Mwisho wa siku magufuri ndio rais wa Tanzania tena mwenye nia njema. Tukaneni muwezavyo will change nothing than kusonga mbele. Hao walimu wenu wa demokrasia ya haki za mashoga waambie wakaenazo huku ni heshima kwa wakuu wetu. Kusema kuwa rais hajiheshimu kwa kuwaagiza polisi kunyofoa matairi ya wavunja sheria shauri zako. Sheria zivunjwe kisa wavunjaji wanalipa Faini sasa wakomeshwe. Au hujui presidential decree ninini? Nasisitiza lazima tuburuzwe kwanza ndo tutatia akili. Marekani unakokusifia huwakuanzaga hivyo. Ni stage
On Jun 23, 2016 6:57 PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:--Unadhani interpol hawana kazi? Hawawezi kunifuata sijavunja sheria ya kimataifa na wala sijavunja sheria ya Marekani. Kama ni kumwita bwege mbona ameshaitwa?You want me to re-invent the wheel? Kule kwetu kama mtu mzima hajiheshimu ni ruksa kumtusi tu. Kama rais anatoa ushauri wa kibwege kuwa polisi waondoe matairi kwenye magari yanayovunja sheria huyo hana jina jengine linalomfaa. Na Tanzania nitakuja tu ni nyumbani kwetu. Hamuwezi kunifungia akili zangu na mtazamo wangu. Actually si ubwege tu kuna element pia ya u con artist.em--2016-06-23 11:50 GMT-04:00 J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:Tamka basi kuwa ni bwege harafu ufie hukohuko au ufuatwe na Interpol. Sio political brilliant kwahiyo ni political nini sasa? Tamka ukomeshwe. Udikteta unashida gani kwa Tanzania ya sasa? Mbona Nyerere alikuwa na chembe za udikteta lkn alifanya vizuri tu? Magufuri anapaswa kuwa dikteta zaidi ya hapo ili twende.
Hawezi kuendeleza nchi hii wakt muganda anataka tumwone sio brilliant kama Obama. Soma historia ya mataifa yako hayo ya marekani uingereza ujerman uchina nk uone yalivyopitia udikteta wa hatari ili yaweze kupiga hatua zilizopigwa. Demokrasia inakuja baada ya maendeleo yanayotokana na udikteta wa kutisha ambao magufuri hawezi kuufikia kiurahisi
Angalia hata chadema inavyoendeshwa kidikteta kwa kutawaliwa na mtu mmoja wanaombishia akina zito slaa nk wanatimuliwa. Hiyo ndio demokrasia yetu. Unayoitaka wewe ipo hukohuko uliko kaanayo haitufai ya kufungisha mashoga ndoa hadharani na kuwatukana viongozi wenu
Kama umesahau ulikotoka shauri zako au unataka kuniambia kule kwenu mtoto anaweza kumtusi mtu mzima kama marekani kisa demokrasia. So demokrasia ya kigeni changanya ya kiafrika. Nchi gani imeendelezwa na manenomaneno?
Tuheshimiane kwanza
On Jun 23, 2016 6:26 PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:--Kamala,Chavez alimwita Bush shetani ndani ya ukumbi wa Umoja wa mataifa. Hakuamriwa kuondoka Marekani. Hata Ahmedininajad wa Iran aliwaita Wamarekani na Wayahudi majina ya ajabu ajabu alipokuwa New York lakini hakuamriwa kuondoka Marekani. Kuna kitu tunaita freedom of speech na freedom of perception. Inaheshimika katika nchi zote zakidemokrasia na zenye kulinda haki za binadamu. Unaona shwari Mkapa akituita wapumbavu lakini inakuuma tunapomwita rais wako bwege. Ni kweli politically Magufuli sibrilliant. Sikiliza tu matamshi yake hadharani utabaini ana chembe za udikteta. Huyu ameshawaamuru polisi wavunje sheria eti wakikuta gari kwenye njia za mwendo kasi wang'oematairi yake na aambiwe gari lilikuja hivyo. Ameingilia utendaji wa mahakama. Yeye ni kila kitu kama village chief vile anaamulia kila mtu. Lakini rangi zake halisi zimedhihirika alipomwambia Kikwete asihofu madhambi yote aliyoyafanya serikali yake itamfichia. Huyo ndiye rais unayetaka kutuaminisha kuwa ni brilliant?em--2016-06-22 23:06 GMT-04:00 J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:Unafahamu kweli maana ya neno bwege? Unajaribu kukubaliana na yule mtukanaji kwa kuwa rais wetu sio brilliant? Kinyume cha brilliant ndo bwege? Unamanisha watz tulimchagua asiye brilliant?
Hayo maneno yakasemwe na wengine wakiwa kwingine na sio kusemwa na watz ndani ya ardhi ya TZ. Hugo Chavez alipimwita Bush shetani si aliamriwa kuondoka marekani??? Au unamaanisha marekani marais wanatukanika na kunyamaziwa????
Mkapa kuwaita wapumbavu ilikuwa sahihi kabisaa na inaweza kudhibitishwa kisayansi. Yaani watu waliotwambia kila aina ya meneno kwamba mwana CCM Fulani ni jizi jambazi lisilofaa hata kuishi alipokatiza mpaka na kwenda kwao akawa mgombea na mpiga kampeini mkuu, Joshua wa kutuvusha nk huo unaweza kuufananisha na nini zaid ya alichokiita mkapa?
Lile la wabunge wa ukawa kuingia bungeni kila siku na kutoka unaweza kulifananisha na nini? Kwanini wasikae tu kwao wakaja tu siku zile ambazo wasiompenda hayupo?
On Jun 23, 2016 5:37 AM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:--J Kamala,With ushoga umekwenda too far. Lakini tukiwa na rais brilliant kwa nini iwe sawa kusema hivyo na tukiwa na rais kilaza au bwege tusiseme?Hii mentality ya umungu mtu mimi si subscribe kabisa. Rais ni binadamu na binadamu wako wa aina zote. Kwani Mkapa alipotuita sisi wapumbavu na malofaalivunja sheria gani? Na tukimgeuzia kibano je, kwa nini iwe kufuru?em--2016-06-22 22:17 GMT-04:00 J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:Muganda.
Watamchngia nini kwani umeshajua hukumu yake? Ushajua atashitakiwa kwa sheria ipi? Vipi kama hukumu yake ni jera na faini kwa pamoja nani atamchangia?
Nchi zilizoendelea naziwe huru hivyo. Lkn huwe tu wazi kwamba kumwita mkuu wa nchi bwege ni zaidi ya kufuru na haivumiliki hata kidogo hata ingekuwa serikali ya Mwl Nyerere. Kama kwenye nchi zenu hilo ni sawa basi lifurahie tu ila kaa ukijua lililosahihi marekan sio sahihi Tanzania . usijekuanza kutetea aushoga na mashoga kwakuwa marekani sio kosa kisheria kuwa shoga. Be careful with Tz, we don't consume every matapish from that country.
Ndaki. Wanaharakati wako ukawa so usitegemee wamtetee huyu mama wa CCM.
On Jun 23, 2016 3:24 AM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:--Elisa,Snowden alivunja sheria za Marekani. Na yeye anajua hilo na ndiyo sababu alikimbia. Lakini kilichompelekea kufanya alichofanya ni kwamba aliona maslahiya the big picture. Huyo aliyemwita Magufuli bwege kwa nchi za wenzetu waliobobea katika demokrasia hajafanya kosa lolote. Alikuwa akitoa maoni yake mwenyeweambayo anaruhusiwa kwa mujibu wa kanuni za haki za binadamu.em--On Wed, Jun 22, 2016 at 3:06 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:Snowden Mkimbizi. Kama hakuna jipya yuko urusi. Kwa nini amekimbia? katofautiana na serikali yake. Kwa nini serikali yake isisemwe kusababisha mtu kukimbia kama zinavyosemwa nyingine? Ni kwa sababu hakuna la kusema au kwa sababu ni Marekani? Huyu aliyemwita Magufuli Bwege alichangiwa na 'wasamaliamwema' ambao wanatetea uhuru wa habari japo hawakumuona Snowden. Nikawahimiza kuwa waqwe tayari kumchangia kucha na meno huyu aliyezua la jeshi kuibiwa kifaru maana anahitaji to undergoe a strenous interogation inayolingana ka aina ya uzushi
--------------------------------------------
On Wed, 6/22/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI WA KIFARU:
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, June 22, 2016, 9:53 PM
Elisa, Snowden yuko huru. Mwandishi
atachangiwa na gazeti lake. Yule aliyemwita Magufuli bwege
hakuwa na gazeti.em
On Tue, Jun 21, 2016 at
11:52 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Nimesoma kuwa kuna watu wamemchangia mtu aliyehukumiwa
kulipa fine ya milioni saba kwa kutumia mtandao kinyume cha
sheria na kumkashifu rais. Napenda watu hao wawe tayari
kumchangia kucha na meno mtuhumiwa aliyeandika habari za
wizi wa kifaru. Na kama interogation haitamfikisha hapo (Pa
kupata msaada huo) itakuwa haijakamilika. Hatuwezi kuvumilia
watu kutetea uhuru wa kupata habari kufikia kuwavumilia watu
kama hawa. Ninashangaa kwa nini na Snowden(?) yule mwandishi
wa Marekani aliyetoa habari za siri hajachangiwa au watetezi
hawa hawajaandika kumtetea.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment