Thursday, 16 June 2016

Re: [wanabidii] KUTENGANISHA URAIS NA UENYEKITI WA CCM: KWA MANUFAA YA NANI?

Sukari imepanda kwa ajili ya mafisadi kuminywa? Elisa Muhigo acha utani.
Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] KUTENGANISHA URAIS NA UENYEKITI WA CCM: KWA MANUFAA YA NANI?

Lazima uliwahi kulima. Siku ulipopanda ungemshangaa mtoto wako kutaka kuvuna. Hatutarajii kazi zake ziwe zimeleta matunda matamu katika kipindi hiki. Hii budget yake ya kwanza inatarajiwa kuanza kutumika July 1. Kupanda kwa sukari ni kutokana na kuwaminya mafisadi waliokuwa wanaagiza zaidi ya sukari inayohitajika baada ya kuipata kwa bei nzuri au kwa sababu haina viwango. majipu yametumbuliwa. Tembelea ofisi za serikali uone ongezeko la nidhamu..Hata wale wanaopiga kelele za magufuli ni dictata halindi haki za binadamu ukiwa karibu nao utagundua wanajaribu kumzuia asiwafikie maana ni wanasiasa wafanyabiashara waliokuwa hawalipi kodi. Tumpe muda tuone. 2020 hata wewe hutamsikia Edo wako
--------------------------------------------
On Thu, 6/16/16, 'Lesian' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] KUTENGANISHA URAIS NA UENYEKITI WA CCM: KWA MANUFAA YA NANI?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, June 16, 2016, 4:08 PM

Sioni anachokifanya , hajanishawishi
still......watu kama cc wa kima cha chini i mean walalahoi
hatujaona bado,'kama majipu anayoyatumbua hayatumbuki
,akiyatumbua yanaotea kwingine'hatuon faida kabisaa sana
sana sukari tu imekwenda juu na sasa wameshindwa hata
kushusha , maisha yanabana sana kias kwamba waliompigia nao
wanajuuta na kumkumuka comrade lowasa
2020 msifanye tena ajizi mpeni eddo aiweke nchi ktk
economical stability, sasa hv inaendeshwa kienyeji sana si
bungeni si serikalin....nilichoshangaa...ka wanosema nidham
eti inawekwa...iweje pesa za bunge yaani chenji irudishwe
kupangiwa kaz na Rais, au za Nec ina maana bunge
limeshindwa....kawaida principally pesa za serikali hata
ikibakia mia hurudishwa hazina kwa ajili ya bunge kupangia
matumizi mengineeeeeeeeee' nimechoka

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

>
>
> Vyombo vya habari vimewanukuu watu kadhaa wakitaka Rais
Mstaafu JK asikabidhi uenyekiti wa CCm kwa Rais Magufuli.
Baada ya kubaini kuwa Kikwete hana nia ya kuendelea
kuushikilia uenyekitihuo mapendekezo yameanza kujitokeza
kuwa nafasi hizo zitenganishwe.
>Nakumbuka kuisikia sauti ya mtu makini akisema ''Kwa
sababu Magufuli aliingia kwa populality yake sio ya CCM basi
asikabidhiwe uenyekiti ili watu wasije kumkataa kwa sababu
ya CCM'' akimaanisha kuwa watu hawaitaki CCM. ''Wakigundua''
kuwa ana uhusiano na CCM watamkataa. Nilijaribu kuyapima
mawazo yake nikaona hafanani nayo. Nani hajui kuwa Magufuli
kaupata urais kupitia CCM? Anaendelea mchambuzi huyo kuwa
Magufuli aachwe kuendelea kuirekebisha Serikali.
>Mimi sikumuelewa kwa sababu Kama magufuli anarekebisha
Serikali na kuleta nidhamu, kwa nini mchambuzi huyu anataka
CCM isirekebishwe na Magufuli? Anatarajia 2020 Magufuli
atagombea kupitia Chama gani? CCM inayokata;liwa au
iliyokwisha rekebishwa.
>
>Wat wote hata wana CCM kama  mimi tuliupa ushindi
CCM katika ngazi mbalimbali hasa urais kwa sababu CHADEMA
ilipoteza mwelekeo na kwa sababu tuliamini Magufuli anaweza
kurekebisha mambo. Wananchi wanamkubali Magufuli ngazi ya
Serikali na anasubiriwa kuirekebisha CCM. Wanaoona Magufuli
anahitaji msaada basi wamuandalie mamakamu makini ili
wamsaidie kukirekebisha Chama.
>Ikitokea CCM ikamnyima magufuli uenyekiti wa CCm kwa
mapendekezo mengine yanayoonekana kutolewa na
wafanyabiashara itakuwa ni mbinu za maafisadi kuendelea
kukimiliki chama chetu na hii itakiumiza chama kuliko
magufuli. CHADEMA inahitaji masahihisho kidogo (kama CCM
itaendelea kuwakumbatia mafisadi) kuweza kuirudia heshima
yake iliyopotea machoni mwa wananchi wanyonge.
>CCM Chunga hapo.
>Elisa Muhingo
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
>  Disclaimer:
>
>
>
>  Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>
>  for any legal consequences of his or her postings,
and
> hence
>
>  statements and facts must be presented responsibly.
> Your
>
>  continued membership signifies that you agree to
this
>
>  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
>  Guidelines.
>
>
>
>  ---
>
>
>
>  You received this message because you are subscribed
to
> the
>
>  Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
>  To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
>
>  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
>  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>  --
>
>
>
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>   
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya
>
>  kudhibitisha ukishatuma

responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

Utapata Email ya

>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment