wanawake ktk sanaa wasionekane ni malaya bali pia ni academics na inatoa ujumbe, kuelimisha, kulinda utamaduni wa nchi. Ni upambanaji sio ktk uhuru tu ni mengi vitu kama hivi.

Hata Mwalimu Mkuu wa kwanza wa sekondari ya wanawake aliyekuwa mwanamke aliyetetea haki za watoto wakike na kuwashitaki wababa waliowapa mimba atatambuliwa kama hayupo hai watoto wake wataitwa kumchukuliza zawadi yake ya heshima. Yule wakwanza kutetea na kuanzisha Gender Degree Course na kuanzisha gender centre na library ya kwanza nchini na kufanikisha kuundwa NGO sa jinsia za kutetea wanawake atatambuliwa kwani juhudi zake zilipanua wigo wa kujali masuala ya wanawake-gender mainstreaming. Mwingine labda wakwanza kuanzisha NGO iliyosaidia masuala ya matibabu na uchunguzi wa cervical cancer, kuwasaidia akina mama/dada kutibiwa fistula kurudisha utu wa mwanamke; wakwanza kuanzisha kambi ya kutetea haki za watoto wanaotupwa na kuachwa mitaani. Listi hiyo haina wanawake wazawa wa nchi hii tu ambao ni waafrica, bali nani kama mwanamke amefanya nini katika ukombozi wa mwanamke, mtoto wa kike hapa nchini hivyo wapo mpaka wanawake wazungu, wahindi, waarabu waliopo nchini na nje ya nchi wamerudi kwao watatambuliwa.

Hata chuo kikuu cha DSM kiliposheherekea miaka yake 50-kiliwatambua na kuwaita wale waanzilishi mbalimbali wa masuala mbali mbali UDSM na kuwazawadia. Vitu vingi hapa vimetokewa kuanzishwa na wenye moyo mzuri ambao ni wageni wakati wapo wenyeji mayajiri wamekalia hela hawajitolei masuala mengi labda mpaka Rais aseme na watake kuonekana nae.

Kutokana na ukata wa hela-TGNP ikishirikiana na NGO nyingine wakiratibu shughuli hii na National Museum wamechelewa kutekeleza mwaka jana siku ya wanawake duniani. Kamati ya TGNP na NMT ilipita maofisi, ubalozi, kwa waheshimiwa, makampuni kusaka hela ambazo zingewezesha kuwasafirisha hao wa kuwaenzi au jamaa zao kama wao wameshafariki jamaa waje DSM kutoka walipo vijijini; kununua zawadi na gharama nyingine za logistics. Ndio unaona Sasa NGO nyingine au Individual Companies kama SOMA zinaunganisha sherehe ya nchi fulani kuwaenzi wanawake wake ambayo Ubalozi wao uliopo TZ utasheherekea na kuwaenzi wa TZ kama walivyopanga wenyewe. Issue hapa ni finaces!!-Hivyo-unaunganishia unapopata nafasi na connection zako safi!!

Hivyo Ireland wasilaumiwe mradi hao watatambua wao nasi tutatambua wetu ngoma droo!!. Hata siku ya Mtoto wa Africa kusheherekea kutambua vitu na kuwazawadia waliojitahidi ktk masuala ya haki za watoto unakuta sherehe mpaka ipate donors wa nje na hela zitumike mpaka kutununulia sisi soda na kutupa nauli. Sherehe zinakwama kwa kukosa hela. Bado unakuta watoto wanaishi mazingira magumu hata majiko sanifu ya kupikia shuleni na alternative energy kama solar hawana. TZ ina TaTEDO na majiko sanifu na mashirika/kampuni wauzao alternative energy kibao; matajiri wazawa wanaotambukika hadi nchi za nje. Wabunge mihela wapo lakini lakini nani agharimia haya wa Yatima na Sherehe-utata. Ila kuchangia maandamano kisiasa nchi nzima-tutachangia ile mbaya!

Kama Kawa-kama ulitoa maoni Bure nami nimechangia Bure.


Unaweza ukawa Raia wa Kujiandikisha hapa ukafanya mengi kuliko mzawa anayejali mateno bila ya matendo na tumboni street. Hata vituo vya wazee, vilema, watoto yatima vilivyoanzishwa toka ukoloni vina hali mbaya sana na misaada ikitolewa-Tumboni street. Tunamalizana wenyewe kwawenyewe. Ufisadi sio hela za serikali tu mpaka donor money. Na hata hao viongozi wengine wapiganaji akina baba na mama ambao wazee ambao bado wapo hali zao ni mbaya kimaisha na majengo ya makao makuu ya TANU au ya historia yapo hoi. Kupanga Makumbusho ya taifa na kuweka recors za zamani sawa tu utata. Makabrasha yanaoza maofisi ya wilaya, yanakpokuwepo yaliyohamishwa kupangwa shida, vitabu vya kumbukumbu tabu unavikuza vimebabuka tu. Majengo kuyajenga na kukarabati kuweka historia yetu vema mpaka tupate hela za Ireland, Swedish or Norwegian Societies of their agencies for Development Cooperatation. Na ndio sherehe ya TGNP na National Museum of Tanzania ya kuwaenzi Wanawake Wapambanaji lilipokwama. Sio wanawake waafrica wa TZ bali wapambanaji waliopambana kumkomboa mwanamke TZ na waliofanya yanayotambulika katika kumkopoa na kuikomboa nchi na kuwamfano ktk sekta fulani.




--------------------------------------------
On Thu, 16/6/16, Richard Mabala rmabala@yahoo.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:

Subject: Re: [Wanazuoni] Re: J-U
To: "Wanazuoni@yahoogroups.com" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
Date: Thursday, 16 June, 2016, 16:21


Ukiwa
raia wa kujiandikisha (au kama anavyodharau Mzee Fumbuka)
inabidi uachane na uraia wako wa zamani, ndiyo maana
nimeenda Uingereza kwa kutafuta visa kwa zaidi ya miaka
thelathini.  Na kama mtu ambaye anabadilisha dini inabidi
uwe mzalendo kuliko wazalendo wenyewe ili watu wakuamini uko
seriasi.  Kwa hiyo sitashangaa kama Mzee Fumbuka anaanza
kunishakia mimi nikithubutu kukusoa kidogo ...
nimetumwaaaaa!

On Thursday, 16 June
2016, 15:44, "George Fumbuka fumbuka1953@gmail.com
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:



 









Deus: wewe si ni Mmatengo?
Ushasikia mtu anahoji uraia wako? Ulimwengu ni raia wa
kujiandikisha, uongo kweli? Ina maana kuna nchi ingine ni
raia wa kuzaliwa.
Can you trust him? 'f course not! For all
you know hapo alipo yuko busy kukusanya mambos kuhusu nji
yetu. Leo anatukana viongozi wetu, anawafitinisha na sisi
wananji, huyo ni mwenzako kweli?
Jibu swali langu: ni raia wa kuzaliwaaaa au
wa karatasi? Rasimu ya Warioba inasema huyu mafuruku kuwa
Rais au Jaji Mkuu: have you ever wondered why?
Lugha yako inaitwa political correctness,
ndiyo nyie mnaona majambazi mnasema CCM haina sera ya
ajira.
ULIPATA BURE, TOA BURE
On 16 Jun 2016 1:52 p.m.,
"Deus Komba kombadeus2002@yahoo.co.uk
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 









Mheshimiwa
George Fumbuka,
Nimesoma reaction yako
kuhusu comments za J-U. Mimi binafsi sijakuelewa maana
maelezo yako yamejikita kimfumo wa chuki fulani kiasi kwamba
unaangalia zaidi Uraia, Hoja zako zimekua zikitaka support
ya watanzania kumuona kama vile J-U si mwenzetu, hii sio
sawa na nadhani jifunze kua na hoja na si chuki. Je ikiwa
wewe binafsi tukianza kukuchunguza na kusema si raia
unatuharibia nchi utajisikiaje, Kiufupi hoja uliohusianisha
na uraia kiukweli ni umasikini wa mawazo tena
uliotukuka. 
Deus 


From:
"George Fumbuka fumbuka1953@gmail.com
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
To: Zuoni <Wanazuoni@yahoogroups.com>

Sent: Thursday, 16 June
2016, 7:54
Subject: Re:
[Wanazuoni]


 









Mwalimu Richard:
lisiloniingia akilini ni hili hapa:
"....to celebrate the creative agency of
women in the liberation struggles in Ireland AND
Tanzania....:" (caps added - LGF).
Neno "and" halifai hapo Mwalimu kwa
vile huwezi kuongea ugombozi wa wanawake Tanzania usipomtaja
Bibi Titi. Mwingine ni Bibi yangu mzaa Baba, mke wa Mangi
Ndesarua. Ndiye aliyepokea kahawa kwa Krapf.
Mimi ningeweza kupamga kumwakilisha Mangi
lakini ingebidi nialikwe rasmi, sii hii ndude ya mwandishi
anasema:
"....Friends, this is coming to you at
the eleventh hour but bear with us and be
there!...".
I cannot come just like that. Wamangi
don't grow on trees. Na Bibi Titi Mohamed ni Shujaa wa
nji hii huwezi ukamwita dear friends.
ULIPATA BURE, TOA BURE
On 16 Jun 2016 6:26 a.m., "Richard Mabala rmabala@yahoo.com
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 









umelazimishwa na nani?  It is a cultural
event to which people are invited, just as in Ireland,
Chinua Achebe and others have been invited to be the
principal speakers at cultural events attended by the Irish
President.  Cultural sharing is not cultural imperialism,
though the Cambridge syllabi used by your contemporaries no
doubt you too had strong doses of cultural
imperialism

On Thursday, 16 June
2016, 6:02, "Salim Khatri skhatri@orcis.com
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:



 









Then why do you expect them
to celebrate Bibi Titi's birthday in England? Embu
tuondolee zogo hapa!
Salim.


On Jun 16, 2016 12:47 AM, "George Fumbuka fumbuka1953@gmail.com
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 









No, I do not. So why should
I be forced to celebrate that of some decrepit Godforsaken
Irish-based activist hen?
On 15 Jun 2016 22:13, "Salim Khatri skhatri@orcis.com
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 









Do you celebrate Bibi Titi
Mohammed's birthday at your home?
On Jun 15, 2016 10:08 PM, "George Fumbuka fumbuka1953@gmail.com
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 









What has a1916 Irish event
got to do with us? Is this cultural imperialism or what? Do
they celebrate Bibi Titi Mohamed's birthday in England?
Who is Vona Ghourke? Why don't we invite Dr. Tulia
Mwansasu instead? Forgive me if I stepped on sacred
cows.
On 15 Jun 2016 13:58, "Demere Kitunga demeredye@gmail.com
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 









Dear
Friends,This is coming to you at the
eleventh hour but bear with us... and be
there!As part of the global commemoration
of the Centenary of Ireland's 1916 Rising, Soma is
collaborating with the Embassy of Ireland to celebrate the
creative agency of women in the liberation struggles in
Ireland and Tanzania. This is an acknowledgement and a
remembrance of women's rightful place in our collective
histories and a contribution to the authoring of
"her-stories".  The
commemorations shall include hosting an Irish Poet Vona
Groarke who will conduct a poetry workshop with a Tanzanian
poet Janet Namara Gabone who is researching the
Influence of
women's (and their depiction in) literature and art on
nationalist and liberation struggles in
Tanzania. This will
be followed by a public event featuring a panel and plenary
discussion on Women in liberation struggles in Tanzania and
Ireland. The event will feature a variety of literary
expressions ranging from poetic and music performances, an
exhibit of excerpts of nationalist literature, Irish poetry
and visual art works created by women.
 We welcome you to be part of this
her-story making and celebration of women's creative
agency.best,
demere








































































































































































__._,_.___










Posted by: Richard Mabala <rmabala@yahoo.com>





Reply
via web post


Reply to sender


Reply to group

Start a New
Topic

Messages in this
topic
(6)










Have you tried the highest rated
email app?
With 4.5 stars in iTunes, the Yahoo Mail app is the
highest rated email app on the market. What are you waiting
for? Now you can access all your inboxes (Gmail, Outlook,
AOL and more) in one place. Never delete an email again with
1000GB of free cloud storage.



















Visit Your Group







• Privacy • Unsubscribe • Terms of Use






















.







__,_._,___



#yiv6254289266 #yiv6254289266 --
#yiv6254289266ygrp-mkp {
border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
0;padding:0 10px;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-mkp hr {
border:1px solid #d8d8d8;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-mkp #yiv6254289266hd {
color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
0;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-mkp #yiv6254289266ads {
margin-bottom:10px;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-mkp .yiv6254289266ad {
padding:0 0;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-mkp .yiv6254289266ad p {
margin:0;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-mkp .yiv6254289266ad a {
color:#0000ff;text-decoration:none;}
#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-sponsor
#yiv6254289266ygrp-lc {
font-family:Arial;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-sponsor
#yiv6254289266ygrp-lc #yiv6254289266hd {
margin:10px
0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-sponsor
#yiv6254289266ygrp-lc .yiv6254289266ad {
margin-bottom:10px;padding:0 0;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266actions {
font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266activity {
background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266activity span {
font-weight:700;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266activity span:first-child {
text-transform:uppercase;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266activity span a {
color:#5085b6;text-decoration:none;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266activity span span {
color:#ff7900;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266activity span
.yiv6254289266underline {
text-decoration:underline;}

#yiv6254289266 .yiv6254289266attach {
clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
0;width:400px;}

#yiv6254289266 .yiv6254289266attach div a {
text-decoration:none;}

#yiv6254289266 .yiv6254289266attach img {
border:none;padding-right:5px;}

#yiv6254289266 .yiv6254289266attach label {
display:block;margin-bottom:5px;}

#yiv6254289266 .yiv6254289266attach label a {
text-decoration:none;}

#yiv6254289266 blockquote {
margin:0 0 0 4px;}

#yiv6254289266 .yiv6254289266bold {
font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}

#yiv6254289266 .yiv6254289266bold a {
text-decoration:none;}

#yiv6254289266 dd.yiv6254289266last p a {
font-family:Verdana;font-weight:700;}

#yiv6254289266 dd.yiv6254289266last p span {
margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}

#yiv6254289266 dd.yiv6254289266last p
span.yiv6254289266yshortcuts {
margin-right:0;}

#yiv6254289266 div.yiv6254289266attach-table div div a {
text-decoration:none;}

#yiv6254289266 div.yiv6254289266attach-table {
width:400px;}

#yiv6254289266 div.yiv6254289266file-title a, #yiv6254289266
div.yiv6254289266file-title a:active, #yiv6254289266
div.yiv6254289266file-title a:hover, #yiv6254289266
div.yiv6254289266file-title a:visited {
text-decoration:none;}

#yiv6254289266 div.yiv6254289266photo-title a,
#yiv6254289266 div.yiv6254289266photo-title a:active,
#yiv6254289266 div.yiv6254289266photo-title a:hover,
#yiv6254289266 div.yiv6254289266photo-title a:visited {
text-decoration:none;}

#yiv6254289266 div#yiv6254289266ygrp-mlmsg
#yiv6254289266ygrp-msg p a span.yiv6254289266yshortcuts {
font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}

#yiv6254289266 .yiv6254289266green {
color:#628c2a;}

#yiv6254289266 .yiv6254289266MsoNormal {
margin:0 0 0 0;}

#yiv6254289266 o {
font-size:0;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266photos div {
float:left;width:72px;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266photos div div {
border:1px solid
#666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266photos div label {
color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266reco-category {
font-size:77%;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266reco-desc {
font-size:77%;}

#yiv6254289266 .yiv6254289266replbq {
margin:4px;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-actbar div a:first-child {
margin-right:2px;padding-right:5px;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-mlmsg {
font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
sans-serif;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-mlmsg table {
font-size:inherit;font:100%;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-mlmsg select,
#yiv6254289266 input, #yiv6254289266 textarea {
font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-mlmsg pre, #yiv6254289266
code {
font:115% monospace;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-mlmsg * {
line-height:1.22em;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-mlmsg #yiv6254289266logo {
padding-bottom:10px;}


#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-msg p a {
font-family:Verdana;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-msg
p#yiv6254289266attach-count span {
color:#1E66AE;font-weight:700;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-reco
#yiv6254289266reco-head {
color:#ff7900;font-weight:700;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-reco {
margin-bottom:20px;padding:0px;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-sponsor #yiv6254289266ov
li a {
font-size:130%;text-decoration:none;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-sponsor #yiv6254289266ov
li {
font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-sponsor #yiv6254289266ov
ul {
margin:0;padding:0 0 0 8px;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-text {
font-family:Georgia;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-text p {
margin:0 0 1em 0;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-text tt {
font-size:120%;}

#yiv6254289266 #yiv6254289266ygrp-vital ul li:last-child {
border-right:none !important;
}
#yiv6254289266

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment