Friday, 10 June 2016

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] KUELEKEA MIAKA KUMI YA MJENGWABLOG- Imezaliwa Sept 19, 2006 - " Time For Girls Football"

Dada Hilda, 

Asante sana. Kazi njema hii, nimependa picha pia. Naweza kuzitumia?

Maggid

2016-06-10 0:50 GMT-07:00 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mjengwa,
Mbona wengine tuna timu za mpira za wasichana karne na tunacheza lakini hatujitangazi. Ukiitaka ITV ije kuna hela za kulipa na ikitolewa katika TV inapitishwa mwendo wa ukope kufumba na kufumbua.

Tuna team za wazee na vijana za football kwa wanaume na wanawake. Tunacheza siku za sherehe za kitaifa na za kimataifa na siku hiyo elimu inatolewa kwa jamii. Kukiwa na sherehe za kitaifa katika mji wa mkoa mkiomba mcheze kimkoa-hela zinazotakiwa ni nyingi mno za kuleta timu nyingine hata Twiga, kulipa refa, usafiri etc mnashindwa.

Cha kushangaza, timu ya mpira hasa ya vijana wa kiume kufungwa na team ya wazee (wenye viji vijiji, Kata, Tarafa na wazee wa mila ambao ni washauri wa vijana). Wazee walicheza mpira enzi zile  za ujana sasa wapo 60 years+ lakini wanamudu mbio. Wao vijana-bhangi na madawa ya kulevya yanawamaliza na lishe duni (chips, maugali meupe sumba wazee wanakula vyakula natural-mnavu na ugali usiokobolewa, samaki toka mto kilombero etc). Nilikuwa mwana riadha na mchezaji football hivyo ktk miradi ninayosimamia timu za  mpira wa miguu hazikosekani, kuvutana kamba, kukimbia na kupokezana vijiji, kukimbiza kuku ukimpata kamle. Michezo inajaza sana watu viwanjani kwani ni sehemu ya burudani na kichekesho kumuona mama mtu mzima anakimbiza kuku, kuvutana kamba na kucheza football akipiga teke mpira anaanguka mwenyewe. Watu wazima wanawake hucheza na watoto wadogo wa shule ya msingi std 1-5 ambao huwasukuma wamama sana kiasi kwamba mama anaogopa kumsukuma mtoto na kumuacha aende na mpira. Wale wa Std 6-7 ni wakubwa mno watawavunja miguu wamama.

Tunacheza ila tatuna hela za kujitangaza na wahisani hatupati. NGO ya jinsia (WRDP) yenye Miradi ya Vijana Mikumi na Kilombero tuna timu kali sana ya Wasichana ya Mikumi na Kilombero tunaomba Msaada Mjengwa.
Hata tunapocheza kushindana hiyo michezo ni gharama zangu za mshahara wangu kwa sababu miradi ya kuhisaniwa haiangalii masuala haya. Ila sisi tunayatumia kuvutia watu waje na kutoa elimu husika hapokabla ya mpira kuanza. Huwezi kutoa elimu baada ya mpira kwisha wanakimbia. Hii ni nyogeza baada ya makundi kusika kupata mafunzo unayatoa kwa waliovutiwa na mchezo na kukataa mikutano au kufika ktk makundi ya mafunzo.

Msichana kucheza mpira kusimfanye ajione kuwa ni mwanaume. Haturuhusu tabia ya kukata mapanki, kuvaa kihuni na kusuka nywele mitindo ya ajabu ajabu hata kama hiyo mitindo karne ya mababu ilisukwa. Tunawafundisha stadi za maisha za kujitambua, kujiheshimu, kujituma, kuwa na malengo na kufanya juhudikuyafikia.

Wengine huona michezo kwa mtoto wa kike ni umalaya au kukimbia na kuruka ruka kutampotezea usichana wake (Ubikira) na kushindwa kuzaa pia mishipa ndani inasogea. Imani hizi ni potovu ni uongo kabisa. Tulicheza footbal in 1960s tukiwa shule ya msingi na tulicheza na watoto wa Masheikh na Sharif. Tukicheza riadha sekondari na pia kuungana kimkoa na majeshi (police, magereza, JWTZ) tukisafiri timu kambambe za mkoa to DSM Tabora, Kibaha, Zanzibar na baadhi ya wachezaji hao ni wasomina viongozi mashuhuri nchini me na ke. Mtu asiishie kucheza mpira tu au kuwa mwana riadha tu bila ya kufanyakazi nyingine ya kipato kama michezo haimpi kipato  kwani atachanganyikiwa, kuwa muhuni mvuta bangi.

Kuboresha michezo kwa ujumla sio Mpira tu nikitu cha maana nchini. Tuna wakimbiaji kutoka mkoa wa Mara, Arusha. Watupa mikuki maeneo hayo wana uwezo mkubwa. Tuna majitu marefu ya kucheza basketball-lakini hatuwatumii. Wakiingizwa ktk team hizo za michezo eti hawafanyi mazoezi mpaka wawekwe kambini wapate posho! Hivyo wanafanya mazoezi kambini sio daima iwe ndio desturi yao. Daima kushindwa michezo yote kulinganisha na Kenya ambao wana makabila ya wafugaji na wakimbiaji sana (Maasai, Kurya, Arusha, Mang'ati). Pamoja na kuwa maeneo mengine ya makabila mengine yana uwezo lakinikuna makabila mbio, kurusha tufe (mawe), mkuki ni tradition yao. Zanzibar pamoja na kuwa ni coastal area ikitutoa jasho sana katika michezo ya riadha na mpira. zawadi ya mwana riadha wa mkoa ilikuwa kwenda na kurudi shule kwa Ndege sio kwa bus la abiria ambalolilikuwa linachukua hata wiki kutokana na barabara mbaya (Dar-Rufiji-Mtwara; Dar- Lukumburu-Songea-Mtwara) ndegea ya EAC. Bonus hiyo sio pesa na zawadi ya michezo umepata ngao ya mbao au kukombe cha chuma.


 Picha za Mpira wa Kike Mikumi za mfano zimeambatishwa.

--------------------------------------------
On Fri, 10/6/16, Maggid Mjengwa mjengwamaggid@gmail.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:

 Subject: [Wanazuoni] KUELEKEA MIAKA KUMI YA MJENGWABLOG- Imezaliwa Sept 19, 2006 - " Time For Girls Football"
 To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>, "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>, Wanazuoni@yahoogroups.com
 Date: Friday, 10 June, 2016, 9:26


  










 - " Time For Girls Football"
 ( My article, Africa Bloggers Network, Dec,
 2015)The
 fact is, one in three women lack basic literacy skills.
 Dropout rates due to pregnancy in Tanzania are alarming,
 leaving many girls and young mothers extremely vulnerable.
 Unemployment rate for young women is high. Women's
 educational attainment level has been proven to have a
 crucial positive influence on social, economic, and
 health spheres.Therefore, interest in girls' and women's
 football in Tanzania is rapidly growing. There are many
 talented women around the Tanzania who have the potential to
 be great football players, coaches, referees,
 administrators, and sports medicine practitioners.
 However.. Read More..
 http://www.africablogging.org/time-for-girls-football/







     __._,_.___










         Posted by: Maggid Mjengwa
 <mjengwamaggid@gmail.com>




                           Reply
 via web post
                       •

                Reply to sender
           •

               Reply to group
           •
             Start a New
 Topic
           •
                             Messages in this
 topic
                 (1)










                 Have you tried the highest rated
 email app?
                 With 4.5 stars in iTunes, the Yahoo Mail app is the
 highest rated email app on the market. What are you waiting
 for? Now you can access all your inboxes (Gmail, Outlook,
 AOL and more) in one place. Never delete an email again with
 1000GB of free cloud storage.



















     Visit Your Group


       New Members
       1






    • Privacy • Unsubscribe • Terms of Use






















   .







 __,_._,___



 #yiv8401448191 #yiv8401448191 --
   #yiv8401448191ygrp-mkp {
 border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
 0;padding:0 10px;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp hr {
 border:1px solid #d8d8d8;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp #yiv8401448191hd {
 color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
 0;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp #yiv8401448191ads {
 margin-bottom:10px;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp .yiv8401448191ad {
 padding:0 0;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp .yiv8401448191ad p {
 margin:0;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp .yiv8401448191ad a {
 color:#0000ff;text-decoration:none;}
 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor
 #yiv8401448191ygrp-lc {
 font-family:Arial;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor
 #yiv8401448191ygrp-lc #yiv8401448191hd {
 margin:10px
 0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor
 #yiv8401448191ygrp-lc .yiv8401448191ad {
 margin-bottom:10px;padding:0 0;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191actions {
 font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191activity {
 background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191activity span {
 font-weight:700;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191activity span:first-child {
 text-transform:uppercase;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191activity span a {
 color:#5085b6;text-decoration:none;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191activity span span {
 color:#ff7900;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191activity span
 .yiv8401448191underline {
 text-decoration:underline;}

 #yiv8401448191 .yiv8401448191attach {
 clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
 0;width:400px;}

 #yiv8401448191 .yiv8401448191attach div a {
 text-decoration:none;}

 #yiv8401448191 .yiv8401448191attach img {
 border:none;padding-right:5px;}

 #yiv8401448191 .yiv8401448191attach label {
 display:block;margin-bottom:5px;}

 #yiv8401448191 .yiv8401448191attach label a {
 text-decoration:none;}

 #yiv8401448191 blockquote {
 margin:0 0 0 4px;}

 #yiv8401448191 .yiv8401448191bold {
 font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}

 #yiv8401448191 .yiv8401448191bold a {
 text-decoration:none;}

 #yiv8401448191 dd.yiv8401448191last p a {
 font-family:Verdana;font-weight:700;}

 #yiv8401448191 dd.yiv8401448191last p span {
 margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}

 #yiv8401448191 dd.yiv8401448191last p
 span.yiv8401448191yshortcuts {
 margin-right:0;}

 #yiv8401448191 div.yiv8401448191attach-table div div a {
 text-decoration:none;}

 #yiv8401448191 div.yiv8401448191attach-table {
 width:400px;}

 #yiv8401448191 div.yiv8401448191file-title a, #yiv8401448191
 div.yiv8401448191file-title a:active, #yiv8401448191
 div.yiv8401448191file-title a:hover, #yiv8401448191
 div.yiv8401448191file-title a:visited {
 text-decoration:none;}

 #yiv8401448191 div.yiv8401448191photo-title a,
 #yiv8401448191 div.yiv8401448191photo-title a:active,
 #yiv8401448191 div.yiv8401448191photo-title a:hover,
 #yiv8401448191 div.yiv8401448191photo-title a:visited {
 text-decoration:none;}

 #yiv8401448191 div#yiv8401448191ygrp-mlmsg
 #yiv8401448191ygrp-msg p a span.yiv8401448191yshortcuts {
 font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}

 #yiv8401448191 .yiv8401448191green {
 color:#628c2a;}

 #yiv8401448191 .yiv8401448191MsoNormal {
 margin:0 0 0 0;}

 #yiv8401448191 o {
 font-size:0;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191photos div {
 float:left;width:72px;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191photos div div {
 border:1px solid
 #666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191photos div label {
 color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191reco-category {
 font-size:77%;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191reco-desc {
 font-size:77%;}

 #yiv8401448191 .yiv8401448191replbq {
 margin:4px;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-actbar div a:first-child {
 margin-right:2px;padding-right:5px;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg {
 font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
 sans-serif;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg table {
 font-size:inherit;font:100%;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg select,
 #yiv8401448191 input, #yiv8401448191 textarea {
 font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg pre, #yiv8401448191
 code {
 font:115% monospace;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg * {
 line-height:1.22em;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg #yiv8401448191logo {
 padding-bottom:10px;}


 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-msg p a {
 font-family:Verdana;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-msg
 p#yiv8401448191attach-count span {
 color:#1E66AE;font-weight:700;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-reco
 #yiv8401448191reco-head {
 color:#ff7900;font-weight:700;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-reco {
 margin-bottom:20px;padding:0px;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor #yiv8401448191ov
 li a {
 font-size:130%;text-decoration:none;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor #yiv8401448191ov
 li {
 font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor #yiv8401448191ov
 ul {
 margin:0;padding:0 0 0 8px;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-text {
 font-family:Georgia;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-text p {
 margin:0 0 1em 0;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-text tt {
 font-size:120%;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-vital ul li:last-child {
 border-right:none !important;
 }
 #yiv8401448191

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment