Sioni anachokifanya , hajanishawishi still......watu kama cc wa kima cha chini i mean walalahoi hatujaona bado,'kama majipu anayoyatumbua hayatumbuki ,akiyatumbua yanaotea kwingine'hatuon faida kabisaa sana sana sukari tu imekwenda juu na sasa wameshindwa hata kushusha , maisha yanabana sana kias kwamba waliompigia nao wanajuuta na kumkumuka comrade lowasa
2020 msifanye tena ajizi mpeni eddo aiweke nchi ktk economical stability, sasa hv inaendeshwa kienyeji sana si bungeni si serikalin....nilichoshangaa...ka wanosema nidham eti inawekwa...iweje pesa za bunge yaani chenji irudishwe kupangiwa kaz na Rais, au za Nec ina maana bunge limeshindwa....kawaida principally pesa za serikali hata ikibakia mia hurudishwa hazina kwa ajili ya bunge kupangia matumizi mengineeeeeeeeee' nimechoka
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
> Vyombo vya habari vimewanukuu watu kadhaa wakitaka Rais Mstaafu JK asikabidhi uenyekiti wa CCm kwa Rais Magufuli. Baada ya kubaini kuwa Kikwete hana nia ya kuendelea kuushikilia uenyekitihuo mapendekezo yameanza kujitokeza kuwa nafasi hizo zitenganishwe.
>Nakumbuka kuisikia sauti ya mtu makini akisema ''Kwa sababu Magufuli aliingia kwa populality yake sio ya CCM basi asikabidhiwe uenyekiti ili watu wasije kumkataa kwa sababu ya CCM'' akimaanisha kuwa watu hawaitaki CCM. ''Wakigundua'' kuwa ana uhusiano na CCM watamkataa. Nilijaribu kuyapima mawazo yake nikaona hafanani nayo. Nani hajui kuwa Magufuli kaupata urais kupitia CCM? Anaendelea mchambuzi huyo kuwa Magufuli aachwe kuendelea kuirekebisha Serikali.
>Mimi sikumuelewa kwa sababu Kama magufuli anarekebisha Serikali na kuleta nidhamu, kwa nini mchambuzi huyu anataka CCM isirekebishwe na Magufuli? Anatarajia 2020 Magufuli atagombea kupitia Chama gani? CCM inayokata;liwa au iliyokwisha rekebishwa.
>
>Wat wote hata wana CCM kama mimi tuliupa ushindi CCM katika ngazi mbalimbali hasa urais kwa sababu CHADEMA ilipoteza mwelekeo na kwa sababu tuliamini Magufuli anaweza kurekebisha mambo. Wananchi wanamkubali Magufuli ngazi ya Serikali na anasubiriwa kuirekebisha CCM. Wanaoona Magufuli anahitaji msaada basi wamuandalie mamakamu makini ili wamsaidie kukirekebisha Chama.
>Ikitokea CCM ikamnyima magufuli uenyekiti wa CCm kwa mapendekezo mengine yanayoonekana kutolewa na wafanyabiashara itakuwa ni mbinu za maafisadi kuendelea kukimiliki chama chetu na hii itakiumiza chama kuliko magufuli. CHADEMA inahitaji masahihisho kidogo (kama CCM itaendelea kuwakumbatia mafisadi) kuweza kuirudia heshima yake iliyopotea machoni mwa wananchi wanyonge.
>CCM Chunga hapo.
>Elisa Muhingo
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>
> for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
>
> statements and facts must be presented responsibly.
> Your
>
> continued membership signifies that you agree to this
>
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
> Guidelines.
>
>
>
> ---
>
>
>
> You received this message because you are subscribed to
> the
>
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
>
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
>
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
>
> kudhibitisha ukishatuma

> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment