Friday, 17 June 2016

[wanabidii] Benki ya NMB yawafuturisha baadhi ya wateja na wadau Dar

[caption id="attachment_72619" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0136.jpg" alt="Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda akizungumza neno mara baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya baadhi ya wateja, wafanyakazi na wadau wa Benki ya NMB jana. " width="800" height="420" class="size-full wp-image-72619" /> Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda akizungumza neno mara baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya baadhi ya wateja, wafanyakazi na wadau wa Benki ya NMB jana. [/caption]

[caption id="attachment_72618" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0117.jpg" alt="Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker akizungumza mara baada ya kumalizika kwa futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya wateja, wafanyakazi na wadau wa Benki ya NMB jana katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. " width="800" height="454" class="size-full wp-image-72618" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker akizungumza mara baada ya kumalizika kwa futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya wateja, wafanyakazi na wadau wa Benki ya NMB jana katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. [/caption]

[caption id="attachment_72620" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG0060.jpg" alt="Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda akiwaongoza baadhi ya wateja, wafanyakazi na wadau wa Benki ya NMB kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alimuwakilisha Makamo wa Rais Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa mgeni rasmi na kushindwa kuhudhuria. " width="800" height="466" class="size-full wp-image-72620" /> Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda akiwaongoza baadhi ya wateja, wafanyakazi na wadau wa Benki ya NMB kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alimuwakilisha Makamo wa Rais Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa mgeni rasmi na kushindwa kuhudhuria.<br />[/caption]

[caption id="attachment_72604" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0008.jpg" alt="Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akisalimiana na baadhi ya wateja wa Benki hiyo na wadau mbalimbali walioshiriki katika futari iliyoandalia na benki hiyo kwa wateja wake katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam." width="800" height="533" class="size-full wp-image-72604" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akisalimiana na baadhi ya wateja wa Benki hiyo na wadau mbalimbali walioshiriki katika futari iliyoandalia na benki hiyo kwa wateja wake katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.[/caption]

[caption id="attachment_72605" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0009.jpg" alt="Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akisalimiana na baadhi ya wateja wa Benki hiyo na wadau mbalimbali walioshiriki katika futari iliyoandalia na benki hiyo kwa wateja wake katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam." width="800" height="495" class="size-full wp-image-72605" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akisalimiana na baadhi ya wateja wa Benki hiyo na wadau mbalimbali walioshiriki katika futari iliyoandalia na benki hiyo kwa wateja wake katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.[/caption]

[caption id="attachment_72606" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0022.jpg" alt="Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (katikati) akisalimiana na baadhi ya wateja wa Benki hiyo na wadau mbalimbali walioshiriki katika futari iliyoandalia na benki hiyo kwa wateja wake katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam." width="800" height="544" class="size-full wp-image-72606" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (katikati) akisalimiana na baadhi ya wateja wa Benki hiyo na wadau mbalimbali walioshiriki katika futari iliyoandalia na benki hiyo kwa wateja wake katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.[/caption]

[caption id="attachment_72607" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0035-1.jpg" alt="Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kushoto) akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda katika futari iliyoandalia na benki hiyo kwa wateja wake kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. " width="800" height="533" class="size-full wp-image-72607" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kushoto) akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda katika futari iliyoandalia na benki hiyo kwa wateja wake kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.<br />[/caption]

[caption id="attachment_72608" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0037.jpg" alt="Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda (kulia) kabla ya futari iliyoandalia na benki hiyo kwa wateja wake kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam." width="800" height="544" class="size-full wp-image-72608" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda (kulia) kabla ya futari iliyoandalia na benki hiyo kwa wateja wake kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.[/caption]

[caption id="attachment_72609" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0051.jpg" alt="Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda (katikati) akiwa na meza kuu kwemye hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya baadhi ya wateja, wafanyakazi na wadau wa Benki hiyo jana. " width="800" height="400" class="size-full wp-image-72609" /> Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda (katikati) akiwa na meza kuu kwemye hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya baadhi ya wateja, wafanyakazi na wadau wa Benki hiyo jana. [/caption]

[caption id="attachment_72610" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0054.jpg" alt="Msajili wa Hazina, Bw. Lawrence Mafuru (kulia) akisalimiana na Ofisa Fedha Mkuu wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas walipokutana katika hafla ya futari maalumu kwa wateja, na wadau wa Benki ya NMB." width="800" height="436" class="size-full wp-image-72610" /> Msajili wa Hazina, Bw. Lawrence Mafuru (kulia) akisalimiana na Ofisa Fedha Mkuu wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas walipokutana katika hafla ya futari maalumu kwa wateja, na wadau wa Benki ya NMB.[/caption]

[caption id="attachment_72611" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0078.jpg" alt="Baadhi ya wateja na wadau wa Benki ya NMB wakijumuika kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana kwa ajili yao. Mgeni rasmi katika futari hiyo alikuwa ni Makamo Rais wa Tanzania, Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa wakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda." width="800" height="501" class="size-full wp-image-72611" /> Baadhi ya wateja na wadau wa Benki ya NMB wakijumuika kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana kwa ajili yao. Mgeni rasmi katika futari hiyo alikuwa ni Makamo Rais wa Tanzania, Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa wakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.[/caption]

[caption id="attachment_72612" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0081.jpg" alt="Baadhi ya wateja na wadau wa Benki ya NMB wakijumuika kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana kwa ajili yao. Mgeni rasmi katika futari hiyo alikuwa ni Makamo Rais wa Tanzania, Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa wakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda." width="800" height="516" class="size-full wp-image-72612" /> Baadhi ya wateja na wadau wa Benki ya NMB wakijumuika kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana kwa ajili yao. Mgeni rasmi katika futari hiyo alikuwa ni Makamo Rais wa Tanzania, Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa wakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.[/caption]

[caption id="attachment_72613" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0084-1.jpg" alt="Baadhi ya wateja na wadau wa Benki ya NMB wakijumuika kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana kwa ajili yao. Mgeni rasmi katika futari hiyo alikuwa ni Makamo Rais wa Tanzania, Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa wakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda." width="800" height="518" class="size-full wp-image-72613" /> Baadhi ya wateja na wadau wa Benki ya NMB wakijumuika kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana kwa ajili yao. Mgeni rasmi katika futari hiyo alikuwa ni Makamo Rais wa Tanzania, Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa wakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.[/caption]

[caption id="attachment_72614" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0087-1.jpg" alt="Baadhi ya wateja na wadau wa Benki ya NMB wakijumuika kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana kwa ajili yao. Mgeni rasmi katika futari hiyo alikuwa ni Makamo Rais wa Tanzania, Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa wakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda." width="800" height="552" class="size-full wp-image-72614" /> Baadhi ya wateja na wadau wa Benki ya NMB wakijumuika kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana kwa ajili yao. Mgeni rasmi katika futari hiyo alikuwa ni Makamo Rais wa Tanzania, Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa wakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.[/caption]

[caption id="attachment_72615" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0088-1.jpg" alt="Baadhi ya wateja na wadau wa Benki ya NMB wakijumuika kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana kwa ajili yao. Mgeni rasmi katika futari hiyo alikuwa ni Makamo Rais wa Tanzania, Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa wakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda." width="800" height="467" class="size-full wp-image-72615" /> Baadhi ya wateja na wadau wa Benki ya NMB wakijumuika kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana kwa ajili yao. Mgeni rasmi katika futari hiyo alikuwa ni Makamo Rais wa Tanzania, Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa wakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.[/caption]

[caption id="attachment_72616" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0092-1.jpg" alt="Baadhi ya wateja na wadau wa Benki ya NMB wakijumuika kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana kwa ajili yao. Mgeni rasmi katika futari hiyo alikuwa ni Makamo Rais wa Tanzania, Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa wakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda." width="800" height="505" class="size-full wp-image-72616" /> Baadhi ya wateja na wadau wa Benki ya NMB wakijumuika kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana kwa ajili yao. Mgeni rasmi katika futari hiyo alikuwa ni Makamo Rais wa Tanzania, Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa wakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.[/caption]

[caption id="attachment_72617" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/06/IMG_0097-1.jpg" alt="Baadhi ya wateja na wadau wa Benki ya NMB wakijumuika kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana kwa ajili yao. Mgeni rasmi katika futari hiyo alikuwa ni Makamo Rais wa Tanzania, Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa wakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda." width="800" height="503" class="size-full wp-image-72617" /> Baadhi ya wateja na wadau wa Benki ya NMB wakijumuika kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana kwa ajili yao. Mgeni rasmi katika futari hiyo alikuwa ni Makamo Rais wa Tanzania, Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa wakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.[/caption]


___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment